Kwa watumiaji wa Google Pixel

Uko mkoa gani
Leo nimepekua pekua nimecheki about phone nimeona kwenye service state radio iko off


Nikajaribu ku dial ##4636## kuangalia phone information nikakuta radio power iko disabled



Nikajaribu tena kui turn on radio power

Lakini baada ya muda inaji disable automatic inarudi kwenye hali ile ile ya kutokuwa on
 
Kwa hiyo hii ndio Quality ya picha ya iPhone?

Kwenye ishu ya kupoteza Quality baada ya kui upload kwenye social media naweza nikakubaliana na wewe lakini sio kwenye picha bali video.

Picha uki upload halafu ukai download utofauti utakuwa kwenye size tu ya MB kuwa original ilikuwa na MB 5 ila baada ya kui upload na ukaja kui download utaipata katika size ya MB 1 au KB kadhaa.

Lakini pixel wanao mfumo rahisi sana kwa ajili ya kuhifadhi picha na video bila kupoteza Quality ambao ni Google photos.

Hizo iphone x mpaka 13 huko zinabembea kwenye msuli wa mwanaume mmoja pixel 4XL
 
Hii pixel 4xl mnaisifia sana lakini nina jamaa ina mwaka tu picha zake sio kama mwanzo

Lakini yangu iPhone 13 Pro max moto ule ule mwanzo mwisho

Watumiaji wa Google jifunzeni huwezi kununua simu in cheap price halafu iwe na sifa zote mbili

Kudumu
Ubora
 
Ni hiy ya huy jamaa yako hat mm kuna jamaa yangu ana iphone 13 pro max imeweka mstari kweny kioo ngoj nikuuliz ya kwako ina shida hiy au unatufanya sisi vichaa ww ndo unaejua sim zaid pixel ni mashine asikudanganye mtu
 
Sijawah kuonaga maajb ya iphone hata siku moja natumia pixel 6pro hapa nakalisha kuanzia iphone 13 pro max kushuka chini kweny camera night mode ndo unishiki kabisa narudia ten achana na pixel kabisa wana software nzur sana na nyepesi ww endelea kutumia iphone kulinda status ila pixel ni simu na nusu
 
Pixel 4xl ni nzur sana despit kuna baadhi zinasumbua has hiz second hand hat iphone za second hand pia zinasumbua mnoo inashusha battery health chaji sio kitoto unawez kununua na asilimia 96 BH ndan ya mwez mmoja inashuk 80 BH hizo sio famba hizo tena bora pixel unanunua used ila charge uhakik inakaa hasa hize series za A na kuanzia pixel 5 kwenda juu ndo kabisa zinakaa chaji mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…