Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Mwizi tu chinga huyo! Kasababisha viongozi wengi wanakaa mahotelini kwa kuuza nyumba,kujiuzia kiwira,kuuza viwanda ambavyo badae wachina wamegeuza magodauni.! Hana mpango.
.mbona hujaweka mazuri ya mkapa?
Utakuwa na chuki binafsi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
mbona hujaweka mazuri ya mkapa?
Utakuwa na chuki binafsi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kwa hiyo (kwenye red) unamaanisha kuwa huo mwaka 2050 ndipo wanaomaliza Form IV bila kujua kuandika majina yao watakuwa wanajua!? ....au ndio hata hao 'graduates' watakuwa hawajui hata kuhesabu 1-10!!!Kwa kifupi Mkapa kachukua nchi na kuijenga pale alipoacha mkoloni/
.alichunia matatizo yote ya kijinga ya nchi majirani na wala hakutaka kujiingiza kutatua migogoro yao wala kusaidia vyama vya ukombozi. yeyey alilenga kujenga vyuo vikuu na secondari ili na sisi tuje jitoshereza na wataalamu wetu.
serikali mwezi january ilitoa ajira 25000 za ualimu na kuwasambaza mikoani. Kati ya hao walimu walioajiliwa 13000 ni university graduates!! sasa wewe ona matunda ya benja kujenga vyuo vikuu na jinsi ambavyo anainua kiwango kizuri cha elimu(quality) itakapofikia 2050 shule za msingi zitakuwa na magraduates wa univesity na sio tena walimu wa colleges. miaka ya 1961- 1996 kulikuwa na kero mbaya za wazazi wenye kipato cha chini kwa watoto wao kurudia rudia darasa la saba ili wapate elimu ya secondari.
kero ilianza kufanyiwa kazi na mkapa na kumaliziwa na JMK na sasa kero hii imepungua from 100% to 2% huu ni ukombozi mkubwa sana kwa vijana kuanza kuzurula wakiwa na miaka 15!
Jambo aliloniuzi mimi ni moja tuu nalo ni kutofungua ubalozi kamili na taifa la israel. hapo mkapa hakulitoa taifa letu katika laana ya kulichukia taifa la Israel. all in all, mkapa was the best presidenta at running economy. live long dear Benjaaaa! pigia debe basi tuweke ubalozi kamili pale tel aviv!
BWM is my hero hata mumpake tope kiasi gani he will always shine.
Huyu ndiye aliyetoa amri ya kuwafukia wachimbaji wadogowadogo kwenye mgodi wa bulyankulu kuwapisha wachimbaji wakigeni.
mbona hujaweka mazuri ya mkapa?
Utakuwa na chuki binafsi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
mbona hapa bado hujaweka data zote?maana kwa haya ulioandika ukimlinganisha na wenzake,wenzake wamemzidi sana,(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).
Ni mwongo, mtu wa visasi na mnafiki: Alimvua uraia "rafiki yake" Jenerali Ulimwengu ambaye alimpigia kampeni ktk uchaguzi wa mwaka 1995, wakati akipambana na Mrema. Licha ya jenerali ulimwengu kuwahi kuwa mkuu wa wilaya na kiongozi wa UVCCM akamtuhumu kuwa si raia wa Tanzania.
Kesi yao ilimalizwa mwaka 2003 kule Addis Ababa kwenye kikao cha OAU(sasa AU) ambapo wakuu wa nchi wanachama walibaini "Mr. Clean" mwongo na "mchapa majungu".
(3). Akauza kwa rafiki zake au kujiuzia mashirika yote ya UMMA na hatimaye akayaua, na mengine kama NBC akauza kwa "bei ya jioni" yaani nusu bure tena hadi leo wale makaburu hawajalipa deni lao.
(4). Akauza Kilimanjaro hotel kwa "wadau wake wa maendeleo watatu" tukalazika kulipa fidia kwa wale wawili tuliowafanyia "uhuni". Huyu ndie mwokozi na msafi aliyetumwa na CCM kuwaokoa kule ARUMERU.
Nawasilisha!
mbona hujaweka mazuri ya mkapa?
Utakuwa na chuki binafsi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwa kifupi Mkapa kachukua nchi na kuijenga pale alipoacha mkoloni/
.alichunia matatizo yote ya kijinga ya nchi majirani na wala hakutaka kujiingiza kutatua migogoro yao wala kusaidia vyama vya ukombozi. yeyey alilenga kujenga vyuo vikuu na secondari ili na sisi tuje jitoshereza na wataalamu wetu.
serikali mwezi january ilitoa ajira 25000 za ualimu na kuwasambaza mikoani. Kati ya hao walimu walioajiliwa 13000 ni university graduates!! sasa wewe ona matunda ya benja kujenga vyuo vikuu na jinsi ambavyo anainua kiwango kizuri cha elimu(quality) itakapofikia 2050 shule za msingi zitakuwa na magraduates wa univesity na sio tena walimu wa colleges. miaka ya 1961- 1996 kulikuwa na kero mbaya za wazazi wenye kipato cha chini kwa watoto wao kurudia rudia darasa la saba ili wapate elimu ya secondari.
kero ilianza kufanyiwa kazi na mkapa na kumaliziwa na JMK na sasa kero hii imepungua from 100% to 2% huu ni ukombozi mkubwa sana kwa vijana kuanza kuzurula wakiwa na miaka 15!
Jambo aliloniuzi mimi ni moja tuu nalo ni kutofungua ubalozi kamili na taifa la israel. hapo mkapa hakulitoa taifa letu katika laana ya kulichukia taifa la Israel. all in all, mkapa was the best presidenta at running economy. live long dear Benjaaaa! pigia debe basi tuweke ubalozi kamili pale tel aviv!
(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).