Kwa wasiomjua BENJAMIN MKAPA, tafadhali soma hapa!

Ni kweli kabisa. Ila tatizo anashindwa kujitambua kwa sababu ya kuogopa kivuli chake !
 
ya ya ya huyu mtu alikuwa balaa kabisa yeye na mkewe, Alimwogopesha R. Mengi asielezee uozo wa Rushwa zidi ya Kilimanjaro Hotel kuwa kuna mchezo mchafu kwa kumtumia Masiringi wa Muleba, eti aelezee mchezo mchafu nini ni nini , naye Mengi akiufyata mk....a
 
(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).

Ni mwongo, mtu wa visasi na mnafiki: Alimvua uraia "rafiki yake" Jenerali Ulimwengu ambaye alimpigia kampeni ktk uchaguzi wa mwaka 1995, wakati akipambana na Mrema. Licha ya jenerali ulimwengu kuwahi kuwa mkuu wa wilaya na kiongozi wa UVCCM akamtuhumu kuwa si raia wa Tanzania.

Kesi yao ilimalizwa mwaka 2003 kule Addis Ababa kwenye kikao cha OAU(sasa AU) ambapo wakuu wa nchi wanachama walibaini "Mr. Clean" mwongo na "mchapa majungu".

(3). Akauza kwa rafiki zake au kujiuzia mashirika yote ya UMMA na hatimaye akayaua, na mengine kama NBC akauza kwa "bei ya jioni" yaani nusu bure tena hadi leo wale makaburu hawajalipa deni lao.

(4). Akauza Kilimanjaro hotel kwa "wadau wake wa maendeleo watatu" tukalazika kulipa fidia kwa wale wawili tuliowafanyia "uhuni". Huyu ndie mwokozi na msafi aliyetumwa na CCM kuwaokoa kule ARUMERU.

Nawasilisha!

huna lolote mbayuwayu wewe.hakuna rais kama mkapa ukimwondoa marehem baba yetu.kikwete ndo kauza kilmanjaro kwa waarabu na kamnyanganya mzawa mountmeru kisa udini wake.nyie wazanzibar ni magaidi tu na mchapwe sana
 
Mkapa ndio Rais bora kuwahi kutokea Ukanda wa Afrika mashariki na Kati tangu Uhuru Mpaka akafikia kuwa Mwenyekiti mwenza wa Utandawazi Duniani!
 
me sichangii kitu hapa maana kama majungu vile.
Lakini me naona bora yeye hata kama ana kasoro hizo.
 
Tatizo la nchi yetu ni kwamba viongozi mara baada ya muda wao kumalizika haijalishi kama waliwajibika vp,na hizo kinga zao ndio kabisa wanafanya madudu na hakuna lolote ambalo linalowatokea. Tuwe kama Zambia rais ambaye ametumia vibaya urais wake anavuliwa kinga then anashtakiwa. Kwa mtindo huo hawatofanya madudu tena kwa kuogopa kufungwa.
 
Kibaya zaidi kwa huyu bwana mimi sitamsahau kabisa kwa kuuza Nyumba zetu mil 10 masaki unauza nyumba yenye eneo la heka moja mil 1o mpaka 20!!
 
mkapa alikuwa kichwa, hyu mshikaji wa saiz bogus tena water melon kabisaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).

Ni mwongo, mtu wa visasi na mnafiki: Alimvua uraia "rafiki yake" Jenerali Ulimwengu ambaye alimpigia kampeni ktk uchaguzi wa mwaka 1995, wakati akipambana na Mrema. Licha ya jenerali ulimwengu kuwahi kuwa mkuu wa wilaya na kiongozi wa UVCCM akamtuhumu kuwa si raia wa Tanzania.

Kesi yao ilimalizwa mwaka 2003 kule Addis Ababa kwenye kikao cha OAU(sasa AU) ambapo wakuu wa nchi wanachama walibaini "Mr. Clean" mwongo na "mchapa majungu".

(3). Akauza kwa rafiki zake au kujiuzia mashirika yote ya UMMA na hatimaye akayaua, na mengine kama NBC akauza kwa "bei ya jioni" yaani nusu bure tena hadi leo wale makaburu hawajalipa deni lao.

(4). Akauza Kilimanjaro hotel kwa "wadau wake wa maendeleo watatu" tukalazika kulipa fidia kwa wale wawili tuliowafanyia "uhuni". Huyu ndie mwokozi na msafi aliyetumwa na CCM kuwaokoa kule ARUMERU.

Nawasilisha!

U can fool your fellows and not others, Kwanza ukumbuke kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu,mkapa kama binadamu anaruhusiwa kuteleza,

Mkapa ni bora akitanguliwa na Nyerere. Hii inaungwa mkono na na wenye akili tu.
 
mengine yooote mpeni kwakuwa nani ya ccm wasafi ni wachache nao ni wanafiki. suala la mauaji ZANZIBAR alaumiwe MAARIM SEF kwa kuwachochea, mkajifanya mnajua kun-fu mbele ya risasi, tuliwaona na kanzu zenu mlivyokuwa mkiruka na kukanyagana, eti hu ha
 
Back
Top Bottom