(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).
Ni mwongo, mtu wa visasi na mnafiki: Alimvua uraia "rafiki yake" Jenerali Ulimwengu ambaye alimpigia kampeni ktk uchaguzi wa mwaka 1995, wakati akipambana na Mrema. Licha ya jenerali ulimwengu kuwahi kuwa mkuu wa wilaya na kiongozi wa UVCCM akamtuhumu kuwa si raia wa Tanzania.
Kesi yao ilimalizwa mwaka 2003 kule Addis Ababa kwenye kikao cha OAU(sasa AU) ambapo wakuu wa nchi wanachama walibaini "Mr. Clean" mwongo na "mchapa majungu".
(3). Akauza kwa rafiki zake au kujiuzia mashirika yote ya UMMA na hatimaye akayaua, na mengine kama NBC akauza kwa "bei ya jioni" yaani nusu bure tena hadi leo wale makaburu hawajalipa deni lao.
(4). Akauza Kilimanjaro hotel kwa "wadau wake wa maendeleo watatu" tukalazika kulipa fidia kwa wale wawili tuliowafanyia "uhuni". Huyu ndie mwokozi na msafi aliyetumwa na CCM kuwaokoa kule ARUMERU.
Nawasilisha!
bungeni miongozo alizibiti sawasawarais mstaafu mr.clean apewe sifa zake zote,bila kudhulumiwa aliuwa watu alijenga shule msimpunguzie wala kumuongezea aliyoyafanya,yanajulikana hayawezi kufichika yalitendeka hadharani, kama una kumbukumbu ya mazuri sema na mabaya pia yasemweeee
Hoja nyepesi km ubua, ndani yake kuna harufu ya kitu flani yaani yeye ni..... na sisi ni ....
BWM is my roll model
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
(1). Hana upendo kwani aliua maelfu ya wazanzibar ktk machafuko mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000. Na akasababisha wakimbizi hadi leo wapo kule Mogadishu tangu septemba 2001. Hakika alifanya unyama wa kutisha aliamuru raia wauawe na wateswe ktk mitaa mbalimbali walioko Darajani na Mtendeni mashuhuda kwa hili (SOURCE: BBC SWAHILI, Daud Aweis, BBB-Nairobi, octoba 11, 2011) (2).
Ni mwongo, mtu wa visasi na mnafiki: Alimvua uraia "rafiki yake" Jenerali Ulimwengu ambaye alimpigia kampeni ktk uchaguzi wa mwaka 1995, wakati akipambana na Mrema. Licha ya jenerali ulimwengu kuwahi kuwa mkuu wa wilaya na kiongozi wa UVCCM akamtuhumu kuwa si raia wa Tanzania.
Kesi yao ilimalizwa mwaka 2003 kule Addis Ababa kwenye kikao cha OAU(sasa AU) ambapo wakuu wa nchi wanachama walibaini "Mr. Clean" mwongo na "mchapa majungu".
(3). Akauza kwa rafiki zake au kujiuzia mashirika yote ya UMMA na hatimaye akayaua, na mengine kama NBC akauza kwa "bei ya jioni" yaani nusu bure tena hadi leo wale makaburu hawajalipa deni lao.
(4). Akauza Kilimanjaro hotel kwa "wadau wake wa maendeleo watatu" tukalazika kulipa fidia kwa wale wawili tuliowafanyia "uhuni". Huyu ndie mwokozi na msafi aliyetumwa na CCM kuwaokoa kule ARUMERU.
Nawasilisha!
shikamoo nakusalmia mkuu hapo umenenaYote semeni, lakini mimi nafahamu jambo moja tu, alikuwa ni rais pekee aliyesimamia vema mapatp ya ndani kiasi cha nchi kuanza kulipa madeni.
na mzee mwinyi jee?Bmw bado Ana hadhi mbele ya jamiiforums na wananchi kuliko huyu aliepo analea ufisadi analinda wezi na bado anatumia muda mwingi kutengeneza sifa badala ya kuwajibika kwa wananchi
Mbona Kikwete anaendelea kuua? aliua nyamongo, songea, arusha, juzi morogoro n.k huyu ndiye anaua zaidi maana yeye anaamrisha kuua popote pale bora mkapa alikuwa anaua wazenji pekee!
Aliahidi kufanya kazi hiyo na ilikuwa ni kipaumbele chake hamna sababu ya kumsifia mtu kutimiza wajibu wakeshikamoo nakusalmia mkuu hapo umenena