Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

Msorokoto

Member
Aug 23, 2023
21
8
Naomba kuuliza. Nina miaka 19, nimemaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanya vizuri, nilipata div 4 ya point 33 lakini nina mpango wa kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka.

Nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, lakini pia nina kipaji kama uchezaji wa Volleyball, kuimba pamoja kupiga vyombo vya muziki.

Nahitaji kuuliza kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?
 
Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanikiwa kufanya vizuri maana nilipata div 4 ya point 33

Nilikuwa nahitaji kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka, nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha VETA

Pia nina kipaji cha kuimba pamoja na kupiga vyombo vya muziki.

Sasa nilihitaji kujua kama kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama.?
 
Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanikiwa kufanya vizuri maana nilipata div 4 ya point 33 lakini nilikuwa nahitaji kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka, nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, napia nina kipaji cha kuimba pamoja na kupiga vyombo vya muziki. Sasa nilihitaji kujua kama kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama.?
Cheti cha veta cha fani gani?
Leseni ya udereva ya daraja gani?
Vyombo gani vya muziki una uwezo navyo?
 
Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanikiwa kufanya vizuri maana nilipata div 4 ya point 33 lakini nilikuwa nahitaji kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka, nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, napia nina kipaji cha kuimba pamoja na kupiga vyombo vya muziki. Sasa nilihitaji kujua kama kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama.?
Rudi shule usome ufaulu f4 mengine yataanzia hapo.
 
Sifa hizo zote zina kazi kwenye vyombo vyote vya ulinzi ila Nenda JKT kwanza hiyo ndo njiapanda pekee ya kwenda kwenye vyombo vya ulinzi kwa sasa sifa lazima upitie JKT lakini pia jiandae kwa lolote unaweza kupita huko na ajira usipate pia kwahiyo uwe na utayari usisononeke kwa lolote
 
Asante kwa ushauri wako
 
Kama hutojali... zungumza kwa maana pana unamaana gani unataka ukajiunge kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? 😊

Kule ndo unadhania wamejaa ma-bogus eti? 😊😊😊

Rudi shule usome, angalau upate alama zitakazo kupeleka chuoni upate angalau cheti na diploma urudi jeshini ujitolee. Utakuwa na possibility kubwa sana ya kuzifikia ndoto zako endapo utakuwa na vigezo hitajika wakiwa kwenye vetting zao na wakakuona unafaa (na kama utakuwa na bahati au nyota yenye kung'aa) na unaweza kurudi masomoni ukachukua degree yako ukiwa kazini tayari na kumbuka yote hayo yanawezekana kuwa achieved kabla hata hujatimiza miaka "28"/"30" 😊😊😊
 
Kama hutojali... zungumza kwa maana pana unamaana gani unataka ukajiunge kwenye vyombo vya ulinzi na usalama?

Kule ndo unadhania wamejaa ma-bogus eti?

Rudi shule usome, angalau upate alama zitakazo kupeleka chuoni upate angalau cheti na diploma urudi jeshini ujitolee. Utakuwa na possibility kubwa sana ya kuzifikia ndoto zako endapo utakuwa na vigezo hitajika wakiwa kwenye vetting zao na wakakuona unafaa (na kama utakuwa na bahati au nyota yenye kung'aa) na unaweza kurudi masomoni ukachukua degree yako ukiwa kazini tayari na kumbuka yote hayo yanawezekana kuwa achieved kabla hata hujatimiza miaka "28"/"30"
Maswala ya kuwaza kuwa kule ndio kuna watu wa aina hiyo hayo ni mawazo yako ndugu. Nilichoomba ni ushauri tu nasio kuanza kutafsiri kwa maana zako binafsi ambazo zinakuwa kama zinawashusha watu thamani yao.... Hata hivyo asante kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom