kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

mwayeriko uvanzile amaligo pe kwelu?
ILIGA AMALIGO SIKWELEWA UKUTA UMU NA VAKWIVETU VALIMUMU.kama akelwike tigile pajumamosi adze kukaye nene kila wiki vakundetela mulibotolo vayilagila mu basi ya nyagawa
ukwenyu kwiya na nene ndisuka nzuse, ndikelwike swee!
 
Ulasi unono sana.....pemilwike kukaye ndiunywa sana aisee .....wunofu sana ukuharisha uchafu wote mwileme beeee ....unoge mwagito
 
dah.........enzi nipo kwiro *ulanga*hiyo ilikuwa kila siku.
 
Che ndaiwendaga ulasi nde mwamunu nene !!
a.k.a Bamboo juice, ujue ulanzi hata south afrika upo wa kumwaga ???



Sent from Blackberry Z10 using Jamii Forums
 
khulongu binamu! Ndinoghwa ndevuje khonyumba vatye isitsebele sidolwikhe no volanzi wolosu nhiiii!
thononu binamu,khonyumba leno emilanzi gwavovole nansindosa nsidolwike..vilya vhovhosuge na mapyoseke.!
 
lunghulye nene lunghulye pe mwana ndimu dodo lughulye aaaah aaah ziniweke nene imboga sa kukaye , lifweni,nyamusa ,nyadundwe , utulaasi vayawe matumaini eeeeh
 
hahaaa watu wa tosa, malangali, njoss na wengineo wanamiss sana hii kitu.

Tumekuja bwana,
Nakumbuka miaka ya 2001 na 2003 nilikuwa pale tosamaganga Sekondari, kuna jamaa mmoja alipewa suspension kwa sababu kunywa ulanzi, na aliambiwa akamwite mzazi wake ili aje shuleni kwa ili apewe adhabu, mzazi wake alipofika shule akaambiwa kuwa sababu ya kumrudisha mtoto nyumbani ni kwamba alikutwa anakunywa ulanzi alisema, bee sasa kama mnamkataza mtoto asinywe ulanzi, sasa anywe niii? Headmaster alibaki kushangaa na kubaki mdomo wazi!!!!!!!!!
 
tumekuja bwana,
nakumbuka miaka ya 2001 na 2003 nilikuwa pale tosamaganga sekondari, kuna jamaa mmoja alipewa suspension kwa sababu kunywa ulanzi, na aliambiwa akamwite mzazi wake ili aje shuleni kwa ili apewe adhabu, mzazi wake alipofika shule akaambiwa kuwa sababu ya kumrudisha mtoto nyumbani ni kwamba alikutwa anakunywa ulanzi alisema, bee sasa kama mnamkataza mtoto asinywe ulanzi, sasa anywe niii? Headmaster alibaki kushangaa na kubaki mdomo sa unaonawazi!!!!!!!!!

umenikumbusha miaka ya 1985 kulikuwa na mzee mmoja mburushi anaitwa mzee gullam shambe (jg) alikuja shule high land kusikiliza mashtaka ya mtoto wake anaeitwa gullam. Na mashtaka yake ni kuwa mtoto wake huyo alikuwa hataki shule anashinda viwanja vya sabasaba kwenye hotel anakunywa chai mwalimu mkuu mr chodri alipomweleza mzee wa kiburushi (jg) kuwa mtoto wake ni mtoro sugu hataki kuingia darasani basi yule mzee akamwambia we gullam mimi nakwambia kila siku acha shule wewe unang'aninia oh nakwenda shule ! Shule shule unaona sasa matokeo yake. Baada ya maneno hayo mwalimu mr chodri akasema hala kumbe tatizo ni mzee wake yule kijana kumbe anapenda shule ila mzee wake ndio hataki asome, basi ikabidi mwalimu mr chodri asimpe adhabu yoyote mpaka anamaliza shule na akawa ni rafiki yake mkubwa. Vipi lugalo yule mwalimu wa kihindi mr bhalla aliyesoma na mtunzi wa kitabu cha chemistry kilichokuwa kinatumika miaka hiyo o level tulikuwa tunapiga nae ulanzi kihesa na alikuwa anaupenda ulanzi na kwa elimu yake ya chemistry ndipo nilijuwa kuwa ulanzi ni pombe bora duniani maana jamaa yule wa kihindi alisoma na kina lambert watunzi wa vitabu vya chemistry na alikuwa anawakosoa juu ya uandishi wao wavitabu lakini baadae mie nilikuja kujiona mjinga kwani nilidhani yule muhindi ndio waligundua chemistry kumbe kasoma tu na wale waandishi wa vitabu.
 
Sahihi.<br />
Addition;Yale mapovu yanaitwa &quot;maboso&quot;. Ulanzi uliopita umri wa masaa 24 unaitwa &quot;mkangafu&quot;
Uliokaa wiki zima unaitwa mdindifu
 
Sio siri mimi bila ulanzi na ugimbi (komoni) nisingefaulu mtihani, vinywaji hivyo ndio ilikuwa kichocheo changu cha akili mpaka mwalimu wangu mr Makombe alikuwa anajua na siku nikikosa kunywa huniruhusu nikanywe kilabuni ndipo akili yangu ikae sawa!
 
Back
Top Bottom