kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

enzi zetu tulikiita kitete! Acha bana tunatoka kibwabwa mpaka mseke au njia panda ya tosa debe sh 500 mnaogelea kabsaa! Kijombelo sh 20. Hiyo ni early 90s mpaka 95. Vijana wengi wameharibika sana Iringa sababu ya ulasi be! Tunywe ludodo be segito!
Mi nilikuwa natoroka shule ipogolo primary nakuja kibwabwa kitwiru kilongayena kunywa ulasi.

Siku ya shamba nikienda Tagamenda asubuhi nafanya kazi saa nne naanza kunywa bila kula hapo nalewa natembea nafika malulumo nalala pemben ya barabara nasubiri gari za maziwa ya philips narudi home. Huku niliko hakuna ulasi kila nikija Iringa naenda kutambika na kunywa mnadani Kitwiru
IMG_20180429_144720.jpeg
IMG_20180429_150157.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom