Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,890
- 7,044
We acha tu bonge moja la track mzee baba.Fanya Chap uedit mkuu, n balaa hili goma
We acha tu bonge moja la track mzee baba.Fanya Chap uedit mkuu, n balaa hili goma
Aisee umenikumbusha mbali sana kipindi nipo na wifi yako nilikuwa napenda sana kumsikilizisha huu wimbo aisee long time ago .No one like you, P square
Mi napenda tu like beat lake duu kuna watu wanajua kutengeneza ma beat usipime by the way wimbo ni mtamu sana alafu upo danceable sana.big up @youngSkalesBooty language pia ya skales ipo vizuri
Mama nayo ushawahi kuisikiliza, woju je? by the way jamaa ni mkali sana aisee.Yeba aseee
Yeah mama bonge moja la dude linachezeka kwenye tempo 123-125 kama sijakosea hivi , na kuhusu hiyo woju nayo ni ya kwake pia kamshirikisha davido na tiwa savage.sijui umenipata vilivyo mkuu?.Mama naipenda sanaa
Woju ni ya kiss daniel pia?
Sana tuuuu!!!'Beat yake inakosha sana
Duh naona umechafukwa kabisa pini kama hizo huku kwetu uswazi hapakaliki kwenye vishuhuli.Testimony-P Square
Aisee nilikuwa nachanganya madesa woju na ujuYeah mama bonge moja la dude linachezeka kwenye tempo 123-125 kama sijakosea hivi , na kuhusu hiyo woju nayo ni ya kwake pia kamshirikisha davido na tiwa savage.sijui umenipata vilivyo mkuu?.
Romeo and Juliet[emoji91] [emoji91] [emoji91]nonso amdi tonight
nonso amadi radio
ric hassan gentleman
rich hassan my love
ric hassan believe
ric hassan only you
ric hassan number one
johnny drille romeo and juliet
tafuta na ngioma nyingi za drille ni motooo
Kuna nyingine bomba sana inaitwa ""blessing me"" duu hatari hiyo mzee baba, ebu itafute kisha leta feedback, hutojuta kupoteza mb's zako kuidownload.Banky W-made for you,,,,,,,,,Yes/No.
Ninayo mkali...ni fire..Kuna nyingine bomba sana inaitwa ""blessing me"" duu hatari hiyo mzee baba, ebu itafute kisha leta feedback, hutojuta kupoteza mb's zako kuidownload.