Kwa wapenzi wa Nigerian music

Kwa wapenzi wa Nigerian music

Pia good news ni kuwa Tiwa Savage anajheshmu Sana hata kwenye vdeo hakai uchi ndo napompendea sio mwehu km seyi shay,,,
 
Energy-runtown
Mad over you-runtown.
Wakawaka-ycee
Tonyor-ycee ft mr p
Fire fire- rudeboy
Malo-wizkid
Fire-davido
Go down-mr p
No wahala- ??
No fake love-??

Yan ndio ugonjwa wangu izi ngoma za naija...sema niko tungi nashindwa kumbuka artist
 
Ujio wa Niniola na Simi unatia Mashaka kwa kina Yemi na Tiwa Savage
Yemi alade ndio queen of naija flavour adi saiv..tiwa savage wakati wake ulishapita..cc wakongwe wamziki wa naija tunamjua tiwa savage kashuka sana kimziki..
 
Yemi alade anashuka sana siku hizi hata wanaija wenyewe hawamkubali kama zamani
 
Exactly mkuu,,, Yemi ameshuka Sana,,

Huu mjadala uliopo hapa hauna tofauti na mjadala mmoja uliotoka kwenye jarida la PULSE la mwaka jana mwshon wao waliandka km swal then wakaeleza kwa krefu Sana juu ya ishu hii
"Who currently wear the crown as queen of Nigeria pop music"
Wao wanasema Hakuna ubishi Tiwa Savage ni queen wa afropop kwa sasa akfuatiwa na Yemi,,,lakn wanasema Ujio wa Simi na Niniola unatia mashaka,,,japo kuna female artist weng tu wanafanya vzr kwenye mainstream km Seyi Shay, Waje lakn bado wameshndwa kuwazd hao kna Tiwa na Yemi...so Tiwa Savage is best,,,

Tujipongeze na Ma Lo ft Wizkid(don't go in Yoluba language) [emoji16] [emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] bila kusahau girl next door
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom