Kwa wapenzi wa mambo haya......

Kwa wapenzi wa mambo haya......

LOL Ngoja nurudushe mood then.

437x
black-couple-in-love3.jpg

Now you are talking.... Adam and Eve indeed... as it is always supposed to be.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
na hapo kwenye stereotypes ndo kuna kazi. hadi mtu akutoe kwenye boksi lako amefanya kazi ya ziada. kuna vitu ukiviona tu dukani, u relate to them. they ar like sooo meeeee! mwisho wa siku unajikuta una nguo or shoes of almsot same color,just different shades! comfort zone inahusika!

Probably ni malezi na stereo types b'se primary wavulana tulikuwa tunakatazwa kuvaa mashati yenye darts. Kama ilivyo kwa mwanaume kuvaa pink colour.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
I need help hap... EMT just sema ni ngapi, have no idea but najua kua most sio chini ya seven...

Hapa itabidi nikahesabu. Tatizo hapa kuna za kuvalia na viatu vya kupima na trainers. Bado hujaweka zile za kutoboka. LOL.
 
na hapo kwenye stereotypes ndo kuna kazi. hadi mtu akutoe kwenye boksi lako amefanya kazi ya ziada. kuna vitu ukiviona tu dukani, u relate to them. they ar like sooo meeeee! mwisho wa siku unajikuta una nguo or shoes of almsot same color,just different shades! comfort zone inahusika!

yaani...
na kuna watu wamezoea brand fulani tu
jeans kwake ni levis tu au lee.....
hadi wanafurahisha..lol
 
uzee dawa mkwe,u will understand me 30 yrs to come,trust me sio mbali! sasa vipedo ndo kutiririsha?nipe darasa. afu siku hizi kuna zile sarawili/pedo/tite ambazo kama kanyela mumo,lol! (inabidi nimuombe FF anieleweshe,mweh!)
<br />
<br />
mkwe nilimuona mwanaume kavaa kipedo na makirikiri.
 
kuna umri ukifika hujui unazo ngapi
na zipi hazina matundu lol
hasa kama una pea nyingi nyeusi...lol

Mkuu Boss, na hii ya wanaume wengine kwenda kwenye pedicure na manicure na kutia wanja machoni na nyusi kuwekwa chale inakuwaje?
Juzi hapa one of the co-worker anatutambia kuwa huyafanya hayo almost every other week. I was just speechless, labda nimekuwa too mshamba ama siendi na wakati
 
lol,usinunue kioo aisee! bora uwekeze kwenye uturi. kuna mdada aligombana na mumewe kisa kamsimanga mume kuwa hampi matumizi ila jamaa anapaka lotion ya victoria secrets ya wife.nikashangaa inavyonukia kutwa nzima hadi nguo ikifuliwa still ina harufu,nikapata picha coaligues wa jamaa wanamuonaje nikachoka kabisa,lol!

yaani
nilikuwa nasubiri mwaka mpya uje ndo ninunue kioo cha ukutani..
Kumbe bora niahirishe kabisaa lol
 
Mkuu Boss, na hii ya wanaume wengine kwenda kwenye pedicure na manicure na kutia wanja machoni na nyusi kuwekwa chale inakuwaje?
Juzi hapa one of the co-worker anatutambia kuwa huyafanya hayo almost every other week. I was just speechless, labda nimekuwa too mshamba ama siendi na wakati

dah...kwa hivyo washamba tutakuwa wengi aisee..
 
hahaha,u ar cracking me up! za kutoboka tena,uwiiiii! usije ukalazimika kuvua viatu ukaaibika,lol! kama una uzi na sindano hebu shikiza kidogo,hehehe
Hapa itabidi nikahesabu. Tatizo hapa kuna za kuvalia na viatu vya kupima na trainers. Bado hujaweka zile za kutoboka. LOL.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kuna umri ukifika hujui unazo ngapi
na zipi hazina matundu lol
hasa kama una pea nyingi nyeusi...lol

Nakumbuka nikiwa form four nilikuwa na pea moja ya soksi. Soksi moja ilikuwa na tobo. Pea nyingine wahuni waliiba. Tokea siku hiyo nilikuwa nikifua pea yangu moja inaanikwa chini ya godoro. Kwa sasa ngumu kujua nina pea ngapi maana siku hizi soksi zinauzwa kwa mafungu.
 
Mkuu Boss, na hii ya wanaume wengine kwenda kwenye pedicure na manicure na kutia wanja machoni na nyusi kuwekwa chale inakuwaje?
Juzi hapa one of the co-worker anatutambia kuwa huyafanya hayo almost every other week. I was just speechless, labda nimekuwa too mshamba ama siendi na wakati

Men under pressure to look good?
 
Hapa itabidi nikahesabu. Tatizo hapa kuna za kuvalia na viatu vya kupima na trainers. Bado hujaweka zile za kutoboka. LOL.

I have given you enough space.... ehe ziko ngapi baada ya kuhesabu (afadhali wee umejibu wengine wamejikausha...lol)
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hahaha,u ar cracking me up! za kutoboka tena,uwiiiii! usije ukalazimika kuvua viatu ukaaibika,lol! kama una uzi na sindano hebu shikiza kidogo,hehehe

Wee acha tuu. Kama makazini wangekuwa wanakagua soksi za kila mwanaume ingengkuwa balaa. Nikinunua soksi huwa natafuta zile nene nene kuepuka karaa ya kutoboka mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom