Kwa wapenzi wa mambo haya......

Kwa wapenzi wa mambo haya......

sasa si uwashe mshumaa? inakuwa a candle lite audit! tanzanians ar very romantic, everything is a candle lite affair,lol

Yaani umeme na hizi foleni zimetufanya tuwe tunavaa soksi zinazotofautiana. Wee acha tuu. Huwa naweka pea nyingine kwenye gari just in case.
 
im right here gal, huyu EMT anajidai slippery, ngoja ahesabu na mshumaa. afu utakuta hata kuzifua anajidai hajui,lol

EMT, bora soksi zilizotoboka kuliko zinazonuka! aisee, manake ile harufu huwa kama kinyesi cha paka vile,kha! ila a person's socks and underwear says a million things abt him/her! on a serious note!!

King'ast soksi za kunuka zinaweza kuwa na soko in future. Umesoma hii? 'Dirty sock smell' lures mosquitoes to a sticky end - CNN.com
 
lol! sipati picha umekaa afu mtu anaona umevaa soksi tofauti! unakuwa kama avatr ya tanmo, huku red huku blue! ila tunaweza dhania ni fashion,na kuuliza tunaogopa kuambiwa washamba! mini raha sana!
Yaani umeme na hizi foleni zimetufanya tuwe tunavaa soksi zinazotofautiana. Wee acha tuu. Huwa naweka pea nyingine kwenye gari just in case.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Unaona sasa!! SA and EMT,plz, no more torn socks. tena ukialikwa ubwabwa kwa watu wakikuambia ukae mkekani unabisha utadhani nini sijui,kha!

Mie nikiombwa na ndugu au rafiki kwenda kumtembelea mtu lazima niulize dini ya huyo mtu. mwanaume mzima unaweza kuingia mkenge hivi hivi. LOL
 
hahaha! hawa ifakara health center wana kichaa! ngoja nitafanya study ya kupinga hii,kuangalia how dirty socks can kill sense of smell! apo kuna mahali nilikutana na mafundi flani, jasho lao na smell za safety boots zao zinaweza ku-induce abortion during the 1st trimester, lol!

King'ast soksi za kunuka zinaweza kuwa na soko in future. Umesoma hii? 'Dirty sock smell' lures mosquitoes to a sticky end - CNN.com
 
King'ast soksi za kunuka zinaweza kuwa na soko in future. Umesoma hii? 'Dirty sock smell' lures mosquitoes to a sticky end - CNN.com

hahaha! hawa ifakara health center wana kichaa! ngoja nitafanya study ya kupinga hii,kuangalia how dirty socks can kill sense of smell! apo kuna mahali nilikutana na mafundi flani, jasho lao na smell za safety boots zao zinaweza ku-induce abortion during the 1st trimester, lol!

Kweli JF ni source of Information.... Khaa!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
If that's the way you handle apologies.... ah ah (hapa me shaking my head side ways...lol)

apology.jpg
 
hahaha! hawa ifakara health center wana kichaa! ngoja nitafanya study ya kupinga hii,kuangalia how dirty socks can kill sense of smell! apo kuna mahali nilikutana na mafundi flani, jasho lao na smell za safety boots zao zinaweza ku-induce abortion during the 1st trimester, lol!

Duh! hiyo kali. Hapo humamix ya ile ya kikwapa.
 
LOL. This one?

f583762f929ea1e5_sorry_really_truly_very_apology.jpg

I have decided to apply this..."Don't think outside of the box, smash it and resurrect monuments"

Only to find out lazima unafanya saana mistakes maana haiwezekani uwe na such perfect ways of saying SORRY.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Du hizo sarawali kuzivua ndio ngoma inogile fikiria unataka kufanya yale mambo ya vodafasta si utakamatwa na mwene mali
 
Tatatatatatatata TF, ninavyochukia mwanume
Kuvaa tight clothes especially jeans ..bora
atembee uchi.. fashion nyingine ni disaster...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Tatatatatatatata TF, ninavyochukia mwanume<br />
Kuvaa tight clothes especially jeans ..bora <br />
atembee uchi.. fashion nyingine ni disaster...
<br />
<br />
Ngoja niangalie jeans zangu kwenye kabati kama zipo unaweza kuwa umeishazichoma moto lol!
 
I have decided to apply this..."Don't think outside of the box, smash it and resurrect monuments"

Only to find out lazima unafanya saana mistakes maana haiwezekani uwe na such perfect ways of saying SORRY.

Just make sure you don't smash my flowers!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom