Kwa wapenzi wa mambo haya......

Nashindwa hata kusema... Hebu Check hao wakaka wooote in blue... alafu fananisha na mkaka wa mwisho kabisa.... Can you see the difference??

Baada ya kupikicha macho na kuangalia kwa umakini...huyo mwenye red pants nahisi mwana si rizki.
 
mwalimu,tatizo nyingine sijui ndo usharobaro,inakuwa wamezidi bana! a man shld look manly,hii mambo ya kuvaa blouse and leave no imaginations inapunguza dhana nzima (siisemi,lol). kuna vitu vimezidi,mara viatu vya pink na nano,kha!

He he he

Wakikosa warembo watajibeba! Mtu hujijui uko na mwanamme au mwanamke mwenzio!

Maana lipstick na kutinda nyusi pia tayari!
 
if i were to label them it will go like this

1-okay
2-gay
3-manly
4-gayish
5-almost gay
6-just dumb
7-a man

gee
what happens to 'benefits of the doubts'???

Ni lazima wanaume wote wa lift some weight
just to look ok????
 
mara ya ngapi wavae? siku hizi nguo dukani shurti uulize kama ya jinsia gani,hukawii kununua shati la kiume.manake shurti darts nne mbele, nne nyuma! na kufuli siku hizi zipo za bikini za kiume,kha!
<br />
<br />
mkwe we acha tu! Wanatuingilia pamba zetu. Lol!
Step son wako akivaa hvyo namtiririsha.
 
kuna wanaume wana 20 pairs of nice designer boots,trust me! ni hobby tu! manake hata wanawake kuna mtu anapenda dresses, mwingne tites, mwingne mgonjwa wa viatu zaidi ama handbags. its same as afrodenzi anapenda cars (she calls them sexy sports cars,lol). so inategemea,asiye na hili ana lile. bt shopaholics ni wengi among ladies,kuna nguo unanunua bei ghali na huivai mwaka mzima. then u ask urself,hivi did i need this?

ha haaa
nilijua wanawake wote mtashangaa nimetaja pea saba...
Unaona?
Hata hao wao wenye majukumu still wanaspend zaidi
while wanawake pea saba ni ndogo mno
kwa wanaume pea saba labda ndo maximum..
U see my point?????
 
Umenikumbusha zamani mashati ya kike ndio yaliyokuwa na back dart. Enzi hizo mwanaume akivaa shati lenye back dart shuleni ulikuwa unachekwa kama nini. Lakini siku hizi mashati wanaume back dart mtindo mmoja.

casual-white.jpg

Sasa huyu ndio aweza qualify as a Man... as much as kavaa mbano... mbano unaeleweka... Me likey...
 
Umenikumbusha zamani mashati ya kike ndio yaliyokuwa na back dart. Enzi hizo mwanaume akivaa shati lenye back dart shuleni ulikuwa unachekwa kama nini. Lakini siku hizi mashati wanaume back dart mtindo mmoja.

casual-white.jpg

fitblu.jpg

Dart haikuondolei uanaume wako na wewe! Vaa tu :]
 
heeh! kutiririsha ndo nini? usie ukaniulia mwanangu kwa presha bibi weye! ila kweli wakati mwingine utadhani mkaka kavaa blouse ya dadake!

mkwe we acha tu! Wanatuingilia pamba zetu. Lol!
Step son wako akivaa hvyo namtiririsha.
 
gee
what happens to 'benefits of the doubts'???

Ni lazima wanaume wote wa lift some weight
just to look ok????

Hapo Boss hakuna benefit of doubt wala bibi yake. :]

Sio masuala ya muscles ni masuala ya postures. Postures za mwanamme na mwanamke hazilingani, zikilingana jua pana mushkeil
 
heeh! kutiririsha ndo nini? usie ukaniulia mwanangu kwa presha bibi weye! ila kweli wakati mwingine utadhani mkaka kavaa blouse ya dadake!
<br />
<br />
mkwe itabidi nikuletee kamusi. Tatizo umeishi sana china hata kiswahili kinakusumbua.
Mkwe unavijua vipedo.
 
usisahau mashati ya pink yenye maua ya njano! manake zamani ilikua ukiona hata color tu unajua hili la kike! sasa sarawili hizi za suti ambazo ni tite kama jeans tight ndo utadhani tunashindana ma-hips! nshachoka mie!

Umenikumbusha zamani mashati ya kike ndio yaliyokuwa na back dart. Enzi hizo mwanaume akivaa shati lenye back dart shuleni ulikuwa unachekwa kama nini. Lakini siku hizi mashati wanaume back dart mtindo mmoja.

casual-white.jpg

fitblu.jpg
 
  • Thanks
Reactions: EMT
na siku hizi ukiona face scrub yako haipo bafuni inabidi umuulize mume/bf! Kha!

sometimes mnayataka nyinyi...
Mtu ukiwa clean but rough maneno meengi..
Mwisho inabidi kusubiriana na kupishana kwenye dressing table lol
honestly naweza kuishi bila kioo cha kujitazama hata mwaka mzima..
Kuna mwanamke anaeweza hiyo?
 
usisahau mashati ya pink yenye maua ya njano! manake zamani ilikua ukiona hata color tu unajua hili la kike! sasa sarawili hizi za suti ambazo ni tite kama jeans tight ndo utadhani tunashindana ma-hips! nshachoka mie!

Kuna mji niliwahi kuishi, wanaume hawavai pink shirts or anything pink. Mwanaume akitokea amevaa anything pink basi watu watamtokea wakijua ni wali wa nazi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
uzee dawa mkwe,u will understand me 30 yrs to come,trust me sio mbali! sasa vipedo ndo kutiririsha?nipe darasa. afu siku hizi kuna zile sarawili/pedo/tite ambazo kama kanyela mumo,lol! (inabidi nimuombe FF anieleweshe,mweh!)
mkwe itabidi nikuletee kamusi. Tatizo umeishi sana china hata kiswahili kinakusumbua.
Mkwe unavijua vipedo.
 
Back
Top Bottom