Kwa wapenzi wa mambo haya......

Kwa wapenzi wa mambo haya......

He he he

Wakikosa warembo watajibeba! Mtu hujijui uko na mwanamme au mwanamke mwenzio!

Maana lipstick na kutinda nyusi pia tayari!

Mara ghafla bin vuu

homosexual2.jpg
 
afu uongee na mie vizuri nisitoboe siri yako ya handbags pia,manake ya viatu ishavuja,lol!

Umeona eeeh?? lol.... King' Mie kwenye bags... hata niwe nayo moja it is OK mradi iwe of class/quality/unique na not less than (Tsh 50,000)
 
Na ukijua mgongoni kuna dart comfort inayeyuka! Kazi kweli kweli

Probably ni malezi na stereo types b'se primary wavulana tulikuwa tunakatazwa kuvaa mashati yenye darts. Kama ilivyo kwa mwanaume kuvaa pink colour.
 
na mwanamke hapaswi kutokuonana na kioo mwaka! actually an ideal man (najua AshaDii tunakubaliana hapa) hata skin lotion hatumii unless ana problematic skin! mwanaume ilimradi hana body odors,should be fine! a man gotta look like a man jamani! mnatukosesha nishai,lol
sometimes mnayataka nyinyi...
Mtu ukiwa clean but rough maneno meengi..
Mwisho inabidi kusubiriana na kupishana kwenye dressing table lol
honestly naweza kuishi bila kioo cha kujitazama hata mwaka mzima..
Kuna mwanamke anaeweza hiyo?
 
Umeona eeeh?? lol.... King' Mie kwenye bags... hata niwe nayo moja it is OK mradi iwe of class/quality/unique na not less than (Tsh 50,000)

Na mwanaume average ana soksi ngapi?
 
Probably ni malezi na stereo types b'se primary wavulana tulikuwa tunakatazwa kuvaa mashati yenye darts. Kama ilivyo kwa mwanaume kuvaa pink colour.

Nakuelewa kimtindo. Kama mimi na animal print! Yaaaks. Hasa nikiona mtu mnene kajivalia hiyo!

Mama Salma alivaa koti hasa la mnyama alinitibua mbaya!
 
na mwanamke hapaswi kutokuonana na kioo mwaka! Actually an ideal man (najua ashadii tunakubaliana hapa) hata skin lotion hatumii unless ana problematic skin! Mwanaume ilimradi hana body odors,should be fine! A man gotta look like a man jamani! Mnatukosesha nishai,lol

you are defining me hapo...
Bora ungenifuata pm,
sikujua kumbe ndo nipo ideal hivyo lol
 
na mwanamke hapaswi kutokuonana na kioo mwaka! actually an ideal man (najua AshaDii tunakubaliana hapa) hata skin lotion hatumii unless ana problematic skin! mwanaume ilimradi hana body odors,should be fine! a man gotta look like a man jamani! mnatukosesha nishai,lol

Yaani nimecheka sana. Unanikumbusha marehemu babu yangu alikuwa akiniambia kila siku kuwa mwanaume sharti anukie kama beberu, haya mambo ya deodorant sijui eti cologne ama lotion yeye alikuwa anapinga sana. Yaani anashauri as a man unaoga na unavaa na imetoka. Hakuna cha cologne, lotion wala deodorant!! eti ukinuka kama beberu basi hata mabint mtaani wanakuwa turned on!!
 
i have no problem with having plenty of stuff,lol! muhimu asilazimike kurudia. i dont mind 60 pairs of socks, and 60 pairs of underwear (ur bet is right,sipendi kufua mara kwa mara,so no pressure,lol!)
Na mwanaume average ana soksi ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hehehe,inabidi useme unatumia cologne gani,manake ndo mtihani wa mwisho kabla sijakuja huko pm,lol
(angalia ashadii asijue,ni wifi yangu)

yaani
nilikuwa nasubiri mwaka mpya uje ndo ninunue kioo cha ukutani..
Kumbe bora niahirishe kabisaa lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom