Kwa wapenzi wa mambo haya......

Kwa wapenzi wa mambo haya......

Na nna same dress as that mwanamke wa kinigeria!

Itabidi nikaitoe swadaka!
 
mara ya ngapi wavae? siku hizi nguo dukani shurti uulize kama ya jinsia gani,hukawii kununua shati la kiume.manake shurti darts nne mbele, nne nyuma! na kufuli siku hizi zipo za bikini za kiume,kha!
msije mkaanza kuvaa na nanilii zetu. Tu
 
Hivi kwa wastani
mwanamke wa kitanzania ana viatu vingapi na mabegi mangapi?
Nazungumzia working class...
Tukifanya utafiti utakuta ni industry ya mabilioni....

Kwa ambao hawana waume, mshahara (au niyaite mapato coz kwa wengine yanapatika bila ya ajira rasmi) mwingi unamaliza kujipambia.

Wakiwa na mtoto wengi wanapunguza bajeti ya mapambo
 
mara ya ngapi wavae? siku hizi nguo dukani shurti uulize kama ya jinsia gani,hukawii kununua shati la kiume.manake shurti darts nne mbele, nne nyuma! na kufuli siku hizi zipo za bikini za kiume,kha!

Waacheni wavae bana....muhimu wapendeze tu, wasituchoshe kutizama vikaragosi :]
 
kwa ambao hawana waume, mshahara (au niyaite mapato coz kwa wengine yanapatika bila ya ajira rasmi) mwingi unamaliza kujipambia.

Wakiwa na mtoto wengi wanapunguza bajeti ya mapambo

from ur experience
wastani ni viatu vingapi na mabegi mangapi?
Mimi na guess ni mabegi nane na viatu pea saba...
Na pointi hapa ni kuwa yeyote anaetengeneza bidhaa hizo
anapata faida...
Wananunua tu hata kama hawahitaji kabisa
 
Pea saba ya viatu ni ndogo kaka.
 
from ur experience
wastani ni viatu vingapi na mabegi mangapi?
Mimi na guess ni mabegi nane na viatu pea saba...
Na pointi hapa ni kuwa yeyote anaetengeneza bidhaa hizo
anapata faida...
Wananunua tu hata kama hawahitaji kabisa

Huh pea saba tu boss!

Inategemea na kazi anayofanya zaidi lkn kwa mwenye uwezo wa kiasi ukihesabu vya mtoko, kazini, na vya kuzururia kariakoo vinaweza fika pea 20 Hadi 30

Bags labda ndio chache mtu anaweza kuwa nazo 4 za kazini na 4 za kutokea.
 
huh pea saba tu boss!

Inategemea na kazi anayofanya zaidi lkn kwa mwenye uwezo wa kiasi ukihesabu vya mtoko, kazini, na vya kuzururia kariakoo vinaweza fika pea 20 hadi 30

bags labda ndio chache mtu anaweza kuwa nazo 4 za kazini na 4 za kutokea.

ha haaa
nilijua wanawake wote mtashangaa nimetaja pea saba...
Unaona?
Hata hao wao wenye majukumu still wanaspend zaidi
while wanawake pea saba ni ndogo mno
kwa wanaume pea saba labda ndo maximum..
U see my point?????
 
Yaani out of all those guys watatu wanaqualify kuonekana kama wako gay.... They don't look man enough...

AD mimi nakuwa na upofu ama may be niko so naive na maono....qualifications gani umeziona zinazoleta utata kwa those 3 guys?
 
nimezungumzia average
wapo wa pea arobaini au hamsini
wengine kumi au sita
so average...

Wewe unahisi ni ngapi?

Nilipokuwa chini ya miaka 15 labda ndo nilikuwa na pea saba za viatu, by the time I knew how to ask for what I needed at home hazikuwahi kushuka tena.

Naamini wanawake wengi wangekuwa na uwezo wangenunua vingi tu.

Mentality yetu kwa hapo ni tofauti na wanaume
 
mwalimu,tatizo nyingine sijui ndo usharobaro,inakuwa wamezidi bana! a man shld look manly,hii mambo ya kuvaa blouse and leave no imaginations inapunguza dhana nzima (siisemi,lol). kuna vitu vimezidi,mara viatu vya pink na nano,kha!
Waacheni wavae bana....muhimu wapendeze tu, wasituchoshe kutizama vikaragosi :]
 
AD mimi nakuwa na upofu ama may be niko so naive na maono....qualifications gani umeziona zinazoleta utata kwa those 3 guys?

If I were to label them it will go like this

1-okay
2-gay
3-manly
4-gayish
5-almost gay
6-just dumb
7-a man
 
AD mimi nakuwa na upofu ama may be niko so naive na maono....qualifications gani umeziona zinazoleta utata kwa those 3 guys?

Nashindwa hata kusema... Hebu Check hao wakaka wooote in blue... alafu fananisha na mkaka wa mwisho kabisa.... Can you see the difference??
 
thanx

nikisema average ni fifteen..
Tukipata idadi ya wanao itwa the middle class na average price..
Ni mabilioni for sure..

Definately... na hapo hujazungumzia bags bado...lol
 
mara ya ngapi wavae? siku hizi nguo dukani shurti uulize kama ya jinsia gani,hukawii kununua shati la kiume.manake shurti darts nne mbele, nne nyuma! na kufuli siku hizi zipo za bikini za kiume,kha!

Umenikumbusha zamani mashati ya kike ndio yaliyokuwa na back dart. Enzi hizo mwanaume akivaa shati lenye back dart shuleni ulikuwa unachekwa kama nini. Lakini siku hizi mashati wanaume back dart mtindo mmoja.

casual-white.jpg

fitblu.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom