FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
kwangu mimi naweza nikasema hii ndo best Historical drama 2019 so far!!kuna ile scene bwana mdogo yule clown,kajifanya mfalme yupo na malkia nje palace wakaenda "kwa mama ntilie" malkia anashangaa mfalme kapajuaje hapa?wakati wanarudi usiku jamaa akapita sehemu wanauza zile compass,jamaa mfalme anajua ku negotiate bei vibaya mnoimefika wamekubaliana kulipa jamaa hela hana anamcheki queen!!View attachment 1291381View attachment 1291382
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kilichonishangaza katika hii Drama ni jinsi Waandaaji walivyojaribu kuitofautisha na Masquerade Movie hususani kadri Storyline ilivyokuwa ikiendelea na utofauti ulizidi kuonekana.clowned Crown kama sijakosea
Ila kuna kuna single movie inaitwa masquerade nadhani iliyochezwa na lee byun hun ni same story na hiyo series
Moja ya tofauti hizo ni hasa pale ambapo Mfalme wa kweli Lee Hun alipouawa hivyo kumfanya 'Mchekeshaji' Bw. Ha Sun kukichukua mazima kiti cha Ufalme kitu ambacho ni tofauti na kwenye filamu ya Masquerade.
Utofauti mwingine ni katika uhusika. Katika Movie ya Masquerade tunaona likitumika jina la Gwanghae wa Joseon kama Character ya Mfalme wa kweli kitu ambacho kilikuwa ni tofauti katika The Crowned Clown.
Scenes za kuchekesha na wakati mwingine kuhuzunisha zimesheheni humo ingawa kwa muono wangu naweza kusema kuwa Masquerade Movie imejaa vituko lukuki vya kukufanya ucheke ndani ya muda wa masaa mawili tu na dakika kadhaa.
Yote kwa yote, zote mbili yaani Drama pamoja na Movie, kila moja ilikuwa na uzuri wake wa kipekee.