Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

mwanamke anaroho ngumu kama paka yule,yule dada alicheza uhusika hasa,yani anaigiza mpaka unasahau kwamba anaigiza!
Lady ki kiasi kikubwa amenifanya niipende Sana hii series yule dada alijua kuuvaa huusika kwelkweli nimesikia sasa anakuja na series inaitwa "chocolate" mwezi huu
Ndio maana yake
Alikuwa na ndugu yake (mdogo wake) aitwaye Jeon Tae-Soo.

Aliyepata kutazama Cruel Palace: War of Flowers, Soo Baek-Hyang pamoja na Sungkyunkwan Scandal atakuwa anamfahamu.

He passed away mwaka jana mwanzoni.
 
Empress Ki, Queen Seondeok pamoja na Lady Jang Ok-Jung wa Joseon ni miongoni mwa wanawake wenye 'Roho Ngumu' katika historia ya Korea.

By the way, kuna wengine kama Queen Munjeong wa Joseon pamoja na Mishil (Seju) n.k.

Walitisha sana na kwa kweli juhudi zao za kusaka 'Madaraka' zilivuka mipaka.
 
Mishil dah huyu mwamba alikuwa hatari
 
Jang ok-jung & Mishil asee salute kwao! Ni maana halisi ya wanawake wa shoka
Empress Ki, Queen Seondeok pamoja na Lady Jang Ok-Jung wa Joseon ni miongoni mwa wanawake wenye 'Roho Ngumu' katika historia ya Korea.

By the way, kuna wengine kama Queen Munjeong wa Joseon pamoja na Mishil (Seju) n.k.

Walitisha sana na kwa kweli juhudi zao za kusaka 'Madaraka' zilivuka mipaka.
 
Ndugu zangu hapa nilipo nafuatilia series ya psychopath diary na sasa ipo episode ya 6 ni ongoing series ila Cha ajabu na nikero kwangu imepita wiki mbili sasa bila episode kuongezeka imekomea ya 6 Nina shindwa kujua utaratibu wautoaji wake uko vipi? Mbona episode hizo 6 wamezitoa haraka imekuaje baada ya hapo wanazingua kiasi hiki sasa hiv inaenda wiki ya tatu na sioni dalili yoyote ya kutoa episode ya 7 n.k.Naombeni ufafanuzi kwenye hili jamani.
 
TWO WEEKS? Seriously bro?
Ok kwa mujibu wa ratiba yao last episode ilionyeshwa Dec 5 na episodes leo na kesho.
NB: Hii ni drama ya katikati ya wiki na sio weekends dramas
 
Ndugu zangu hapa nilipo nafuatilia series ya psychopath diary na sasa ipo episode ya 6 ni ongoing series ila Cha ajabu na nikero kwangu imepita wiki mbili sasa bila episode kuongezeka imekomea ya 6 Nina shindwa kujua utaratibu wautoaji wake uko vipi? Mbona episode hizo 6 wamezitoa haraka imekuaje baada ya hapo wanazingua kiasi hiki sasa hiv inaenda wiki ya tatu na sioni dalili yoyote ya kutoa episode ya 7 n.k.Naombeni ufafanuzi kwenye hili jamani.
Inaoneshwa jumatano na alhamis. Leo utaipata ikiwa haina subs. So jiwekee uwe unaangalia alhamis na ijumaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom