FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Huyo ni Mzee wa makamo Jun Kwang-ryul.Hii ameigiza pia huyu mwaba hapo chiniView attachment 1182368
Pia naomba kujua filamu kadhaa alizoigiza huyu jamaa..namkubali sana aisee..move zake nyingi ni akili sana..hakurupuki
Kama unahitaji "ya kifalme" basi bila shaka utakuwa unahitaji Historical Drama na katika Historical Drama alizoigiza huyo mzee nguli kabisa katika Tasnia ni kama zifuatavyo;
- Jumong (2006)
- Warrior Baek Dong Soo (2011)
- Jang Hee-Bin / Royal Story (2003)
- King and I (2007)
- Royal Gambler (2016)
- Flower in Prison (2016)
- Jung-Yi, Goddess of Fire (2013)
- Heo Joon (1999)
Kati ya hizo nilizokutajia, alizoigiza kama 'Mfalme' ni mbili nazo ni;
- Jumong (2006): Aliigiza kama Mfalme Geumwa wa Buyeo
- Jang Hee-Bin / Royal Story (2003): Aliigiza kama Mfalme Sukjong wa Joseon
Kazi nyinginezo alizofanya huyo mzee wa makamo ni kama ifuatavyo;
- Swallow the Sun
- The Man in the Mask
- Witch at Court
- You Are Too Much
- Sign n.k.
Mpaka hapo nadhani tutakuwa tumekula ng'ombe mzima kasoro mkia ambao bado tunautafuta.