Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kacheza 'Drama' nyingine nyingi tu tofauti na Jumong (Prince of Legend):
  • Everybody, Kimchi! (2014)
  • Kangnam Scandal (2018)
  • Pit-a-pat, My Love (2011)
  • That Man Oh Soo (2018)
  • Gu Am Heo Joon (2013)
  • Twinkle Twinkle (2011)
  • Can't Stop Now (2009)
  • Beautiful Mind (2016)
  • Always Spring (2016)

Ongezea na nyingine 'Historical' inaitwa Jejungwon (2010).
mkuu niruhusu nikusahihishe japo kidogo:
  • jeong gwang leol ameshiriki kwenye guam heo joon ya mwaka 1999 na si mwaka 2013 kama ulivyoandika hapo juu.
  • guam heo joon ya mwaka 2013 muigizaji mkuu alikuwa ni marehemu kim ju hyeok.
  • pia mwaka 1975 kupitia kituo cha MBC muigizaji kim mu saeng ndiye aliyeigiza uhusika wa dr heo joon, huyu mzee kim mu saeng ambaye pia ni marehemu ndiye baba mzazi wa late actor kim ju hyeok. Heshima ilioje kwa wanafamilia wawili kwa nyakati tofauti kuigiza uhusika wa mwanadamu genius kwenye sekta ya afya anayeendelea na atakayeendelea kuheshimika ndani ya korea na nje ya mipaka yake.
 
Rookie Historian Goo Hae Ryung Daemusin Ost Zake Ni Balaa Hasa My Dream By Yoonmirae..
Bogoshipo Chingu Sana Sana.
Uje Basi Twende Busan.
omo omo omo
ahjumma mtarajiwa hiyo drama sijawahi kuiangalia hata kidogo na sidhani kama nitaweza kuiangalia (najihisi kuchoka kuangalia drama)

bahati mbaya kwa hizi drama zilizoanza mwishoni mwa mwezi july to august hakuna hata moja ninayoifuatilia.

  • doctor john drama : hii naifuatilia na imeshafika ep 10
  • hotel del luna drama : imefika episode 12.
  • designated survivor drama :imeshamaliza leo
sina mpango wa kuingiza toleo jipya isipokuwa season 3 ya arthdal chronicles ambayo huenda akipenda Mungu (inshaallah) ikawa ndio funga dimba yangu kwenye ulimwengu huu wa korean drama.
 
Bogoshipseyo...

Itafute Iyo Ost tu Usikilize
 
Del luna Nimeiacha Sasa ivi nina iyo Rookie
 
Franc the Great anaonekana ndo mrithi. Ila nasikitishwa huenda ufalme huu ukaanguka, kiukweli hali ni mbaya kama nayoishuhudia sasa hivi ya Silla.
Ila huyu Binti ambaye ni mwana wa mfanya biashara wa Geumsung, ambaye msimuliaji anatueleza kuwa atakuja kuwa mke wa pili wa mzee Wang Guhn, ni binti anaejielewa na yuko vizuri kichwani. Ndo naingia ep 60/200
wewe muhuni kutoka pyongyang unadhani ubongo wangu ni mwepesi sana kiasi ambacho iwe ni rahisi kuwahifadhi wake wa bwana wang guhn kwa mtiririko?

uyo mjinga alikuwa na wanawake takribani 30 mpaka wengine alikuwa anawatongoza mara mbili
 
Back
Top Bottom