Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
😂😂 Salute kwako Sisy, haya ni mahaba kwa Bidam rang.Bidam ni handsome kwelikweli.
Kama hujui baada ya hiyo series kuisha wanawake wa Korea walimchamgua kama sexiest man wa Korea.
Miye Nilimchukia baada ya kujiunga na kambi ys wasaliti ( Kina Mishil) but kifo chake na cha Queen Vilinimwaga machozi.