Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 10,098
- 15,685
Nimemkumbuka jamaa yako anavyo muita Mishil hasa akiwa kwenye hali ya wasiwasi ananifurahisha sana yani.sema mbona unacheka
Nimemkumbuka jamaa yako anavyo muita Mishil hasa akiwa kwenye hali ya wasiwasi ananifurahisha sana yani.sema mbona unacheka
au akiwa anashangaa au hakubaliani nae... Ila Mishil nyoko sana ameiweka midume miwili mkononi anaituma anavyotaka..she is quite a specimen kama wenyewe wanavyosemaNimemkumbuka jamaa yako anavyo muita Mishil hasa akiwa kwenye hali ya wasiwasi ananifurahisha sana yani.
Hiyo fiery priest ina episode ngapi
Ngoja niione ila huyo bidam wako simkubali wala nini20 Unnie...
Ila leo ndio imetoka ya 19 muda sio mrefu na kesho ndio final episode.
Ni kaliiiiiiii, Uwiiiiiiii sitaki kukuambia itafute kama unataka kuwa kichaa kama mimi nilivyokuwa ndani ya siku 2 nimeangalia episodes 18!
Ngoja nikaangalie ya 19 nirudi, hata kula siwezi mpaka niiangalie hahaaaaa.
Hahahaa kichaa wa Bidam kweli ww. Vipi kuna mkono humo ana uzinguaji tu20 Unnie...
Ila leo ndio imetoka ya 19 muda sio mrefu na kesho ndio final episode.
Ni kaliiiiiiii, Uwiiiiiiii sitaki kukuambia itafute kama unataka kuwa kichaa kama mimi nilivyokuwa ndani ya siku 2 nimeangalia episodes 18!
Ngoja nikaangalie ya 19 nirudi, hata kula siwezi mpaka niiangalie hahaaaaa.
Mishil bonge la mwanamke alafu mrembo we acha tu. Yule akili zimejaa mpaka zinamwagika, mpaka Deokman huwa anamvulia kofia mda mwingine. Ila kakutana na kisiki cha mpingo, Deokman atamsumbua sana dogo yupo makini sana. Oooh kichaa wangu Godo na mwenzake kiwaona naandaa kicheko tuau akiwa anashangaa au hakubaliani nae... Ila Mishil nyoko sana ameiweka midume miwili mkononi anaituma anavyotaka..she is quite a specimen kama wenyewe wanavyosema
ukisikia malikia wa nguvu ndio yule sasaMishil bonge la mwanamke alafu mrembo we acha tu. Yule akili zimejaa mpaka zinamwagika, mpaka Deokman huwa anamvulia kofia mda mwingine. Ila kakutana na kisiki cha mpingo, Deokman atamsumbua sana dogo yupo makini sana. Oooh kichaa wangu Godo na mwenzake kiwaona naandaa kicheko tu
Ngoja niione ila huyo bidam wako simkubali wala nini
Hahahaa kichaa wa Bidam kweli ww. Vipi kuna mkono humo ana uzinguaji tu
Nimemkumbuka jamaa yako anavyo muita Mishil hasa akiwa kwenye hali ya wasiwasi ananifurahisha sana yani.
mule nilitaka nimchukue Alcheon baadae nikagundua yupo mchumba wangu wa siku (Wolya) zote nikaona wacha tu nibaki njia kuuNimepata relief kusikia humkubali maana sitaki stress za ‘competition’ na ukiiona tafadhali baki na msimamo huuhuu
Haha usimsahau Hajong alivyokuwa anadeka kila saa 'omonyiiii' mwenzie Bojong alikuwa yupo strong sijui kwa vile alikuwa amezoea kupigana... Ila hakuna sehemu nilicheka kama ile scene Yushin anamkabidhi Kim Chunchu kwa Bidam kuwa ndio atakuwa tutor wake alivyotahayari akaanza 'look here Yushin, we have already grown fond of each other' yaani nilicheka na Bidam anavyoona hivyo anazidi kujivalisha ukauzu amtisheUmenikumbusha alivyokuwa anamuita halafu anaivuta... Nuniiiiiiiiim hahaaaaa
Home tulikuwa tukiwaona tu wameingia kwenye vile vikao vyao tunaanza kucheka.
Hadi leo huwa nikimuona nakumbuka ‘Nuniiiiiiim’ na zile hereni zake.
Alivyokuwa anaringa kitaa sasa, kwakweli hiyo drama inafaa ipewe tuzo ya heshima, walitisha sana.
Hahahaaa Hajong bonge la kituko ile anavyo muita mama yake ndio kiburudisho tosha na kule kucheka cheka kwake, ukiwakuta na mjomba wake ndio mbavu vitakuuma mpaka basi. Hahahaa Yushin nae kwa ukauzu hajamboHaha usimsahau Hajong alivyokuwa anadeka kila saa 'omonyiiii' mwenzie Bojong alikuwa yupo strong sijui kwa vile alikuwa amezoea kupigana... Ila hakuna sehemu nilicheka kama ile scene Yushin anamkabidhi Kim Chunchu kwa Bidam kuwa ndio atakuwa tutor wake alivyotahayari akaanza 'look here Yushin, we have already grown fond of each other' yaani nilicheka na Bidam anavyoona hivyo anazidi kujivalisha ukauzu amtishe
Hizi series wenzang mna download kweny site gan?20 Unnie...
Ila leo ndio imetoka ya 19 muda sio mrefu na kesho ndio final episode.
Ni kaliiiiiiii, Uwiiiiiiii sitaki kukuambia itafute kama unataka kuwa kichaa kama mimi nilivyokuwa ndani ya siku 2 nimeangalia episodes 18!
Ngoja nikaangalie ya 19 nirudi, hata kula siwezi mpaka niiangalie hahaaaaa.
mule nilitaka nimchukue Alcheon baadae nikagundua yupo mchumba wangu wa siku (Wolya) zote nikaona wacha tu nibaki njia kuu
Mimi huwa naangalia dramaniceHizi series wenzang mna download kweny site gan?
Haha usimsahau Hajong alivyokuwa anadeka kila saa 'omonyiiii' mwenzie Bojong alikuwa yupo strong sijui kwa vile alikuwa amezoea kupigana... Ila hakuna sehemu nilicheka kama ile scene Yushin anamkabidhi Kim Chunchu kwa Bidam kuwa ndio atakuwa tutor wake alivyotahayari akaanza 'look here Yushin, we have already grown fond of each other' yaani nilicheka na Bidam anavyoona hivyo anazidi kujivalisha ukauzu amtishe
Dramania apkHizi series wenzang mna download kweny site gan?
Hizi series wenzang mna download kweny site gan?
Hajong na Uncle wake Lord Misaeng walikuwa ‘buddies’, sitaki kukumbuka zile safari zao za kwenda kula bata na wale gisaeng hahaaaaa
Hivi ujue hii drama mara ya mwisho kuiangalia ni 2013 lakini bado nakumbuka kila kitu kwa ufasaha kabisa? Kiasi gani niliipenda...
Halafu baada ya kuangalia The Fiery Priest nimegundua Bidam ana ucomedian flani hivi wa serious.
Ila na wewe Unnie jamani! Ndio nini hata kunipa kongole kwa kukupa hii suggestion kuntu? Umesahau Damushin alivyokuwa anaiponda hapa mimi nikawa nakupa moyo? Hahaaaaa
Umeona ambacho ungekikosa sasa?