Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bidam ni handsome kwelikweli.
Kama hujui baada ya hiyo series kuisha wanawake wa Korea walimchamgua kama sexiest man wa Korea
emoji4.png
.
😂😂 Salute kwako Sisy, haya ni mahaba kwa Bidam rang.
Miye Nilimchukia baada ya kujiunga na kambi ys wasaliti ( Kina Mishil) but kifo chake na cha Queen Vilinimwaga machozi.
 
Salute kwako Sisy, haya ni mahaba kwa Bidam rang.
Miye Nilimchukia baada ya kujiunga na kambi ys wasaliti ( Kina Mishil) but kifo chake na cha Queen Vilinimwaga machozi.

Hahaaaaa namkubali tu jamaa bhana na hapo nimeongea ukweli.
Nam Gil ni bonge la actor, ukitaka kuamini angalia The Fiery Priest,katisha sana.
 
The Fiery Priest naona ipo kwenye On going nasubiri mzigo mzima ndiyo nianze so kwa muda huu nipo na Sambong(the 1st Joseon PM) na Sejong the Great(the 4th Joseon King).
Hizo promo unazoipa The Fiery naomba ziwe sambamba na moto wa humo ndani jama,😀
 
The Fiery Priest naona ipo kwenye On going nasubiri mzigo mzima ndiyo nianze so kwa muda huu nipo na Sambong(the 1st Joseon PM) na Sejong the Great(the 4th Joseon King).
Hizo promo unazoipa The Fiery naomba ziwe sambamba na moto wa humo ndani jama,

Imeisha jana, tena nakushauri usiianze kabla hujamaliza hizo nyingine maana sitaki lawama mimi.
Mimi nikinyoosha mikono ujue chuma ni kikali kwelikweli.
 
download.jpeg
unnamed (1).jpg

Park Chul Min(Hwang Yeong Bo)
Nilimpenda zaidi kwenye the Return of Il jamae huyu mwamba Full vituto, kwenye Warriors Baek Dong Su alikuwa na Roho ngumu kufa .

Kwenye The Emperor ( Ruler of the Mask)
Alikuwa serious but bado alikuwa kituko.
Kwenye Athena(Iris) sikumbuki uhusika wake niliitazama 2011.
Miye namkubali kuliko wale wehu (sija kashifu ila nimewasilisha sifa kwa shitzai) kina Jukbang.
 
View attachment 1077426View attachment 1077427

Huyu jamaa uhusika wake huwa siukubali sana. Hasa kwenye warrior Baek Dong Su (halafu sikuimalizaga hii)
Nilifurahi pale alipokatwa kidole na na Mzee Geumwa ambaye huko kaigiza kama mwamba wa swordsmanship Korea, nilicheka sana.

Nikimaliza ratiba zangu kuna drama nitazirudia kama hiyo Baek Dong Su, niliipenda sana ligi ya yule mlevi na mzee Geumwa, panga la huko sio mchezo.
Walikuwa wakionana Mzee anampa mlevi pombe au anamuacha alewe ndipo pambano lianze
 
Ki
unnamed.jpg

Umewahi kuitazama hiyo The Return of Il jamae?!
 
Ndivyo alivyo bhana, Bidam lips zake ni za pink. Kwani hujawahi kuona watu wa namna hiyo?
Bidam ni handsome kwelikweli.
Kama hujui baada ya hiyo series kuisha wanawake wa Korea walimchamgua kama sexiest man wa Korea .
Ule wakati Yushin anajiunga na Mishil kumbe Deokman alikuwa na hisia nae kwanini sasa hakumwambia. Anaishia kujisemeza tu "na mimi", "vipi kuhusu hisia zangu kwako"
 
The Fiery Priest naona ipo kwenye On going nasubiri mzigo mzima ndiyo nianze so kwa muda huu nipo na Sambong(the 1st Joseon PM) na Sejong the Great(the 4th Joseon King).
Hizo promo unazoipa The Fiery naomba ziwe sambamba na moto wa humo ndani jama,
Mimi nataka nikutane na vichekesho vya kumwaga na mkono usio simama.
 
Ule wakati Yushin anajiunga na Mishil kumbe Deokman alikuwa na hisia nae kwanini sasa hakumwambia. Anaishia kujisemeza tu "na mimi", "vipi kuhusu hisia zangu kwako"

Deokman na Yushin walikuwa wanapendana ila ndio hivyo Wakorea sijui wakoje? Kila mmoja akawa anakufa na maumivu yake.
Hata Yushin alipooa Deokman aliumia sana, hata mimi niliumia tena nikawa natamani harusi isifanyike kweli!

Baadae alipokuja Bidam nikatamani ndio waowane nako ikawa vile, dah hiyo series ni maumivu matupu!
 
View attachment 1077426View attachment 1077427

Park Chul Min(Hwang Yeong Bo)
Nilimpenda zaidi kwenye the Return of Il jamae huyu mwamba Full vituto, kwenye Warriors Baek Dong Su alikuwa na Roho ngumu kufa .

Kwenye The Emperor ( Ruler of the Mask)
Alikuwa serious but bado alikuwa kituko.
Kwenye Athena(Iris) sikumbuki uhusika wake niliitazama 2011.
Miye namkubali kuliko wale wehu (sija kashifu ila nimewasilisha sifa kwa shitzai) kina Jukbang.
Hahahaa Jukbang ni moto ata kuliko huyo mzee wako. Jukbang moto usipime kwa ukimuona tu unajiandaa kucheka, nakumbuka ile siku anamwelekeza Lord Chunchu Hahahaaa nilicheka balaa jamaa fundi sana sasa ukimkuta na chizi mwenzake Godo ndio utacheka mpaka machozi yakutoke. Naona saizi yuko kwenye harakati za kumtokea binti mrembo Sohwa
 
Hawakuwa na namna, ilikuwa ni lazima Yushin akipate kile cheo ili awe na nguvu ya kisiasa na njia pekee ilikuwa ni kujisalimisha kwa Mishil. Ila ninachojiuliza ukoo wa Mishil ulifaidika vipi baada ya hapo maana sioni kama walinufaika na chochote baada ya Yushin kuoa mtoto wao
Deokman na Yushin walikuwa wanapendana ila ndio hivyo Wakorea sijui wakoje? Kila mmoja akawa anakufa na maumivu yake.
Hata Yushin alipooa Deokman aliumia sana, hata mimi niliumia tena nikawa natamani harusi isifanyike kweli!

Baadae alipokuja Bidam nikatamani ndio waowane nako ikawa vile, dah hiyo series ni maumivu matupu!
 
Hawakuwa na namna, ilikuwa ni lazima Yushin akipate kile cheo ili awe na nguvu ya kisiasa na njia pekee ilikuwa ni kujisalimisha kwa Mishil. Ila ninachojiuliza ukoo wa Mishil ulifaidika vipi baada ya hapo maana sioni kama walinufaika na chochote baada ya Yushin kuoa mtoto wao
Mishil hapo ndio alijichanganya sana, lakini naweza sema tayari kina Yushin walikuwa na mkakati wao.
 
Back
Top Bottom