Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 817
- 1,772
Kifupi ni Series tamu kweli kweli ni full siasa, na kuna vitu vingi najifunza toka humo.
Character pia ni wazuri, mzee wako General Fengba, Yeosok-ae n.k utawakuta humo.
Hakuna Series aliyowahi kicheza mwema, pia hajawahi kizembe.General Fengba alinikeraaaa, yani nilikuwa natamani afe lakini hafi!
Yeon Seokgae is my guy, siwezi kusubiri kuanza kuiangalia hiyo Sambong.
Hivi hakuna aliyewahi kuangalia The Great Seer humu jamani? Ni kali sana nashangaa haijamake ‘headlines’ hapa!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jodong Jeong( Sambong) nipo ep 10, even SIX FLYING DRAGON haiufikii huo moto wa Sambong hata kwa chembe, kifupi hawa jamaa walimaliza kila kitu hivyo sidhani kama Great Seer inaufikia.
Thanks... Dramanice wamefanya yao
Huyu ndo yupo kwenye Faith?Katika Historical Drama nilizomuona huyu mwamba IM HO zote kacheza kama mfalme na kifupi jamaa anawezea sana kucheza kama mfalme
View attachment 1064517
Binafsi Song Il-Gook namwelewa sanaHivi kuna mtu asiye mkubali huyo mwamba???
MGC
Jamaa amefaa sana kwenye Empress Ki na pia yupo kwenye......(nimesahau)Kuna Baadhi Ya Waigizaji Ambao Wanapendezea Sana Kuigiza Bad Guys Ama Villains, Conmen, Watu Makatili n.k. Na Miongoni Mwa Hao Ni Huyu Mzee-Kijana Jung Woong-In.
Unaweza Kuta Kuna Projects Ambazo Unakuta Muigizaji Anaigiza Kama Villain Lakini Hafananii Kabisa Na Kile Anachoigiza Na Anakuwa Kama Amelazimika Tu Kuigiza Uhusika Huo Kutokana Na Sababu Mbalimbali.
Katika Projects Nyingi Alizohusika Huyu Jamaa Na Nyingine Zijazo, Kwa Maoni Yangu Ana-Fit Sana Akiigiza Kama Villain Kutokana Na Muonekano Na Uwezo Wake Wa Kuuvaa Uhusika Wa Namna Hizo.
View attachment 1069872
View attachment 1069847
Binafsi Song Il-Gook namwelewa sana
Sent from The Black Forest
Naitafuta hiyo Sambong Dramacool siioniJodong Jeong( Sambong) nipo ep 10, even SIX FLYING DRAGON haiufikii huo moto wa Sambong hata kwa chembe, kifupi hawa jamaa walimaliza kila kitu hivyo sidhani kama Great Seer inaufikia.
Utaikuta DramaniceNaitafuta hiyo Sambong Dramacool siioni
Sent from The Black Forest
Project ya Jodong Jeong(Sambong) imeelezea historia kwa undani, kuliko hata hiyo Flying Dragon.Hivi hakuna kaz nyingine aliyofanya sambog tofauti na jodong jeong na six flying dragon?,kama ipo mnijuze wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasi yako inanitisha maana miye nakwenda nayo taratibu, mwishowe utaanza kunisimulia matukio angali miye ndo nimeianza.Hahaaaaa usimalize maneno kwa drama ambayo bado hujaiangalia Mkuu.
Mimi sijaiona hiyo Sambong hivyo siwezi kusema sio nzuri zaidi ya hii The Great Seer, naimaliza leoleo na kwa maana hii itabidi niianze hiyo Sambong pia.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kasi yako inanitisha maana miye nakwenda nayo taratibu, mwishowe utaanza kunisimulia matukio angali miye ndo nimeianza.
Nachelewa kwenda nayo kasi, sababu kuna the Great King Sejong naicheki, nayo ni tamu kweli kweli.
"The Fiery Priest" ni historical drama or ni ya mjini!?!Nimeshamaliza The Great Seer, ilikuwa kali naipa 9/10.
Sasa kwakuwa umelalialia ngoja nianze na Bidam kwenye The Fiery Priest, lol
Nikiimaliza hiyo ndio nitaanza kuangalia Sambong.
Hata hivyo nimeangalia drama za historical siasa sana hadi nimechoka, uzuri hii ninayotaka kuangalia genres zake ni crime na comedy.
Nimemiss kuangalia drama zenye intelligence kali, na hapo tena mzee baba Jukbang yupo humo ni raha tele.
Sent from my iPhone using JamiiForums
"The Fiery Priest" ni historical drama or ni ya mjini!?!
Naitafuta hiyo Sambong Dramacool siioni
Sent from The Black Forest
mkuu sambong si actor bali ni jina la umaarufu la mwanaharakati aliyepata kuishi mnamo karne ya 13.Hivi hakuna kaz nyingine aliyofanya sambog tofauti na jodong jeong na six flying dragon?,kama ipo mnijuze wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app