Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Jamani jamani hii The Banker kiboko! Episode za jana (9&10) zimenitoa jasho. Hapa nazisubiri za leo zaidi ya mfanyakazi anavyosubiri mshahara, lol.
Episode (9&10)
"The monk must leave the temple he dislikes"
nina uelewa mdogo sana wa maswala ya kifedha na sekta zake lakini ninapoiangalia hii drama mdogo mdogo najiona kama nipo taasisi za kifedha, nilichojifunza hata kama huna uelewa wa jambo husika ili capacity yako ya uelewa iongezeke ni vizuri sana kufuatilia zaidi mambo usiokuwa na uelewa nayo ndio maana nimeichagua hii project ya the banker japokuwa baadhi ya nyakati naangalia matukio mara mbili nipate kujifunza zaidi.
  • inaonekana mwanzoni kulikuwa na vita kubwa sana ya kimaslahi kati ya EX vice chairman Yook na mwanadada Do Jung aliyeteuliwa nafasi ya director of HR( kama nipo sahihi itakuwa ni human resource) Kwa nguvu yake bwana yook akaamua kuyafunga baadhi ya matawi ambayo yalikuwa yanasimamiwa na bidada do jung ja kwa kisingizio cha kutofikisha 20% kwa dhumuni la kumuangusha.
  • cha kushangaza kuna baadhi ya matawi hayakuvuka 20% kama vile nogyeong branch lakini jamaa hakuyaweka kwenye list ya kufungwa, cha kushangaza zaidi ni kwamba tawi la jongju ambalo lilikuwa chini ya bwana assad no dae ho halikuwa chini ya usimamimizi wa bidada do jung na lilifikisha 20% sasa swali linakuja kwa nini jamaa akaamua kulifunga?
je kuna uwezekano aliyeamua kulifunga tawi la jong ju ni bwana president kang ili apate nafasi ya kumuajiri noh daeho nafasi ya auditor kwa sababu kwa mtazamo wangu haiwezekani bwana yook alifunge tawi ambalo halimletei athari yoyote kwenye nafasi yake ya uongozi.
  • huenda yule assembly Jung Soo-Chan hana mahusiano mazuri sana na president kang, inaonekana president ameshamfahamu kama jamaa ni kigeugeu na aliwahi kushiriki kwenye mipango ya kumpindua, assembly jung ameamua kumtumia director Park Jin-Ho ambaye amepewa nyadhifa kwenye taasisi ya FSS (Financial Supervisory Service).
  • FSS ndio wanaosimamia hizi financial institution zikiwemo benki nchini korea, Park Jin-Ho amependekeza hizi taasisi za kibenki zifanye recruitment (zitafute wafanya kazi wapya), wakati huo huo assembly Jung Soo-Chan alishakuwa na mtu wake ambaye alitaka aajiriwe kwenye benki ya daehan na huenda ni yule binti aliyeulizwa maswali mepesi wakati wa interview na bidada do jung
namnukuu assembly jung soo chan walipokuwa wanakunywa na wajanja wenzake​
president kang unaonaje ukamzawadia zawadi nzuri bwana park jin ho, president akauliza zawadi gani?
jamaa akajibu si unajua vijana wengi wapo mitaani hawana ajira hivyo basi wakati huu ambao rafiki yetu amepewa nyadhifa ya director of FSS unaonaje benki yako ikatoa ajira mpya kwa kizazi kijacho(vijana) ili bwana park ajisikie furaha.

president akakataa mpango wa kuajiri wafanyakazi wapya mpaka walipokutanishwa tena na viongozi wa benki ndipo akakubali kishingo upande.
je kuna uwezekano assembly jung amemhonga director park ili atilie mkazo suala la benki ya daehan watoe ajira?
1069714
 
@Damushin mbona naona kama President Kang Sam Do sio mtu mbaya? Naona kama ni mzalendo anayeipenda bank yao ndio maana amekuwa mnoko wa kufuatilia kila jambo. Ila sijaelewa pale alipompunguzia majukumu vice president kimafia na kumuweka yule mama lengo lake lilikuwa nini? Au ndio kama vile ulisema anamtafutia sababu ya kumfukuza? Maana kwa sekeseke lile alilolianzisha Director Noh naona kabisa kazi hana.
  1. kuna uwezekano president kang anawafahamu kiundani wafanyakazi wake wote hivyo basi anafahamu fika udhaifu wao, huenda mzee alikuwa anafahamu fika kama nikimweka nafasi ya director of HR mwanamama do jung kwa tamaa zake atayatumia vibaya madaraka yake, kiukweli mpaka sasa sijaifahamu sura halisi ya president kang Kang Sam-Do
  2. na ukiangalia ni kweli mwanamama kivyovyote alihongwa ili amwezeshe yule msichana apate ajira ndani ya daehan bank. hivyo basi ukiangalia mtiririko wa matukio utagudundua viongozi wote wenye nguvu aliyowaondoa madarakani amewaondoa kwa sababu za msingi. nimeona preview ya episode ya jana nafasi ya director amemteua Han Soo-Ji baada ya kugundulikana kashfa ya uchakachuaji wa zoezi la kuajiri wafanyakazi wapya
  3. wafanyakazi wengi wa daehan tokea arudi kazini bwana lee ha gon wamekuwa wakijipendeza kwake na si ajabu kukutana ofisini kwake kujadiliana maswala mbali mbali, president kang huenda amempunguzia madaraka ili jamaa asiwe na ngivu kubwa ndani ya taasisi ya daehan

  • director aliwauliza marais wa benki kuna uvumi unaosema ya kwamba taasisi nyingi za kibenki zimejikita zaidi kwenye ishu ya kujiongezea zaidi kipato chao kwa kupunguza baadhi ya matawi (internal restructing) huku huduma kwa wananchi zikiwa hafifiu, hili swali alimlenga president kang na benki yake ya daehan, kama nilivyo suggest coment ya mwanzo huenda assembly jung kwa kushirikiana na chief of judiciary ambaye mtoto wake ndiye yule kilaza walikuwa pamoja kwenye ishu ya kumweka kwenye corner president kang atoe ajira kupitia daehan institute.
  • ndipo rais mmoja wa benki akajibu hapana muheshimiwa sio taasisi zote bali ipo benki moja ya biashara ndio imeamua kufunga zaidi ya matawi yake 100 jambo lililopelekea waliokuwa wafanyakazi kuwa jobless. ndipo director akamuuliza president kang je unazungumziaje madai hayo juu ya benki yako kuyafunga zaidi ya matawi 100
president kang akajibu suala moja tu ambalo lilihusu utoaji huduma kwa wananchi ambapo alijibu wafanyakazi wetu wanatoa huduma nzuri sana kwa wananchi,
lakini director hakuwa na shida ya jibu hilo bali alitaka kufahamu kwa nini taasisi yake ya daehan imefunga zaidi ya matawi 100 na mpaka sasa hawajatoa ajira mpya?

rushwa rushwa rushwa ndio imetapakaa kwenye ile ishu ya kutoa ajira na responsible ni director of human resource ambaye ni mwanamama do jung.

episode 11, 12 (= ep 6 sijabahatika kuzitafuta mpaka muda huu na sitaki unisimulie kilichotokezea mwanzo mwisho just nipe summarize) 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️:(:(
1069778
 
yaani we bwana comments zako

Sent using Jamii Forums mobile app
sijamshinda bosi wako kipenzi kwa maneno yake yaliojaa utani na busara kuliko yesu wa india kwa jamaa zake.
  1. marehemu alikuwa na wake wanne lakini ametajwa mmoja.
  2. Inakuwaje anapotea mtoto wa kwanza hadi wa 7, RPC bado upo? Mbona watoto wako hawapotei
  3. baadhi ya watendaji serikalini wamekuwa vichwa vigumu kama kamongo.
  4. Kuna watu wamevimbiwa amani kama wale wanaovimbiwa na chakula au pombe
  5. Kwanza OCD na RPC waliochoma walikamatwa? Kwamba bado wapo tu? Hamuwajui? Bahati yenu mlichoma nikiwa sio Rais - Si wamechoma hapa, tungeshika kijiji kizima. Wangepiga ‘Push Ups’, wangelamba mchanga, kisha wangetajana tu
  6. Mpeni asilimia na ole wake asifanye kazi Haki ya Mungu atakoma mwenyewe, akishapata hizo fedha ndani ya siku tano afanye kazi usiku na mchana, msinisamehe waheshimiwa Maaskofu wanasema usilitaje bure jina la Mungu najua mmenisamehe, lakini kwa hawa wakandarasi ngoja nilitaje
  7. Mkandarasi wa uwanja wa ndege hatakuwa na sababu ya kuchelewesha kuanza kufanya kazi kwa nguvu zote na fanye kazi usiku na mchana, mkandarasi huyu wa hapa ambaye tangu mwaka jana anahangaika tu na kilometa 50, angepewa kilometa 200 naona angemaliza miaka 200
  8. Kweli mkuu wa mkoa wa Mtwara umeshindwa hata kumtuma OCD au RPC wako ukamtandika pingu kwa sababu ule ni uhujumu uchumi kwa maendeleo ya Wanamtwara akashughulikiwe kule, hilo nalo lilikushinda? Wewe DC una mamlaka ya kumweka mtu masaa 48 lokapu, wakati mwingine mnawaonea raia wa kawaida, ulishindwaje?
  9. Mafisadi wote nitalala nao mbele
  10. On behalf of my self and the people of Tanzania, our deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro!!
  11. Kwani tetemeko lilitetemesha na kuvuruga migomba mpaka mseme mnanjaa? Tetemeko likatetemeshe wafungwa wajenge gereza lao!
  12. Mwandishi: Nje na siasa, kitu gani kingine unapendelea? Unataka nikwambie nakupenda wewe?
  13. Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
  14. udom ina uwezo wa kubeba wanafunzi 40000+ na udsm 24000+ na bado tcu wanadahili wanafunzi 30000+ sasa hiv vi chuo vingine si bora vifutwe naomba wazir na tcu waliangalie hili sijuh mnaviita st nin.... na venyew vinataka wanafunzi wapate hela
  15. Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Na sisi hatujengi.
  16. Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake. Njaa haijaletwa na serikali''
  17. Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''
  18. Natamani malaika washuke kuzima mitandao ya kijamii''
 
daah hivi huwaga unazinote mahali? Haki nimecheka hiyo namba 16 sijawahi kuisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. kuna uwezekano president kang anawafahamu kiundani wafanyakazi wake wote hivyo basi anafahamu fika udhaifu wao, huenda mzee alikuwa anafahamu fika kama nikimweka nafasi ya director of HR mwanamama do jung kwa tamaa zake atayatumia vibaya madaraka yake, kiukweli mpaka sasa sijaifahamu sura halisi ya president kang Kang Sam-Do
  2. na ukiangalia ni kweli mwanamama kivyovyote alihongwa ili amwezeshe yule msichana apate ajira ndani ya daehan bank. hivyo basi ukiangalia mtiririko wa matukio utagudundua viongozi wote wenye nguvu aliyowaondoa madarakani amewaondoa kwa sababu za msingi. nimeona preview ya episode ya jana nafasi ya director amemteua Han Soo-Ji baada ya kugundulikana kashfa ya uchakachuaji wa zoezi la kuajiri wafanyakazi wapya
  3. wafanyakazi wengi wa daehan tokea arudi kazini bwana lee ha gon wamekuwa wakijipendeza kwake na si ajabu kukutana ofisini kwake kujadiliana maswala mbali mbali, president kang huenda amempunguzia madaraka ili jamaa asiwe na ngivu kubwa ndani ya taasisi ya daehan

  • director aliwauliza marais wa benki kuna uvumi unaosema ya kwamba taasisi nyingi za kibenki zimejikita zaidi kwenye ishu ya kujiongezea zaidi kipato chao kwa kupunguza baadhi ya matawi (internal restructing) huku huduma kwa wananchi zikiwa hafifiu, hili swali alimlenga president kang na benki yake ya daehan, kama nilivyo suggest coment ya mwanzo huenda assembly jung kwa kushirikiana na chief of judiciary ambaye mtoto wake ndiye yule kilaza walikuwa pamoja kwenye ishu ya kumweka kwenye corner president kang atoe ajira kupitia daehan institute.
  • ndipo rais mmoja wa benki akajibu hapana muheshimiwa sio taasisi zote bali ipo benki moja ya biashara ndio imeamua kufunga zaidi ya matawi yake 100 jambo lililopelekea waliokuwa wafanyakazi kuwa jobless. ndipo director akamuuliza president kang je unazungumziaje madai hayo juu ya benki yako kuyafunga zaidi ya matawi 100
president kang akajibu suala moja tu ambalo lilihusu utoaji huduma kwa wananchi ambapo alijibu wafanyakazi wetu wanatoa huduma nzuri sana kwa wananchi,
lakini director hakuwa na shida ya jibu hilo bali alitaka kufahamu kwa nini taasisi yake ya daehan imefunga zaidi ya matawi 100 na mpaka sasa hawajatoa ajira mpya?

rushwa rushwa rushwa ndio imetapakaa kwenye ile ishu ya kutoa ajira na responsible ni director of human resource ambaye ni mwanamama do jung.

episode 11, 12 (= ep 6 sijabahatika kuzitafuta mpaka muda huu na sitaki unisimulie kilichotokezea mwanzo mwisho just nipe summarize) ‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️:(:(
View attachment 1069778

Aigooooo! Mbona unanipa assignment tena? Sijakuelewa... unasema ep 6 hujaangalia au? Hizo zilizopita siwezi kukumbuka kwa umakini sana, nakumbuka tu mtiririko wa matukio kwa pamoja sikumbuki ilikuwa ep gani.
BTW ndio kwanza naanza kuangalia ep 11&12.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom