Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,282
- 1,096,069
Sijaiona huwa naipita tu ila hizi nimezipenda zipo poa. Na vile huwa siangaliu ongoing nasubiria mpaka ziishe ndo naanza vuta kwa mkupuo
ndiyo maana family drama zinanishinda njiani kwa sababu ni ndefu na hadithi zake zinaanza taratibu kama tamthilia za ITV.
father is strange ulishawahi kuiangalia?