Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,364
Kwaiyo Umeamua Kutumia Maandishi Makubwa Ama!??
- hivi kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umechumbiwa na rafiki yako wa kiume ukamkatalia?
- kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umempenda rafiki wa kiume ila yeye akakukataa?