Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aminas unaanzishaje vita ambayo huna uhakika wa kushinda?
matokeo yake unakimbilia kituo cha polisi kwa siri.
mhhhhhhhhhhhhh!
Hahahahahahhahah,

Nishakujua Kwani Nilikuwa Nakutafakari We Nani! Kumbe wewe asa Ndo Nini Haya Mambo Ingepaswa Tumalize Chumbani Kule Ndo Nini Kuyaleta Sebuleni Kwa Watoto, Unaniaibisha Baba Mwenye Nyumba
 
TyZSYOR.jpg

42655408490_6f6c217d32_b.jpg
 
Lee Jong Suk’s Agency Responds To Reports Of Plans For New Drama And Enlistment
kuna stori zinadai ya kwamba jamaa amepata offer ya kuigiza kwenye remake drama ya kimarekani inayojulikana kwa jina la YOUNGER na pia anategemewa kujiunga na jeshi mnamo mwezi february 2019.
lakini management yake wanaomsimamia wamesema ya kwamba bado haijajulikana ni lini atakwenda kutumika jeshi na pia wamedai ya kwamaba lee jong suk amepata offer nyengine ya kushiriki drama inayoitwa “Romance Supplement” lakini bado hajachagua offer nzuri ya kushiriki.
“Romance Supplement” ni drama itakayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya watu wawili wenye wastani wa umri wa miaka 30.
404e3feb1170413e8f37f5f29cc74658.jpeg

tujiandae kisaikolojia kufuatilia drama bila ya lee jong suk kwa miaka 2.
nathubutu kusema huyu jamaaa ndiye king of romantic comedy drama au nakosea?
hivi kuna project yoyote aliyoichagua ikawa mbaya?
while you were sleeping drama
doctor stranger
w two world
pinoccio
i hear your voice

millitary services loading...........................
Hivi kwann wasanii wengi wa korea huenda jeshini? Ni sheria yao au ni sababu gani?
 
Hivi kwann wasanii wengi wa korea huenda jeshini? Ni sheria yao au ni sababu gani?
The constitution states in Article 39, "All citizens shall have the duty of national defense under the conditions as prescribed by Act."
iyo sheria haijaweka kwa ajili ya celebrities peke yao ila ni kwa wanaume wote. Celebrities na wanamichezo wanapaswa kutumikia shughuli za kijeshi kabla hawajatimiza miaka 30 ila wengineo mpaka miaka 35 ndio mwisho.
Na si kwamba wote wanakwenda special force pia vipo vikosi vyengine kama polisi, marine cops, navy wengine wanachaguliwa kwenda huko.
kama una matatizo ya kiafya unaweza kufanya kazi za kijamii kwa mfano lee min ho.
Na kibaya zaidi hujui ni siku gani utatakiwa kutumikia shughuli hizo mpaka pale utakapotumiwa barua kutoka idara kuu ya ulinzi.
unaweza ukalala na asubuhi yake ukakuta amri imeshatoka mwezi ujao uwende jeshini.
na uzuri wa sheria yao haiangalii heshima ulionayo kwenye jamii.
changmin-donghae-siwon.png

Choi-Siwon-Changmin-XPN.jpg

super-junior-siwon-650x813.jpg

If athletes can dodge military service in South Korea, why can’t pop stars?
miongoni mwa mjadala unaoendelea kwa kasi sana kwenye media ni kuhusiana na sheria hii kuwapa faida wanamichezo pindi pale wanapoiletea heshima taifa wanapewa nafasi ya kutokutumikia jeshini na mfano mdogo tumeona juzi baada ya korea kuchukua medali za ASIAN GAMES wachezaji wamepewa heshima hiyo akiwemo son wa tottenham ambaye kama korea wasingelibeba ubingwa basi alitakiwa aende jeshini kwa miezi 21.

According to a law (link in Korean) enacted in 1973, men who have “raised the national image on a global stage and enriched the culture and sports sectors” are allowed to avoid military conscription.

baadhi ya wachangiaji wanahoji kwa nini nafasi hiyo wapewe wanamichezo tu na si wengineo?
kwa nini waimbaji wa kpop na wao wasipewe nafasi hii wakitolea mfano mafanikio ya BTS kwenye muziki ni makubwa sana kwenye dunia hii.

There are even online petitions (link in Korean) submitted to the presidential Blue House calling for K-pop group BTS—whose album recently topped the US Billboard chart—to be exempt.
BTS20.jpg

  1. South Korean government to review military exemption policies after Son Heung-Min’s Asian Games gold
  2. If athletes can dodge military service in South Korea, why can’t pop stars?
  3. BTS Returns to No. 1 on Billboard Artist 100 Chart
  4. Should K-pop go bang? South Korean stars BTS caught in conscription debate
 
BTS To Make An Appearance On “America’s Got Talent”
On September 5, NBC’s “America’s Got’ Talent” aired the results for the first half of the semi-finals. During the broadcast, Tyra Banks unexpectedly announced that BTS would be performing and “heating up the stage” during the next results show. She previously hinted at a possible reunion while giving BTS a shout-out ahead of the U.S. leg of their world tour.
Through its social media accounts, the TV program confirmed that BTS would be appearing next Wednesday, September 12! The second part of the semi-finals is set to take place next week.
62deee7b088c4fe986f63d1701a21408.jpeg

BTS is currently in the United States for their “Love Yourself” world tour, with their first U.S. concert taking place tonight at Staples Center in Los Angeles, California. The North American portion of this tour will also include a sold-out concert at Citi Field in New York.
 
Kim Rae Won And Won Jin Ah Confirmed As Leads Of Upcoming Film
On September 6, it was confirmed that he is confirmed for the film, and Won Jin Ah will be playing the female lead.
Based on a popular webtoon, “Long Live the King” is about a mob boss who campaigns and becomes a politician and how he changes the country. Kim Rae Won will be playing the lead role Jang Sae Chool, while Won Jin Ah will be playing his girlfriend Kang So Hyun.
Kim Rae Won recently appeared in films “The Prison” and “RV: Resurrected Victims” as well as drama “Black Knight.” Won Jin Ah has starred in JTBC dramas “Just Between Lovers” and “Life.”
b452aeae709844c1bda36f8340b9d4f5.jpeg
 
Zakwako?
Upo?

Yule Naniniuu Ni Wewe?
  1. hivi kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umechumbiwa na rafiki yako wa kiume ukamkatalia?
  2. kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umempenda rafiki wa kiume ila yeye akakukataa?
ikiwa moja kati ya haya mawili yaliwahi kukutokezea unaweza kuelezea hisia ulizokabiliana nazo japo kwa kutumia source code?
 
ee25b7085c2b489c90d37e778c99ed88.jpeg

mchumba kaniletea tunzo nyumbani siku ya leo.
hwang bora
wenye wivu watapata tabu sana,wamebakiwakijiuliza eti nimekupendea nini?
na mimi nawauliza nanyinyi niwapendee nini?
hawana majibu na wamebaki wana weweseka

Winners Of The 6th Korean Art And Cultural Awards
On September 6, the 6th Korean Art and Cultural Awards were held at the Parliamentary Museum at the National Assembly Building. The ceremony was hosted by the Korea Art Culture Award Committee and the Challenge Korea sports division, and sponsored by HL Company.
The Korean Art and Cultural Awards were first held in 2013 to recognize those who play a major role in the cultural industry and awards people in arts, culture, and sports.

Film Development Merit Award: Yang Yoon Ho
Film Director Award: Kang Yoon Sung
Musical Award: Choi Jae Rim
Hip Hop Award: Yang Dong Geun
Model Award: Han Eu Ddeum
Hallyu Content PD Award: Kim Ji Wook
Radio Host Award: Lee Soo Ji
TV Host Award: Ha Ji Young
Comedian Award: Lee Yong Jin
Choreographer Award: Bae Yoon Jung
Actor Award: Oh Ji Ho
TV Actor Award: Hwang Bo Ra
Sports Entertainer Award: Kim Dong Hyun
Beauty Creator Award: Risabae
Beauty Icon Award: Han Chae Young
Music Producer Award: Future Bounce
Arts and Cultural Merit Award: Son Sung Min
Arts Education Award: Professor Park Moon Hee
Hallyu Media Development Award: Park Byung Guk
Cultural Business Promotion Award: Hwang Sung Yeon
Congratulations to all of the winners!
maxresdefault.jpg
 
  1. hivi kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umechumbiwa na rafiki yako wa kiume ukamkatalia?
  2. kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umempenda rafiki wa kiume ila yeye akakukataa?
ikiwa moja kati ya haya mawili yaliwahi kukutokezea unaweza kuelezea hisia ulizokabiliana nazo japo kwa kutumia source code?
Mbona Kama Sijakamata.
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom