M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,699
- 117,147
Alafu kwanini kuna muda utasikia King/Mfalme akiitwa 'Peaaah' alafu nyingine anaitwa 'Chonaah'?
- nilichojifunza ni mara nyingi historical drama za taifa la goguryeo wanatumia neno peaaah (sina uhakika kama ndivyo linaandikwa hivi) au taewang
- joseon dynasty drama ndio wanatumia chonaah
- baekje kingdom wanatumia eorahaaa