Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wala wivu haukusumbui ni kweli ni mbovu basi tu sie wapenda romance tunaiona nzuri. Ila imevutwa sana mpaka kukosa ladha inayotakiwa kuwa nayo
Miye namisi drama zenye Episode nyingi.

Wivu ndo unanisumbua au Nina fikra zenye makengeza why hiyo Drama ya Empress Ki karibia kila mtu anaisifu, halafu miye naiona kama Historical Drama mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona. SIJUI.
 
kushasema una makengeza, kizuri utakiona kibaya, kibaya utakiona kizuri.
umekuwa huna utofauti na mnyama paka
hajui ladha nzuri wala mbaya.
hajui kama chakula hiki ameshakila mwezi mzima au laaa.
 
Hivi kamani drama zipi nzuri zinaonyeshwa jumatano na alhamisi. Maana najikuta hizi siku zinakuwa ndefu bila kuangalia korean drama. Msaada wenu jamani maana naona usiku huu kwangu utakuwa ni mrefu sanaa.
 
Hii vita ya Choe Yangbaek na Kim Jun sijui itakuwaje, maana wote hawa ni Magwiji wa kwenye Arena.

Choe Yangbaek amegeuka kuwa upanga wa Overlord ( Choe Hang), Kim Jun alimteua Choe Yangbaek kuwa mlinzi binafsi wa Overlord Huyo lakini Choe Yangbaek amebadilika kinoma anasema anatekeleza amri za Bwana wake. Kifupi Choe Yangbaek kabadilika kinoma, Yawezekana wivu pia, Sasa wanataka kumuua Greatest Hero( Kim Kyongson) sidhani kama Kim Jun ataruhusu hili, maana Wa+ Goryeo wanamuhusudu sana huyu General Kim Kyongson kuliko hata Mfalme wao.

Cha kufurahisha na kusikitisha ni kuwa kuna muhuni anaitwa Im Hyeon, yeye alisaidiwa na Kim Jun kutoka kwenye adhabu ya kifo, na Jamaa aliapa kumtumikia Kim Jun kama baba yake, Kim Jun amemzidi Im Hyeon miaka 9 lakini anamtumikia jamaa kama mshua wake, Kulingana na msimulizi wa Historical events Ndani ya Drama anadai kuwa Im Hyeon atamuua KIM JUN.
Wacha miye niendelee.
Soldier/ a Warrior/ a Military Official ( god of War ) Drama.

Tafadhali Usisahau Kujiunga kwenye
Channel yetu ya Telegram, kama una drama kali ongea na Sisy Nifah akupe u- admin, ili utupie vitu.
Lengo kuu ni kurahisisha upatikanaji wa Drama. Kinachohitajika kule ni Nidhamu kama tunavyoidumisha hapa.
 
kwa sababu umeandika hadithi ya kijinga isiyonihusu kwa nyakati hizi.
hiyo drama nimeiangalia miaka mitatu iliopita.
Screenshot_20191104-222136.png

😁😁Kwa Mara ya kwanza Wazee kushiriki kwenye Arena. Kim Jun 45 & Choe Yangbaek 40. Wote wawili wakati wa Ujana wao( umri kati 18-20) walishiriki kwa nyakati tofauti na kuwa mabingwa. Sasa vita hii ya hawa magwiji wa Mapigano, inachagozwa na vitu vingi ndani .
Ila kwenye hii Battle Ushindi nampa Kim Jun, situ kwa sababu ndiye Mlengwa wa hii story bali jamaa anapokuwa anapigana anageuka Shetani, hata umpige vipi, It's hard to smash him.
 
Once again MB zangu zimepotea

Hii Golden garden ilitakiwa iwe na episode 16 tu zikizidi sana 20 sio mpaka 60 huko wakati hata haina mwanga mzuri,story mbovu

When the camellia blooms ipo slow inafaa muda ambao upo eneo lisilo na network porin huko umeboreka weee halafu movie unayo hio hio moja.

Empress KI nzuri ila ilifaa ipunguzwe episode basi tu enzi hizo ilikua mwendo wa episode nyingi
Empress ki ilikuwa ni bonge la series aisee ilikuwa Ina ubunifu mkubwa Sana.
 
Miye namisi drama zenye Episode nyingi.

Wivu ndo unanisumbua au Nina fikra zenye makengeza why hiyo Drama ya Empress Ki karibia kila mtu anaisifu, halafu miye naiona kama Historical Drama mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona. SIJUI.
Labda ukuielewa itakuwa ni moja ya series yenye ubunifu mkubwa alafu ni unpredictable uwezi kutabiri episode inayofuata itakuwaje matukio yanazaliwa.story yake tamu upande wangu nilikuwa na angalia episode 8 sometime mpaka episode 10 kwa siku kutokana na ubora wake.Kwangu the empress ki ni top 3 ya series yangu Bora duniani nilizowahi kuangalia all in all lady ki ambaye ni star wa hiyo series alicheza hiyo series kwa ufundi mkubwa ndo akanifanya nianze kufuatilia series zingine alizocheza huyu dada ni Moto wakuotea mbali.
 
Kila kitu huwa unasifia. Ukaisifia hadi golden garedn wakati mbaya ya kawaida mno

Empress ki haina ubunifu inaenda mbele inarudi nyuma ili mradi wafikishe ep 51

Ubunifu upo kwenye flower in prison japo nayo ilirefushwa mno
Golden gardeni nimeilewa episode za mwanzo nikajua itakuwa nzuri huko mbele imeniuzi so nimeishia episode ya 10 tu na Sina mzuka nayo Tena ila the empress ki ni habari nyingine Kama uliaangalia kwa umakini na ukaielewa usingehoji hivyo hii series yakiufundi inaitaji utulivu kuelewa. mtunzi wa hii series nimemvulia kofia anatisha na yule dada lady ki ambaye ndio Star hii series amenivutia ile mbaya sijaona star wa kike alicheza series yoyote ikanivutia Kama huyu ongera zake.Me binafsi sipendi historical drama na wewe unajua ila kwa hii series ilivutia ile mbaya tangu tu niangalie episode ya kwanza na Wala nilikuwa Sina mpango wakuangalia hii series rafiki yangu ndo alinilazimisha ila inavyozidi kwenda ndo utamu unazidi kuongezeka mwisho wa siku nikajikuta nimeimaliza yote.Nakumbuka nilimtoa rafiki yangu buku ya vocha Kama Asante ya hii series.
 
Hahahaa we jamaa msahaulifu sana,juzi kati hapa ulikua unaulizia kuhusu dong yi eti saiv unasema haupendi historical

Kingine usinisingizie mie sijui kama haupendi historical ninachojua wewe ni timu domo kindaki ndaki
Golden gardeni nimeilewa episode za mwanzo nikajua itakuwa nzuri huko mbele imeniuzi so nimeishia episode ya 10 tu na Sina mzuka nayo Tena ila the empress ki ni habari nyingine Kama uliaangalia kwa umakini na ukaielewa usingehoji hivyo hii series yakiufundi inaitaji utulivu kuelewa. mtunzi wa hii series nimemvulia kofia anatisha na yule dada lady ki ambaye ndio Star hii series amenivutia ile mbaya sijaona star wa kike alicheza series yoyote ikanivutia Kama huyu ongera zake.Me binafsi sipendi historical drama na wewe unajua ila kwa hii series ilivutia ile mbaya tangu tu niangalie episode ya kwanza na Wala nilikuwa Sina mpango wakuangalia hii series rafiki yangu ndo alinilazimisha ila inavyozidi kwenda ndo utamu unazidi kuongezeka mwisho wa siku nikajikuta nimeimaliza yote.Nakumbuka nilimtoa rafiki yangu buku ya vocha Kama Asante ya hii series.
 
Labda ukuielewa itakuwa ni moja ya series yenye ubunifu mkubwa alafu ni unpredictable uwezi kutabiri episode inayofuata itakuwaje matukio yanazaliwa.story yake tamu upande wangu nilikuwa na angalia episode 8 sometime mpaka episode 10 kwa siku kutokana na ubora wake.Kwangu the empress ki ni top 3 ya series yangu Bora duniani nilizowahi kuangalia all in all lady ki ambaye ni star wa hiyo series alicheza hiyo series kwa ufundi mkubwa ndo akanifanya nianze kufuatilia series zingine alizocheza huyu dada ni Moto wakuotea mbali.
Weeh!!!..... wakati nilipokuwa naitazama ilikuwa nyakati(2014) sawa na nilizokuwa nairudia The Great King Gwanggaeto.
Just imagine unamaliza kumuona The North Ghost( Mfalme Tam toek) Mfalme ni Mbabe Kupitiliza, unakuja huku( Empress Ki Drama) Mfalme (Yuen dynasty) ni Cry baby kama Camila Cabello, the dude was too weak.

Anyway Batul kama sijakosea jina ndiye aliyenivutia mule ndani. 😁😁Sababu ya kunivutia sababu alikuwa anampenda Peter Pan kwenye A man called god Drama, Alikuwa dada yake na yule bonge aliyekuwa anampenda Vivian.
Kilichonikera ni yule mfalme wa Gogyeo alipouwawa na yule Mfalme Bwege wa Yuen Dynasty.

Usizidharahu Pumba nazo ni chakula cha Ndege na wanyama.
 
Back
Top Bottom