Kwa wapenzi wa James Hadley Chase

...My favorite was 'The World in my Pocket' halafi ile ya 'No Orchids for Miss Blandish' ambayo pia ilipata kuchezwa filau 'The Grissom Mob'. Halafu zote zilizomhusu Detective 'Mkorofi' Tom Lepski, Zote zilizomhusu Milionaire Don Miklem za Mission to Siena na Mission to Venice na kulikuwa na ya tatu na zote zilizomhusu Jasusi wa Kulipwa Mark Girland akipambana na yule Jasusi wa Kirusi nimemsahau jina kwenye Novel tatu na ya Mwisho wanakubaliana yaishe, wasiaune wakati mabosi wao wamekaa tu ofisini!! Ah Those were the days when Books were our Televisions and Films...!
jasusi la kirusi nadhani jina ni malik
 
The best author ever, i remember the sucker punch " a guy who thinks he is safe, he is wide open for a sucker punch, just when he least expects it, wham he is down on his back"

Best author ever according to you, and not every reader!
 
Kwa wapenzi wa vitabu vya James Hadley Chase: Anayehitaji kitabu maalum aniambie. Mimi naomba mwenye 'One bright Summer Morning' anipatie.

Mimi pia ni mpenzi mkuwa sana wa huyu muandishi. I owe my english proficiency to his novels. If you need the whole collection in pdf format tembelea kwenye blog hii ifuatayo. Mimi nimekwisha download vingi na ni salama (virusi) - knock on wood.

Enjoy

JAMES HADLEY CHASE
 
Jamani natuma hii posting ili kutimiza posting 5. Mimi bado ni junia hapa na kuna mdau aliniletea PM kuhusu hivi vitabu lakini nikashindwa kumjibu kwa ajili ubavu wangu ulikuwa mdogo. Nadhani baada ya hapa nitawasiliana na alieni PM.

Kumradhi kwa usumbufu.
 
k, karbu junior!!
 
The sucker punch, do me a favour drop dead, you never know with women, my laugh comes last, so what happened to me?, knock knock who is there?, a lotus for miss quin, have this one on me, this is for real. Just to mention a few.
 
Duu mbona vitabu nilivyovisoma mimi hamvitaji humu? Au nimesoma vile vya kichovu chovu kama ''what is better than money?''
 
The sucker punch, do me a favour drop dead, you never know with women, my laugh comes last, so what happened to me?, knock knock who is there?, a lotus for miss quin, have this one on me, this is for real. Just to mention a few.

Vitabu ulivyoorodhesha hapo juu nilivipitia 1985-86 umenikumbusha mbali sana.
 
Kuna moja nasoma hapa THE THINGS MEN DO dah tamu stress kabisa mtu unasahau! Lakini Huwa najiuliza, James Hadley Chase aliandika novel zote hizi au watu wameiga style yake na kwa goodwill ya jina lake wakaamua kulitumia! He must have been so briliant kwakweli mtu huyu!
 
Nimekumbuka "just another sucker" the world is made up with smarts and suckers, these smarts be riches from these suckers and these suckers remain poor for long time or forever,i have been sucker now i have to find another sucker.
 
Kuna moja nasoma hapa THE THINGS MEN DO dah tamu stress kabisa mtu unasahau! Lakini Huwa najiuliza, James Hadley Chase aliandika novel zote hizi au watu wameiga style yake na kwa goodwill ya jina lake wakaamua kulitumia! He must have been so briliant kwakweli mtu huyu!

Hivyo vitabu vyote ameandika yeye. Huyo jamaa ni mwingereza lkn novels zake nyingi zinaelezea marekani
 
Back
Top Bottom