...My favorite was 'The World in my Pocket' halafi ile ya 'No Orchids for Miss Blandish' ambayo pia ilipata kuchezwa filau 'The Grissom Mob'. Halafu zote zilizomhusu Detective 'Mkorofi' Tom Lepski, Zote zilizomhusu Milionaire Don Miklem za Mission to Siena na Mission to Venice na kulikuwa na ya tatu na zote zilizomhusu Jasusi wa Kulipwa Mark Girland akipambana na yule Jasusi wa Kirusi nimemsahau jina kwenye Novel tatu na ya Mwisho wanakubaliana yaishe, wasiaune wakati mabosi wao wamekaa tu ofisini!! Ah Those were the days when Books were our Televisions and Films...!
huyo malik,jasus la kirusi nadhani yupo na kwenye,YOU FIND HIM ,I WILL FIX HIM.jasusi la kirusi nadhani jina ni malik
Umenikumbusha mbali mkuu! Umenikumbusha Mark Girland au John Gilchrist, (the womaniser) akikabiliana vilivyo na Mrusi Malik! Ninawakumbuka akina: Harry Rossland, John Dorey, Michael Thomas, Borg, Madame Foucher, Schwartz, Radnitz, Ivan, Tessa (binti yake Carey). Inastaajabisha kuona hata Chase anajua miji na vichochoro vya nchi ya Senegal!
Umenikumbusha mbali mkuu! Umenikumbusha Mark Girland au John Gilchrist, (the womaniser) akikabiliana vilivyo na Mrusi Malik! Ninawakumbuka akina: Harry Rossland, John Dorey, Michael Thomas, Borg, Madame Foucher, Schwartz, Radnitz, Ivan, Tessa (binti yake Carey). Inastaajabisha kuona hata Chase anajua miji na vichochoro vya nchi ya Senegal!
Nyingine ya Mark Girland na yule Russian detective ( Malik) ni YOU HAVE YOURSELF A DEAL, wanamgombea dada ambae anasadikika kuwa ni mke wa famous Chinese nuclear scientist ambae sasa anaanza kuwindwa na wachina,warusi wakiongozwa na Malik na wamarekani ambao wanamtumia Mark Girland... pata pichaya mark Girland nimesoma this is for real,na ya tom lepski nimesoma have a nice nite nakumbuka in those days these novels used kip me bizy sana....!!!!!duh!!nlikua mtoto mzuri kweli....!!!!
Umenikumbusha mbali mkuu!
Umenikumbusha Mark Girland au John Gilchrist, (the womaniser)
akikabiliana vilivyo na Mrusi Malik! Ninawakumbuka akina: Harry
Rossland, John Dorey, Michael Thomas, Borg, Madame Foucher, Schwartz,
Radnitz, Ivan, Tessa (binti yake Carey). Inastaajabisha kuona hata Chase
anajua miji na vichochoro vya nchi ya Senegal!
Ingine 'The things men do'. Yaani hii sasa ndo BHAAAS. Kwanza ukisoma page 2 tu lazima uimalize, maana inavoanza 2 inakulazimisha. Inaanza jamaa anaendesha gar yake at night alone then anakutana na msichana in d middle of no where akiwa na JAGUAR(gari) imeharibika. The guy stops and tells her its her lucky day maana ye ni car engineer but tatzo linakua kubwa jamaa anampa lift then gar ataiijia her girlfriend. Ndan sasa ya lift jamaa ndo anagundua huyu ni very hot girl also anashindwa kuelewa how she got ol dat money na akiwa mdogo hivo wakat jamaa ye ni fukara. Conversation yao inawapeleka mbali and yaliyomkuta jamaa CHASE anayajua
Ebana fanya mpango nipateKwa wapenzi wa vitabu vya James Hadley Chase: Anayehitaji kitabu maalum aniambie. Mimi naomba mwenye 'One bright Summer Morning' anipatie.
Hivi mwandishi Elvis Musiba(R.I.P) naye alikuwa anachukua kwa James na kutafsiri nini?
James Hadley Chase alikuwa na namna yake ya uandishi wa novel unaomfanya msomaji uwe na shauku ya kutaka kujua what is next kila unapomaliza paragraph/ page. Alikuwa anatumia simple modern english isiyokuwa na vocabulary za ajabu ajabu whenever necessary. Alikuwa genius ktk fiction stories. Kuna stori kuwa hata kundi la mafia walijaribu kutaka kumtumia ktk kumaster mind mbinu zao kadhaa ktk vipindi tofauti tofauti ili kufanikisha uharifu wao.