Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

everlenk ni kweli kabisa mpendwa . Yaani huyu Yesu mzuri kweli ni mpaka uwe na mang'amuzi binafsi ndo utaelewa na sio hii ya kusikia. Unakumbuka waliokua wanamzonga Yesu walikua wengi lakni alipopata mguso wa imani ndipo alipouliza ni nani amemgusa
 
Oceans will part by hillsong afu kuna track ya sedekia mwenye nayo naiomba safari ya imani nakutazama wewe nataka nifike ng'ambo salama nishike mkono nisizame huyu jamaa bado anaishi kazi zake zimesimama sana
 
Ocean Will Part (Naupenda sana mkuu) Furahia apa

Sikiliza huu Pia umeimbwa na Chris

Oceans will part by hillsong afu kuna track ya sedekia mwenye nayo naiomba safari ya imani nakutazama wewe nataka nifike ng'ambo salama nishike mkono nisizame huyu jamaa bado anaishi kazi zake zimesimama sana
 
Last edited by a moderator:
Sante sn......

Hahahaaaaaaaa muzee ya upako ata Kasi anafahamu wewe vzr, hayo mambo ya PM anaweza muzee ya Miamba na vurugu Mr Rocky

Mkuu Ntuzu upo mkuu
Mi nafurahia gospel anazotuma mkuu wangu hapa Tized upako unazidi kunishukia hapa mkuu
Joyous Celebration nawapenda sana aise japo wanaimba kikwao ila nawapenda sana kwa namna wanavyocheza na kuimba
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu upo mkuu
Mi nafurahia gospel anazotuma mkuu wangu hapa Tized upako unazidi kunishukia hapa mkuu
Joyous Celebration nawapenda sana aise japo wanaimba kikwao ila nawapenda sana kwa namna wanavyocheza na kuimba

Mkuu mi nipo sn tu umepotea sn kaka.
Tized mzee wa upako antupatia upako sn......

Pamoja sn mkuu.
 
Last edited by a moderator:
everlenk ni kweli kabisa mpendwa . Yaani huyu Yesu mzuri kweli ni mpaka uwe na mang'amuzi binafsi ndo utaelewa na sio hii ya kusikia. Unakumbuka waliokua wanamzonga Yesu walikua wengi lakni alipopata mguso wa imani ndipo alipouliza ni nani amemgusa
Kweli kabisa ndo maana aliuliza wanafunzi wake atakaporudi tena je ataikuta imani??? Huwa natafakari sipati jibu huyu mwanamke alikuwa na imani gani Mpaka Yesu kusema anaona nguvu zimemtoka nani kamgusa? Mhh!! Pana somo kubwa hapa Ablessed tujiulize Mimi na wewe Mara ngapi tumewahi kumgusa Bwana katika yale tunayotapitia bila kuangalia malimwengu wanasemajea tukafocus kwa Yesu tu kasema naam mwanangu pokea.......
 
Last edited by a moderator:
Oceans will part by hillsong afu kuna track ya sedekia mwenye nayo naiomba safari ya imani nakutazama wewe nataka nifike ng'ambo salama nishike mkono nisizame huyu jamaa bado anaishi kazi zake zimesimama sana

Mkuu ingia you tube search for 'nishike mkono' by fanuel utapata upako wote.
 
Hivi toka atishiwe uhai na serikali ya Tz alikimbilia wapi?

nahisi yupo Marekani maana clip zake za youtube zinamuonesha yupo huko
Ma ccm yalitaka kumuu kwa kuwaambia ukweli
 
Hayana hata aibu kutaka kumwaga damu ya mtumishi wa Mungu, yatakufa yenyewe mmoja baada ya mwingine, labda watubu mbele ya Mungu na kuacha uharamia wao.
 
Back
Top Bottom