Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Mimi joyous celebration ndo nawapenda sana,.wananibarik na nyimbo zao
joyous mkuuu hawafanyi makosa,..
mimi tangu nianze kuwafatilia na album yao ya 15,..
sijajuta kuwafatilia ndugu,...
 
Mimi joyous celebration ndo nawapenda sana,.wananibarik na nyimbo zao
hasa album ya 17 nyimbo ya nama na uyangihola,...
na JC18 ni bhekhani jehova
all all days nawaskiza nyumbaniii
 
hivi wapendwa kwanini Africa,,,..south african gospel,,,,,.,. inapendwa sana
kuliko gospel nyingine Africa???????????????????????????????????
 
Mi napenda mno joyous celebration jabo nasikiliza ila sielewi lugha na vile vile napend nyimbo za solly mahlangu, rebeka malope wenzetu wanaimba hadi unasisimka
kaka minimezimezaz nyimbo zao nyingi mnooooooooooo
joyous cerebration,...
yani huwa natamani siku1
nije kuimba nao kaka,...
yaaaaaaaaaaaaaani nimezimeza takribani nyimbo zao,..
jc c mchezo
 
Mi nmeona kwenye laptop sifaidi nimeamua kuweka kwenye simu nitembee nazo nina mda sijui hata nyimbo mpya ya bongo fleva mimi huyu yesu cjui nini kitanitenganisha nae
hawa jc yanii huwa naimba hadi machoz yananilenga,..
dahhh naskiaga wivu sana kwanini nasisi
hatufanyi hivi hivi,..
huwa najitahidi sana church kwetu tuwe differernt ila vijana wanaangusha sanaaa
yaani huwa nawish sana kurejesha tz gospel kwenye track
 
Kila wimbo una roho ndani yake, iwe ya Mungu au shetani.
TUJIULIZE NYIMBO ZA KIDUKU NA TAARABU YA YESU NK; ZINA MUNGU ?!
eti wanasema wanataka wapenzi za hizo staili za nyimbo.,..
huwa napinga wanamdhalilisha Kristo,..
 
hawa jc yanii huwa naimba hadi machoz yananilenga,..
dahhh naskiaga wivu sana kwanini nasisi
hatufanyi hivi hivi,..
huwa najitahidi sana church kwetu tuwe differernt ila vijana wanaangusha sanaaa
yaani huwa nawish sana kurejesha tz gospel kwenye track
Church kwenu wapi mkuu?
 
ni mtongani mkuu,..
nim,pendekoste mkuuu,..
we unasali wapi kaka???
 
msikilize na abiud misholi......baadhi ya nyimbo zake nakutajia jaribu kuzisikiliza..... (1) Ninasema (2) isaya (3) Biblia yasema (4) Baba (5) Usirudi nyuma (6) Simama mwenyewe (7) Nimebaki peke yangu (8) Moyo wangu wazi (9) Siku moja (10) Uje unitoe.

Hizo ni baadhi tu.....
Hizi nyimbo zinafariji sanaaa.
 
"Awesome God"

(originally by Rich Mullins)

When He rolls up His sleeves
He ain't just puttin' on the Ritz
(our God is an Awesome God)
There is thunder in His footsteps
And lightning in His fists
(our God is an Awesome God)
Well the Lord He wasn't jokin'
when He kicked 'em out of Eden
It wasn't for no reason that He shed His blood
His return is very close and so you better be believin'
That our God is an Awesome God

[REFRAIN]
Our God (our god) is an Awesome God
He Reigns (he reigns) from heaven above
With Wisdom (with wisdom) pow'r and love
Our God is an Awesome God

When the sky was starless in the void of the night
(our god is an awesome god)
He spoke into the darkness and created the light
(our god is an awesome god)
Judgement and wrath He poured out the Sodom
Mercy and grace He gave us at the cross
I hope that we have not too quickly forgotten that
Our God is an Awesome God

[REFRAIN x3]
My favorite song... Thanks..
 
msikilize na abiud misholi......baadhi ya nyimbo zake nakutajia jaribu kuzisikiliza..... (1) Ninasema (2) isaya (3) Biblia yasema (4) Baba (5) Usirudi nyuma (6) Simama mwenyewe (7) Nimebaki peke yangu (8) Moyo wangu wazi (9) Siku moja (10) Uje unitoe.

Hizo ni baadhi tu.....
I love this man of God.. He is anointed.. His worship songs zanibariki Sana.. Asante dear .. Thanks..
 
Waimbao katika utakatifu waliweza kushusha uweza wa Mungu wa kuponya roho,nafsi,miili ya watu na kutoa pepo ! WAPO LEO?
Wapo dear ... In fact just last week I witnessed with my two eyes lots of demons being cast out .. Thanks ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom