Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

wakuu mi napenda sana acapella... na sasa nimeanza kuzipenda za kiswahili kama wanazoimba canaan brothers, sonda ya dilu , the voice na wengine..
kama kunamtu anazo unaweza comment hapa au PM ili nione nauna unavyoweza kunitumia.
 
Napenda sana kuwasikiliza hawa watu, nina matoleo yao mengi sana .. Akina Bill na Mkewe, Guy Penrod(siku hizi yuko peke yake), Stephen Hill (Wooow..RIP) Jesse Dickson, David Phelps, The Isaacks, Linda Randle, Ernie Haase + Signature Sound na Kuna Black mmoja hivi sikumbuki jina lake, mzee wa vituko Mark Lowry and so so many.

My Best Band.

I second you tized !
 
Mi napenda mno joyous celebration jabo nasikiliza ila sielewi lugha na vile vile napend nyimbo za solly mahlangu, rebeka malope wenzetu wanaimba hadi unasisimka
 
ndugu zangu kuna huu wimbo wa kuabudu 1st time niliuckia kwenye semina ya mwl Mwakesege unaitwa your holy, mwenye video ikiimbwa na hawa wana kwaya wa mwakasege naomba aiweke hapa, I think origal ilimbwa na Agnus Dei-Judith Jacobs

pia kuna nyimbo inaitwa Jehova it seems iliimbwa kwenye concert imeimbwa kwa kizulu, kuapload audio yake hapa nmeshindwa, anayeifahamu plzz aweke video yake hapa au link.
 
Napenda sana nyimbo ya fanuel sedekia inaitwa napenda kuimba fadhili zako, mwenye nayo naomba aiweke hapa
 
Bawo wethu-kholeka

Ebenezer-Angela chibalonza

Ebenezer-sipho makabane

Ighesthmani-rehoboth ministries

Ni wema wake Yesu-Miriam Chirimwa

Living waters-Hlengiwe mhalaba

Never failed me-Hlengiwe Mhalaba

Jesus is coming,I think ni Kijitonyama.
Hapo kwenye Rehoboth hapo dada ndio penyewe
 
Ukiacha Jimmy Reeves mi gospel mingi nayoijua ya hapa hapa home, naona lugha pia inachangia, mi wa kina Rose Mhando, Bonny Mwaitege na Bahati Bukuku. (Wanyakiusa acheni kujibinafsishia hii industry :lol🙂
Kwanza wewe hupaswi kuifaham Gosple yoyote ile.....

Tusije kukupoteza hapa jamvini afu story zako zikabaki history
 
Back
Top Bottom