Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Wapendwa habarini...nilikuwa nashida ya wimbo wa goodluck gozbert wa ipo siku video or audio ahsanten
 
Wapo dear ... In fact just last week I witnessed with my two eyes lots of demons being cast out .. Thanks ..
kwetu Tz wapo wanaoimba kwa uwepo wa Mungu wachache sana
ambao wamesimama ktk zamu zao effective
kwa kufunga na kuomba,kuombea vipawa vyao....
ni niwachache sanaaa...
wengi wao ,....they are after money na umaarufu2
msanii unamualika kanisani
akimaliza kuimba2 anaondoka hata neno hasikilizi.unategemea nini hapo...
nahawa wasiosimama vizur na Mungu ndo wanachangia nyimbo za gospel zisipendwe...
 
misijaona kma joyous cerebration yani..
jamaa wanaimba unaweza ukalia axee..
 
-tenth avenue north - the struggle
-for king & country - shoulders
-mercyme - flawless
-michael smith - you wont let go
-passion - even so come
-darlene zschech's - victor's crown
 
Mungu awabariki wote mlio tupia nyimbo huku. Kwa kweli ifike wakati tumuabudu Mungu katika roho na kweli... kwa njia hiyo Jehova anashuka na Nguvu zake.. ijapokuwa tuna changamoto kwa waimbaji wetu ila Mungu Ni mwema ataoneka tu...
 
Back
Top Bottom