Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Karibu sana Elizabeth. Uwe na wakati mwema.


Nimekuona hapa nikakukumbuka leo wimbo wa " Nibebe kama tai" by Ambwene umenikaaje kila nifanyalo upo na mimi moyoni.
 
Last edited by a moderator:
jamani mm napends sana nyimbo za DON MOEN yaani zinakufanya uabudu bial kupenda

halafu nawazimikia asana Joyous Celebration wale wasouth acha tu wananipa na kunifanya nizame rohoni zaidi

bila kusahau wimbo wa christina shusho wa UNIKUMBUKE yaani hapo ndo nazama zaidi
 
Jaman am so great full nd thank so much for this :thumbup:

Nimeona uwepo wa Mungu mahala nilipo kwa kufungua hii thread

Also let me share with you this

No guilt in life
No fear in death

This is the power of Lord Crist in me
Watch "In Christ Alone..Passion 2013..Great Christian So…" on YouTube - In Christ Alone..Passion 2013..Great Christian So…: http://youtu.be/wNRFumI2ch0
 
Jamani Napenda Sana Nyimbo Za Joyous Celebretion Zinakufanya Usisimke Na Upate Mwamko Wa Kusifu Na Kumwabudu MUNGU.
 
msikilize na abiud misholi......baadhi ya nyimbo zake nakutajia jaribu kuzisikiliza..... (1) Ninasema (2) isaya (3) Biblia yasema (4) Baba (5) Usirudi nyuma (6) Simama mwenyewe (7) Nimebaki peke yangu (8) Moyo wangu wazi (9) Siku moja (10) Uje unitoe.

Hizo ni baadhi tu.....

Baadhi ni nzuri lkn wabongo wameingia kwenye gospel songs za kujihurumia na kusimlia story.
 
kuna ambassadors of christ, ku na Sauti ya Jangwani!! Kuna Mikongeni!! Kuna Kurasini SDA, Kuna Mtoni ( lULU), KUNA WAZEE WA mkate!!
 
Back
Top Bottom