Roger and me. Michael moore alikuwa anasaka chansi ya kumuhoji chairman wa GM(Roger) baada ya GM kufunga viwanda vyake huko Flint na kuporomosha uchumi.
Born to be wild. ni family documentary. inahusu mama wawili. mmoja anatunza tembo yatima Kenya na mwingine anatunza Orangutan yatima Borneo. iimekuwa narrated na Morgan Freeman.
Ni mpenzi wa documentary .kabla is kusafiri huwa naangalia air crash investigation.hiyo ni kujirusha to invade ikitokea ajali is ndege na Mara nyingi haponi mtu.kuna banged up abroad hiyo inaelezea wanaobeba unga ambao wameshakwamatwa nchi yoyote na hukumu zao jela.wengine wakisafiri wanafanikiwa ila wakijaribu tena wanakwamatwa. To be in death row.jela ya marekani wafungwa ambavyo vifungo vyao ni kifo.ila ikielezewa crime walizozifanya unasema wanastahili wanawaua watu kwa vifo vya mateso.anything for my man.wadada wanaua kwa ajili ya kumridhisha mwanaume. ( murder investigation) jinsi polisi wanachunguza mpaka wanamkamata alieua.
Hiyo documentary ya "the war you don't see" imenifanya nifute muv zote za kivita zilizotengenezwa na wamarekani. The US is spreading military propaganda kwa kujustify makosa yao dhid ya watu wanaowa-victimize