Kwa wapenzi wa documentaries

Dinosaur 13. hii inahusu wachimbuzi wa Kale waliopata mabaki ya dinosaur na utata wa kisheria uliojitokeza kuhusu umiliki.

dinosaur13-1-620x350.jpg
 
Dawn Wall. Inahusu upandaji wa miamba na stori zake.Ni nzuri sana, inaonyesha upambanaji na kutokata tamaa.

images-6.jpg
 
Congo :The grand Inga project.
Hii inahusu kayakers walioamua kupita maji yendayo kasi ya Inga(Inga rapids) kwenye mto Congo. Huu mto una nguvu sana.

a8yl37xd55yjkvyfwcic.jpg
a8yl37xd55yjkvyfwcic.jpg
 
The salt of the earth. Hii inazungumzia maisha na kazi za mpiga picha wa Brazil, Sebastio Salgado. Documentary moja nzuri sana.

1580253669834.png
 
The biggest little farm. Jamaa na mke wake wakaamua kufanya organic farming kwenye ardhi mbovu, changamoto kibao.

1580254057978.png
 
Take your pills. Hii inazungumzia matumizi ya madawa ya kuongeza uwezo wa ubongo.

1580254437651.png
 
Unaweza kuzipata Youtube
1.The Aristocrats:The Rothschilds-Lord Jacob Rothschilds
2.Money,Happiness and eternal life-Greed(directors cut) DW Documentary
3.The Renaissance-the age of Michaelangelo and Leonardo Da Vinci

DW,ALUX,BBC wana documentaries nzuri.Kama unataka za kisasa naifatilia docuseries ya Justin Bieber, RKelly
 
Tunel sur la mache:::
Inahusu ujenzi wa njia iliyopita chini ya maji inayounganisha UK na France, Wafaransa walianza kuchimba upande wao na waingereza wao, wakawekeana meeting point, humo kunaelezewa ideas, problems, challenges.... in fact ukiwaza wenzetu wanafanya hayo mwaka 1987.

Mega structure:::
Construction ya 7 star hotel ya Dubai.

Incarnations:::
Stories za watu watoto wanaohadithia habari wanazorudia mara nyingi kwa miezi au miaka ambazo wazaz baada ha kudadisi wakagundua kama
Kuna ukweli
Mtoto Mmoja alisema yeye aliuliwa na mtu fulani kwa kupigwa na shoka na akafukiwa na huyo mtu porini, halafu baadae ikazushwa kapotelea msituni, ila huyo mtoto akawa anarudi hiyo habari mara nyingi siku watu wakasema waende hiyo sehem kweli wakakuta mifupa ambayo huyo mtu alikufa miaka kama 8 ago na ni kweli kuna mtu alipotea hapo kijijini miaka hiyo.


Alexander The Great
 
yap. Alikuwa na maarifa ya kutosha. basi kwenye documentary wanasema Aristotle alimwambia make no assumptions, analyse kila situation independently. Bonge la madini sema kufuata ni kazi sana, kufanya mambo kwa mazoea hurahisisha kazi
👊👊👊
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom