Kwa wapenzi wa documentaries

Kwa wapenzi wa documentaries

1.The sell of iraq war.
2. Its All a Richmantrick.
3. Palestine is still an issue.
4. The war you dont see.

Guys..you real need to watch the above documentaries....i mean serious...!
 
Roger and me. Michael moore alikuwa anasaka chansi ya kumuhoji chairman wa GM(Roger) baada ya GM kufunga viwanda vyake huko Flint na kuporomosha uchumi.
1.%20rogerandme-april25.jpg
 
Born to be wild. ni family documentary. inahusu mama wawili. mmoja anatunza tembo yatima Kenya na mwingine anatunza Orangutan yatima Borneo. iimekuwa narrated na Morgan Freeman.

37299_front.jpg
 
Ni mpenzi wa documentary .kabla is kusafiri huwa naangalia air crash investigation.hiyo ni kujirusha to invade ikitokea ajali is ndege na Mara nyingi haponi mtu.kuna banged up abroad hiyo inaelezea wanaobeba unga ambao wameshakwamatwa nchi yoyote na hukumu zao jela.wengine wakisafiri wanafanikiwa ila wakijaribu tena wanakwamatwa. To be in death row.jela ya marekani wafungwa ambavyo vifungo vyao ni kifo.ila ikielezewa crime walizozifanya unasema wanastahili wanawaua watu kwa vifo vya mateso.anything for my man.wadada wanaua kwa ajili ya kumridhisha mwanaume. ( murder investigation) jinsi polisi wanachunguza mpaka wanamkamata alieua.
 
1.The sell of iraq war.
2. Its All a Richmantrick.
3. Palestine is still an issue.
4. The war you dont see.

Guys..you real need to watch the above documentaries....i mean serious...!
Hiyo documentary ya "the war you don't see" imenifanya nifute muv zote za kivita zilizotengenezwa na wamarekani. The US is spreading military propaganda kwa kujustify makosa yao dhid ya watu wanaowa-victimize
 
The last reef. hii inazungumzia Matumbawe na faida zake. inaelimisha sana.
TheLastReef3D_slider.jpg
 
Zero days. inahusu jinsi kirusi cha stuxnet kilivytengenezwa kuharibu mitambo ya nuclear ya Iran na madhara yake kwa dunia.
10032389_afi-documentary-review-zero-days-from_383aa834_m.jpg
 
lxo8tqq.jpg
Richard Pryor: Omit the logic. inazungumzia maisha ya huyu comedian, matumizi ya drugs na kifo.
 
Meru: inahusu changamoto za kupanda kilele cha Meru kwenye milima ya Himalaya. Nzuri sana.
maxresdefault.jpg
 
the fourth phase: stunts za snowboarders kwenye milima mbalimbali duniani.
Travis-Rice-snowboarding-in-Jackson-Hole-Wyoming-during-filming-of-The-Fourth-Phase-Tim-Zimmerman-Red-Bull.jpg
 
Back
Top Bottom