Kwa Wanawake tuu

Umeona eeeh?? Yaani kichwa kweli kweli... akiingia pale in two weeks tatizo la umeme kuchinehi....lol

Mmmh! my wii .... so he carries you around... Dah! (mkiwa mnafanya nini vile?? lol)

Plus some overtimes za kusukuma magari. Na mie nitaomba kazi pale ili asukume gani langu. Full raha. LOL.
 
"did mom do anything in particular today" wakati yeye mwenyewe yupo hapo pembeni anasubiri jibu? Atabadilisha topic na kumbana mama kwa nini anawaacha watoto wanaangalia TV asubuhi badala ya kuwa shule wakati shule zimefungwa. LOL.

ha ha ha.... hapo the mom umenuna na kumfingia pia....lolz

Plus some overtimes za kusukuma magari. Na mie nitaomba kazi pale ili asukume gani langu. Full raha. LOL. .

Jamani... jamani... Dah! Najuta!!!

At least maana Duh! .

Thank God!! Umekuja you your senses....lol.. Nilianza kua na wasi unatumia explorer siku hizi badala ya firefox....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ha ha ha.... hapo the mom umenuna na kumfingia pia....lolz

Jamani... jamani... Dah! Najuta!!!

Thank God!! Umekuja you your senses....lol.. Nilianza kua na wasi unatumia explorer siku hizi badala ya firefox....

Utajuta b'se itakuwa ni full kusukuma magari (tena langu ni heavy zaidi) akija home ni hoi bin taaban and straight to bed bila mchezo. Halafu utakuwa unahisi kama anatumia explorer. LOL. Then, utakuwa unaanzisha uzi hapa mara mume tokea anze kazi kwenye ofisi mpya imekuwa hivi na hivi.
 
Lmao.. Hii post inanifanya niage na nienda kulala... yaani mapigo matatu in two sentences... lol

In green imeniacha hoi.... lol... Hapo EMT anafurahiiiii!! na kuja with - told you so!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Lmao.. Hii post inanifanya niage na nienda kulala... yaani mapigo matatu in two sentences... lol

In green imeniacha hoi.... lol... Hapo EMT anafurahiiiii!! na kuja with - told you so!

Sasa je? You take care my friend. Good morning. Remember to push with your legs, not your back. LOL

Last edited by a moderator:
Bora hata huyo anayesukuma gari la jairo siwezi nikamind sana kuliko wale wanaofua ch....pi za wahindi kule magorofani, then kutwa nzima wanashinda wakiwatembeza watoto wa hayo makabacholi kwenye magari tena vitoto vingine vinajinyea humohumo halafu wao ndo wanavipangusa.....khaa!!!
 
Sasa je? You take care my friend. Good morning. Remember to push with your legs, not your back. LOL

ha ha ha... I love it... hapo its me na mupenzi...

And of course the vigezo na masharti yatazingatiwa (legs eeeh..)

Good morning to you too.... Be good.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?

PICHA+NA+2.jpg

Sijui na huyo mama ndio kiburudisho chake kazini ama mesenja wake!!!

nikirudi kwenye swali la msingi kama kuna usingizi wangu hapo lazima apewe kibuti huwezi kwenda kumsukuma fisadi huku ukikenua meno 32 nje kwamaana moja wanafurahia alivyo fanya kufuja hela zetu kwa ******* wao!! au waliambiwa watapewa zile balance
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna shida gani as long naishi vizuri hata kama anamsaidia kuflash chooni i don care
 
waone viuno vyao, hapo hakuna mwanaume, mi naona suruali tu, na huyo mama loo, kama vile kwako una raha sana hata woga huna, na kamati ya bunge isipowatimua kazi hao wote itakuwa haijawatendea watz.
 
Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?

PICHA+NA+2.jpg
EMT, inasikitisha aisee

Hebu cheki wanaume walivyokaza mat@ko... tena wengine si ajabu wamefunga kwa mambo ya kijinga

sasa huyo hata umwite tu asaidie kuangusha mgomba au kukata maua yamezidi utaona anavyokua mkali
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom