Hivi mnawezaje kutongoza wanawake wenye pesa?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Nikiwa maeneo ya Sinza (Palestina), nikiwa nazungusha zangu Vipichu Mdangio, ghafla nasikia honi nzito nyuma yangu, ile kupisha tu, Range la maana Plate E linakatiza upande wangu. Nikiwa katika hali ya kujiuliza kuwa kwanini nimekuja duniani kusindikiza wenzangu, ghafla gari inashushwa kioo. Astakaful, naiona sura ya mwanamke wa ajabu kuwahi kuwepo duniani, jicho nyanya kama kameza kungu, hizo nywele zilizoambwa hapo kumkichwa ni gharama ya fensi ya nyumba yako yote ndugu msomaji

Mara naitwa kwa kutumia vidole, vidole vilivyosheheni kucha ndefu za kizungu zenye marumaru. Ghafla nasogeza pua zangu mahala pale na kuhisi harufu sawa na harufu ya mwanamke wa peponi. Nabaki nikimkodolea macho. "How Much", anauliza. Nabaki kujibu kwa kigugumizi kizito sana "7 O'clock, Ssssa sam samahannn ni Elfu Saba tu za kitanzania". Mwanamke huyo anainamisha kichwa chini kisha anacheka mithili ya mwanamke anayesukumiziwa ukuni mnene, muda huo huo napata wasaa wa kuchungulia ndani ya gari. Mapaja meupe yaliyododa mithili mwa uji uji wa mishumaa yanang'ara kuyaelekea macho yangu yaliyotoka kupona ugonjwa wa Red Eye hivi karibuni, tazama, suruali yaninyenyuka kwa hasira kali hapa zipuni, yule mwanamke anapata wasaa wa kuiona, ananipandisha juu mpaka tunakutanisha macho tena. Kisha ananiambia, "Nchagulie Size X ya Uturuki, Rangi ya Pink". Nabaki nikibwabwaja maneno ya hapa na pale

Mrembo anavuta draw ya gari yake na kutoa kitita cha pesa, ananyofoa 10k ya noti iliyotoka benki muda huo huo ananikabidhi, nabaki nikijisemesha, "Aah Ooh Chenji dada yangu labda nikakuangalizie pale dukani". Ananitizama tena kwa tabasamu, nayaona madimpozi yake ya kuvutia, kisha ananambia "Usijali, unayobaki utapata Lunch". Ghafla gari inawashwa na kuanza kuondoka, naikimbilia kwa bashasha.

Mwanamke huyu anasimamisha gari tena, najikuta nikibwabwaja, "Mimi si kitu kwako na hata nijaribu kukupotezea sekunde ya maisha yako kwa kuzungumza maneno ya kipuuzi, sifai hata kuzishika nyayo za miguu yako, lakini, nahisi utofauti pindi ninapokutizama uso wako, kama ikikupendeza nipatie namba zako za simu tu, nina shida nazo sana". Ananitizama tena, kisha kuninyofolea Business Card iliyoandikwa Assistant Manager TRA. Kijasho chembamba kinanitoka, nalishuhudia gari likiondoka mbele yangu

===========================
Ewe Mpenzi X, kama nawe ni mwanaJF, utaniwia radhi kwa tabia yangu mbaya ya kuja kuanika mkasa mzima hapa. Lakini nimekupigia simu mara 2 mida ya saa 1. Japokuwa ulikuwa busy, napata wasiwasi wa kupiga tena, lakini sintokata tamaa, nitakutafuta tena kesho asubuhi

Alamsiki...
 
🤣🤣jaribu biashara ingine plz
 
Hizi ndio zile stori za Zaaaali la mentaliiii lililotokea wakati mimi na njaaa

images - 2024-01-27T215012.857.jpeg
 
Aisee..
Ingawa hii ni chai, ila una kipaji kuntu cha utunzi. Unaweza kufanya vizuri zaidi ukikikuza hiki kuliko kuzungusha hivyo vyupi
 
Babu hii ni chai !
 
Mwanamke mwenye hela kuna gia za kumuingilia mara nyingi wanapenda wanaume wenye AKILI (Intellectual) na exposure ya mambo fulani ambayo mambo hayo si common kwa kila mtu kuyajua..

Pia kulingana na hela zao kuzitumia huwa hawajui wanazitumiaje ndio maana wanaprefer akili kubwa kuwa pembeni na sio mtu mjinga mjinga.

Nb: Jitahidi na ww uwe na hela hata nusu yake ili uepuke maneno ya Walimwengu watoto wa Walimaharage.
 
Kama sio chai,KOMAA NAYE HUYO,hizo mbwembwe za maringo ,sjui ubize ni mbwembwe tu hakuna mwanamke mgumu duniani.Analika vzr tu huyo.
 
Back
Top Bottom