Kwa wanawake tu..ukweli usiozungumzwa

Kwa wanawake tu..ukweli usiozungumzwa

.....kwa haraka haraka...ni kweli cases in out-patient zimekua nyingi sana hasa za UTI na vulva and vaginal candidiasis...ukiacha sababu nyingine lakini kwa observation yangu naona pia haya mabadiliko ya mtindo wa maisha unachangia...mfano kama hizo pad ambazo ulizo zieleza...lakini pia siku hizi maofisi mengi wameweka vyoo vya kukaa(vinaonekana vya kisasa) lakini vyo vya kukaa si vizuri sana kwa maumbile ya wanawake coz ni rahisi kupata bacteria, fungal nk..ukizingatia pia vyo vingi vya maofisini ni vya kushare na usafi wake si mzuri ...lakini pia kutokana na hivyo vyoo vilivyo vinaweza kukufanya ushidwe au uone uvivu au uone ni uchafu kwenda kujisaidia humo kwa hiyo ukabana mkojo... ambayo nayo pia husababisha sana kupata UTI kirahisi.....kuna hii tabia pia ya wanawake kutumia tissue muda wote (hata akiwa nyumbani) huchangia pia mana tissue wakati mwingine haisafishi kama maji...so ni vizuri kutumia maji hasa ukiwa nyumabani kuliko kutumia tissue muda wote...........Lakini pia kuna tendency ya watu(wanawake) kumeza ANTIBIOTICS mara kwa mara(hatuna restriction kwa hiyo ni rahisi kupata pharmacy)....hii nayo huchangia sana especialy kwa cases za VULVA -VAGINAL candidiasisis coz antibiotics huuwa normal flora(Bacteria ambao ni muhimu kuwepo njia za uzazi ili kupambana na wadudu wabaya na kuregulate PH) so ukimeza antibiotics mara kwa mara ni rahisi sana kupata fungus....kwa haraka haraka haya ndo tunayofanya kila siku lakini yanachangia pia kupata magonjwa ...

Asante docta umeeleza vizuri na nimejifunza mengi kwa maelezo yako. ndo maana nilisema pedi pekee sio sababu ya matatizo ya wanawake. hata kama ukatumia pedi ya ulaya ama mchina kama hautafuata kanuni za usafi na afya unaweza kupata madhara na ukaconclude kwamba ni pedi lakini kila kitu kisipotumiwa vyema kina madhara kwa mtumiaji. my point is lets not put all the blame on pads, we have a role to play too.
 
.......ni kweli queeny.....hilo la pads huweza kusababisha lakini afya za kina mama ni mkusanyiko wa mambo mengi...baadhi nimeyaeleza kwa kifupi sana...na baahati mbaya ni mambo madogo na ya kawaida lakini ndo huchangia sana...pia akinadada muangalie pia chakula(inlcluding na kunywa maji ya kutosha) anyway kutokana na mihangaiko ya maishattunajisahau lakini ni kujitahidi kuangalia all aspects for kwa ajili ya afya bora ya njia ya uzazi.....ambayo pia husadia kisaikolojia na kukufanya ujipende na kijiamini zaidi..
 
duuh two fingers honestly yangu haiaccomodate.. only one here

mmmmmh!!! utakuwa uanamashine mnato wewe.................
by the way thank you kwa hii shule nitazingatia wangu naye anatumia vitu orijino kutoka ulaya , SA au USA.
 
pedi zinasababisha dear tena kwa asilimia kubwa tu soma hii nimeitoa huko kwenye research moja .................. 56 Girls died in a single day because of using Whisper, Stayfree, etc. Single pad for the whole day causes Cancer in bladder, called UTERUS CANCER. It causes due to chemicals used on the pad. So, try to change your pad every 2 hours..

naomba utuwekee link ya hiyo study tujiridhishe na uhalisia wake , otherwise itakuwa ngumu kukubaliana na hili.
 
Kwa watanzania hawa wenye tamaa na ubinafsi, kuondokana na vitu feki itakuwa ndoto! Tunaweza kuzigomea sie wa JF lakini walio mtaani nina shaka maana they always go the cheaper if not cheapest! Mi nina mpango nikiwa bongo ni visempe vyangu kwa kwenda mbele maana siamini kitu aisee, na si kama watu hawajui ni makusudi tu vyombo vyetu vya ubora vinatusaliti!
 
yaani hii nchi ni dustbin hadi kwenye k zetu? Yaani unawashwa utadhani k imemwagiwa mkaa

Inabidi turudi kwenye urithi wa bibi jaman kwanza na gharama inapungua maana zile ukiwa unajua kuzitunza mpk baada ya miezi m3 mpk m4 ndio unabadilisha pea mpya! tuache kuwa wavvu kufua!
 
Nakupatia picha ukiwa unatoka kazini na visepe vyako vimelowaaa damu. Inabidi uweke kwenye nappy bag ama?
Inabidi turudi kwenye urithi wa bibi jaman kwanza na gharama inapungua maana zile ukiwa unajua kuzitunza mpk baada ya miezi m3 mpk m4 ndio unabadilisha pea mpya! tuache kuwa wavvu kufua!
 
queeny, sio kweli. Hizi ni propaganda za kibiashara. Cancer is a chronic disease, hakuna acute cancer kiasi cha exposure ya siku moja ikuue in a day. Hiyo itakuwa ajali.
hivi kweli mtu anaweza kuvaa pedi in a single day akafa?? How?

usije ukasema source yako ni sms ulitumiwa. Cancer of the BLADDER haiwezi kuitwa UTERUS CANCER. Hizo sms hazina tofauti na zile zinasema usipotuma kwa watu 10 utapata balaa. Hoax!
pedi zinasababisha dear tena kwa asilimia kubwa tu soma hii nimeitoa huko kwenye research moja .................. 56 Girls died in a single day because of using Whisper, Stayfree, etc. Single pad for the whole day causes Cancer in bladder, called UTERUS CANCER. It causes due to chemicals used on the pad. So, try to change your pad every 2 hours..
 
Last edited by a moderator:
Kikubwa ni usafi tu jamani hata utumie pads original, vitambaa na vitu vingine kama hivyo...... Bila usafi ni kazi bure.
 
Kwa nini serikali inakubali kupitisha vitu feki wakati kuna watu maalum kwa ajili ya kucheki ubora wa bidhaa zinazoingia nchini

inaumiza sana jamani

Ndio hapo nawaza watu walioua viwanda vyetu ..tunalima pamba lakini kutengeneza Bidhaa muhimu kama hizi inakuwa ngumu
:angry:
 
hapa ndipo ninapotamani ningekuwa kidume. dah!
 
Hapo kwenye kipato ni challenge

Ila hata kama cha kuunga unga inabidi kununua, na kubadili mara kwa mara inahusu

Tampoon mzikimbie jamani. Hamwogopi kuingiza miduse?

Pia ni vyema kutizama na expire date za hiyo makitu... Ukitumie iliyoexpire utawashwa mpaka ushangae na kuchubuka juu

BT bora nibaki enzi za mwalimu kuliko kutumbukiza hiyo.makitu khaaaa!!!!
 
.....kwa haraka haraka...ni kweli cases in out-patient zimekua nyingi sana hasa za UTI na vulva and vaginal candidiasis...ukiacha sababu nyingine lakini kwa observation yangu naona pia haya mabadiliko ya mtindo wa maisha unachangia...mfano kama hizo pad ambazo ulizo zieleza...lakini pia siku hizi maofisi mengi wameweka vyoo vya kukaa(vinaonekana vya kisasa) lakini vyo vya kukaa si vizuri sana kwa maumbile ya wanawake coz ni rahisi kupata bacteria, fungal nk..ukizingatia pia vyo vingi vya maofisini ni vya kushare na usafi wake si mzuri ...lakini pia kutokana na hivyo vyoo vilivyo vinaweza kukufanya ushidwe au uone uvivu au uone ni uchafu kwenda kujisaidia humo kwa hiyo ukabana mkojo... ambayo nayo pia husababisha sana kupata UTI kirahisi.....kuna hii tabia pia ya wanawake kutumia tissue muda wote (hata akiwa nyumbani) huchangia pia mana tissue wakati mwingine haisafishi kama maji...so ni vizuri kutumia maji hasa ukiwa nyumabani kuliko kutumia tissue muda wote...........Lakini pia kuna tendency ya watu(wanawake) kumeza ANTIBIOTICS mara kwa mara(hatuna restriction kwa hiyo ni rahisi kupata pharmacy)....hii nayo huchangia sana especialy kwa cases za VULVA -VAGINAL candidiasisis coz antibiotics huuwa normal flora(Bacteria ambao ni muhimu kuwepo njia za uzazi ili kupambana na wadudu wabaya na kuregulate PH) so ukimeza antibiotics mara kwa mara ni rahisi sana kupata fungus....kwa haraka haraka haya ndo tunayofanya kila siku lakini yanachangia pia kupata magonjwa ...

Asante kwa somo Dr. mo.... Ni kweli kabisa, huu ushauri aliwahi kunipatia Dr. mmoja wa Mikocheni Hosp.. Tangu 2008 mpaka leo UTI naisikia kwa wengine....

Ukizingatia usafi hutopatwa UTI
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa somo Dr. mo.... Ni kweli kabisa, huu ushauri aliwahi kunipatia Dr. mmoja wa Mikocheni Hosp.. Tangu 2008 mpaka leo UTI naisikia kwa wengine....

Ukizingatia usafi hutopatwa UTI
.....Ni kweli mkuu charminglady...mambo mengine ni madogo madogo.....lakini ndo huwa yanaleta shida...ukiyazingatia vizuri unakuta uko na afya njema tu
 
Back
Top Bottom