Hapo kwenye kipato ni challenge
Ila hata kama cha kuunga unga inabidi kununua, na kubadili mara kwa mara inahusu
Tampoon mzikimbie jamani. Hamwogopi kuingiza miduse?
Pia ni vyema kutizama na expire date za hiyo makitu... Ukitumie iliyoexpire utawashwa mpaka ushangae na kuchubuka juu
Pamoja na ped hata usafi huko down ni wa muhimu. Hivi utachanganyaje wanaume uache kupata fungus.[/QUOTE Zahra White unaitwa hapa
si unajua inaweza accomodate more than two fingers size, eehh. Unaweza jaribu pia kuona ipi ambayo haikusumbui.duuh unaweza kujua saiz ya k kweli?
inabidi tukiwa period tusitoke ndani sasa
duuh two fingers honestly yangu haiaccomodate.. only one here[/
Kuna size mbili zinaweza kukutosha
nilishazisikia dear ...hizi pedi za promotion kama masufuria nazo ni janga bestmwaya na kuna package ya pads za HC ya kuvaa siku za mwishoni za mp..kuna wadada walikua wanazitembeza hostel eti ni nzuri zinavuta uchafu nje n wakatoa tahadhar kwamba so nzuri kwa mjamzito..umewah kuzisikia?
sio lazima uone madhara kwa nje queeny....huko ndani baada ya muda cancer ..ugumba nkPads ni shida pia kutegemea na ngozi ya mtu. kuna wengine wanatumia hizo za elfu 2 na hawapati madhara yoyote. hivyo kila mtu atumie pad anayoona inamfaa kulingana na ngozi yake.
nilishazisikia dear ...hizi pedi za promotion kama masufuria nazo ni janga best
mchina mtupuuzi zinawasha kama dudu washa
Pamoja na ped hata usafi huko down ni wa muhimu. Hivi utachanganyaje wanaume uache kupata fungus.
Poleni jamani, napita..