Kwa wanawake tu..ukweli usiozungumzwa

Kwa wanawake tu..ukweli usiozungumzwa

Tumieni visepe kama pad zinawasumbua, mbona hizi hazina madhara coz baada ya matumizi unafua na unauhakika na nguo yako uliyotumia kutengeneza
visepe ni nini mkuu?
 
Samahani wadada nimepita pasiponihusu ingawa pananihusu!
Kwa kuwa mimi ni Big Bro na ninawapenda Nawashauri RUDINI KWENYE ORTHODOX METHOD kabla ya enzi za soko huria, ni heri kutumia vipande vya nguo ambazo kiuchumi ni nafuu, kiafya ni bora zaidi maana unaweza kufua na kupiga pasi.
Ni hayo tu dada zangu.
 
Smile hivi mabibi zetu wa miaka ya 47 walikuwa wanatumiaga nini vile...?
Au walikuwa hawapatagi period?
 
Last edited by a moderator:
Wakati ninasoma boarding school miaka ya 80-90 tulikuwa tunaenda pharmacy unannua cotton wool na gauze, tulitengeneza pads zetu wenyewe na zilikuwa safi. Ukipata muda unanawa mikono unatengeneza kama kumi, unaziweka kwenye mfuko zikiisha unatengeneza nyingine. Wasichana wa .com hamjui haya. Sikuhizi ninachoice ya kutumia za Ujerumani au za South Africa.
 
kweli mkuu kuliko kuzidi kutumia hizi sumu za kichina
 
Wakati ninasoma boarding school miaka ya 80-90 tulikuwa tunaenda pharmacy unannua cotton wool na gauze, tulitengeneza pads zetu wenyewe na zilikuwa safi. Ukipata muda unanawa mikono unatengeneza kama kumi, unaziweka kwenye mfuko zikiisha unatengeneza nyingine. Wasichana wa .com hamjui haya. Sikuhizi ninachoice ya kutumia za Ujerumani au za South Africa.
dada yangu una bahati wewe miaka hiyo hata la kwanza sijaanza....hebu nifundishe kutengeneza
 
Smile hivi mabibi zetu wa miaka ya 47 walikuwa wanatumiaga nini vile...?
Au walikuwa hawapatagi period?
sijui nasikia walikuwa wanajifungia ndani hawatoki hadi iishe...sasa maisha ya siku hizi utakaa ndani ule mawe kaka?
 
dada yangu una bahati wewe miaka hiyo hata la kwanza sijaanza....hebu nifundishe kutengeneza

Kulikuwa na cotton wool inaitwa Hygene, tena uzuri wake unaweza kutengeneza ukubwa kulingana na flow yako, hakikisha unaizungusha na gauze ile ya kufungia vidonda. It is very economical. Ni ule wakati mzazi anakupa pocket money shilingi 100 kwa term na wala huombi tena pesa nyumbani wala huna mwanaume wa kukurubuni.
 
sio lazima uone madhara kwa nje queeny....huko ndani baada ya muda cancer ..ugumba nk
navoona ugumba na kansa ni combination ya factors nyingi. pedi kama pedi sidhani kama zinaweza kusababisha ugumba na kansa
 
Kulikuwa na cotton wool inaitwa Hygene, tena uzuri wake unaweza kutengeneza ukubwa kulingana na flow yako, hakikisha unaizungusha na gauze ile ya kufungia vidonda. It is very economical. Ni ule wakati mzazi anakupa pocket money shilingi 100 kwa term na wala huombi tena pesa nyumbani wala huna mwanaume wa kukurubuni.
kurubuniwa kumeanza siku nyingi bana....sema pesa ndo ilikuwa hamna.hizo cotton siku hizi zipo?
 
Samahani wadada nimepita pasiponihusu ingawa pananihusu!
Kwa kuwa mimi ni Big Bro na ninawapenda Nawashauri RUDINI KWENYE ORTHODOX METHOD kabla ya enzi za soko huria, ni heri kutumia vipande vya nguo ambazo kiuchumi ni nafuu, kiafya ni bora zaidi maana unaweza kufua na kupiga pasi.
Ni hayo tu dada zangu.
zamani mlikuwa mnatumia nini?
 
Ni kweli hizi pads za kichina ni noma maana kuna wakati ikabidi nikajisalimishe kwa daktari na baada ya kumpa maelezo hakuniandikia dawa yoyote zaidi ya kuniambia nibadilishe aina ya pads ninazotumia na baada ya kufuata ushauri wa dr sikuona tena tatizo
 
navoona ugumba na kansa ni combination ya factors nyingi. pedi kama pedi sidhani kama zinaweza kusababisha ugumba na kansa
pedi zinasababisha dear tena kwa asilimia kubwa tu soma hii nimeitoa huko kwenye research moja .................. 56 Girls died in a single day because of using Whisper, Stayfree, etc. Single pad for the whole day causes Cancer in bladder, called UTERUS CANCER. It causes due to chemicals used on the pad. So, try to change your pad every 2 hours..
 
kurubuniwa kumeanza siku nyingi bana....sema pesa ndo ilikuwa hamna.hizo cotton siku hizi zipo?

Tusitoke nje ya mada, sifahamu kama cotton wool bado zipo, lakini ulizia kwenye pharmacy kubwa. Wakati unatengeneza hakikisha mikono ni misafi kuavoid infection.
 
nashukuru sana kwa ushauri nitazitafuta then nitaleta feedback hapa..mi siwezi kutajirisha watu na afya yangu my dear...
 
Ni kweli hizi pads za kichina ni noma maana kuna wakati ikabidi nikajisalimishe kwa daktari na baada ya kumpa maelezo hakuniandikia dawa yoyote zaidi ya kuniambia nibadilishe aina ya pads ninazotumia na baada ya kufuata ushauri wa dr sikuona tena tatizo
ulikuwa unatumia freestyle nini ule upepo maana zile nazo ni janga...
 
Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumantain ni kazi kama hauna stamina brand kama blue magic 24/7 material zangu ni classic.
 
Back
Top Bottom