Kwa wanawake tu..ukweli usiozungumzwa

Kwa wanawake tu..ukweli usiozungumzwa

pedi zinasababisha dear tena kwa asilimia kubwa tu soma hii nimeitoa huko kwenye research moja .................. 56 Girls died in a single day because of using Whisper, Stayfree, etc. Single pad for the whole day causes Cancer in bladder, called UTERUS CANCER. It causes due to chemicals used on the pad. So, try to change your pad every 2 hours..

ni kweli dia na sikupingi ndo maana nikasema ni combination ya vitu vingi. ukivaa pedi moja siku nzima lazima utapata madhara. madhara hutegemea pia na hali ya hewa ya eneo husika, ngozi ya mtu, usafi, aina ya pedi nk
 
duh alafu mi ndo nanyonyaga kumbe nakula fangasi ptuuuuu
 
pedi zinasababisha dear tena kwa asilimia kubwa tu soma hii nimeitoa huko kwenye research moja .................. 56 Girls died in a single day because of using Whisper, Stayfree, etc. Single pad for the whole day causes Cancer in bladder, called UTERUS CANCER. It causes due to chemicals used on the pad. So, try to change your pad every 2 hours..

hivi kweli mtu anaweza kuvaa pedi in a single day akafa?? How?
 
hivi kweli mtu anaweza kuvaa pedi in a single day akafa?? How?
yaani effect ya kuvaa pedi moja kwa siku huko mbeleni...yaaani huko nyuma walikuwa wanavaa pedi moja ndo kimewaletea shida
 
Pads za always original tn za cotton ni safi sana. Au kwa Yule alotoa wazo la cotton na gauz ni safe pia. Hii mipedi ya skuizi wanaowekaga sijui jelly ndani ni majanga kwa Kweli. Mimi nimezigundua hizi za always cotton ni nzuri sn. Na ukitoa zinasafishika vizuri kabla kutupa.
 
ni kweli always wanajitahidi sana...ila gharama
 
Nimepata shule...nyingine zaidi...kweli cases zimeongezeka sana...napita lakini
 
Tusitoke nje ya mada, sifahamu kama cotton wool bado zipo, lakini ulizia kwenye pharmacy kubwa. Wakati unatengeneza hakikisha mikono ni misafi kuavoid infection.

Cotton wool zipo dear,hata ukijifungua siku za mwanzo ile flow kali unavaa kwanza hiyo cotton wool na gauze
Bado zinatumika hospitals
 
usipite bwana dokta tusaidie
.....kwa haraka haraka...ni kweli cases in out-patient zimekua nyingi sana hasa za UTI na vulva and vaginal candidiasis...ukiacha sababu nyingine lakini kwa observation yangu naona pia haya mabadiliko ya mtindo wa maisha unachangia...mfano kama hizo pad ambazo ulizo zieleza...lakini pia siku hizi maofisi mengi wameweka vyoo vya kukaa(vinaonekana vya kisasa) lakini vyo vya kukaa si vizuri sana kwa maumbile ya wanawake coz ni rahisi kupata bacteria, fungal nk..ukizingatia pia vyo vingi vya maofisini ni vya kushare na usafi wake si mzuri ...lakini pia kutokana na hivyo vyoo vilivyo vinaweza kukufanya ushidwe au uone uvivu au uone ni uchafu kwenda kujisaidia humo kwa hiyo ukabana mkojo... ambayo nayo pia husababisha sana kupata UTI kirahisi.....kuna hii tabia pia ya wanawake kutumia tissue muda wote (hata akiwa nyumbani) huchangia pia mana tissue wakati mwingine haisafishi kama maji...so ni vizuri kutumia maji hasa ukiwa nyumabani kuliko kutumia tissue muda wote...........Lakini pia kuna tendency ya watu(wanawake) kumeza ANTIBIOTICS mara kwa mara(hatuna restriction kwa hiyo ni rahisi kupata pharmacy)....hii nayo huchangia sana especialy kwa cases za VULVA -VAGINAL candidiasisis coz antibiotics huuwa normal flora(Bacteria ambao ni muhimu kuwepo njia za uzazi ili kupambana na wadudu wabaya na kuregulate PH) so ukimeza antibiotics mara kwa mara ni rahisi sana kupata fungus....kwa haraka haraka haya ndo tunayofanya kila siku lakini yanachangia pia kupata magonjwa ...
 
Back
Top Bottom