Mimi..sina njaa Wala siduu na abstain. Ila Kaka hela yakupewa na baba/Mama... Nakupewa na mwanaume Ni vitu viwili tofauti... Eti kisa na Mshahara ndo unatomba bure tu.
Wewe ndo wale mnaokopa wanawake hela.. tena hamalipi..na mnataka wakajitolee na mahali...
You are a shame to manhood.
Aisee salama tu mrembo, uko poa?Eeeeehh habari ya asubuhi?
Niko poa sana tu, uwe na siku nzuri huko ulikoAisee salama tu mrembo, uko poa?
Future can't be secured kwa kusubiri pesa ya mtu....he can damp you any day.....he can be dead too before you.
Pole sana sana kwa mawazo ya kipuuzi kama haya.
Niko poa sana tu, uwe na siku nzuri huko uliko
kwako piaNiko poa sana tu, uwe na siku nzuri huko uliko
You hit it on the right spot, labda niweke sawa tu, mwanaume thamani yake ni uwezo wa kuzalisha iwe biologically au kiuchumi. Akiwa na kimojawapo tu he will be considered a man na akijiexpose tu kwenye soko la kuna wanawake watakuwa tayari kuwa nae tu no matter what.
Sasa acha hawa wadangaji wadanganyane wakihisi mwanaume ni lazima awe Mo au Bahkresa ndio apate mwanamke wakati watoto wakali tu wanaotoka familia za kueleweka hapa mjini wanajilengesha na tunawambato for free wala hamna kelele!!!
Naona sheikh Halifa umecheka sana yani 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona sheikh Halifa umecheka sana yani [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazingua hawa watoto! 😎Naona una piga punch tu za mbali na karibu Mzee bila huruma
TrueMwanaume ni provider by nature. Hata kimaumbile mwanaume anatoa mwanamke anapokea. Hakuna mambo ya 50/50. Mwanaume kumgharamikia mwanamke ndo kunamfanya awe mwanaume kamili. Kunaboost ego yake na ndo ukamilifu wa umbaji. The more mwanaume anahonga the more anajisikia fahari
Kwa jicho la 3 nakuelewa sana, mwanamke anahitaji matunzo, watoto na familia kwa ujumla wote hawa wanahitaji matunzo. Bila kuwa na pesa ni changamoto. Ndiyo maana nikakushauri huu uzi ilibidi ungeuandika mbinu za kumpata mume bora nadhani ungekaa vizuri zaidi kuliko ulivyo sasa mbinu za kumpata sponsor.Vyovyote utakavyopenda kuita kutegemea na mtazamo wako. Ujumbe umefika kuwa mwanaume asiyekuwa na pesa kimsingi hastahili kuwa na mwanamke
Hapa una point kubwa sana. Lengo kuu la viumbe kuishi ni kuzaa watoto ili genes zetu zisonge kwenda kizazi kijacho.
Mwanamke ndiye mwaamuzi mkuu wa namna ya kupata watoto sababu ndiye anayebeba majukumu mazito kwanzia kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto hadi watakapoanza kujitegemea.
Ili mwanamke apate mtoto atahitaji vitu viwili kutoka kwa Me, genes nzuri za kutengeneza mtoto pamoja na rasilimali za kutosha kumtunza huyo mtoto hadi aweze kujitegemea.
Kwa bahati mbaya au nzuri, ni nadra sana Ke kupata Me mwenye vyote viwili, sababu kuwa na rasilimali (pesa) haitafsiri kwamba Me ana genes nzuri vilevile kutokuwa na rasilimali za kutosha haimaniishi Me ana genes mbovu.
Hivyo Ke inambidi achange karata zake kwa umakini kuhakikisha anapata vyote viwili, yaani genes nzuri pamoja na rasilimali hata kama vitatoka kwa Me tofauti ingawa mara chache vyaweza kutoka kwa Me mmoja.
Ni rahisi kwa Ke kumspoti Me mwenye rasilimali na kujilengesha kwake. Ndiyo maana sii kazi ngumu kwa Me mwenye hela kumpata Ke wa mahusiano au wa kuoa.
Je mwanamke akishampata mwanaume mwenye rasilimali ni nini kinafuata?... Searching for good genes!!!
Hii ndio sababu ya wake za matajiri pamoja na mademu wa kishua kugegedana na wanaume ambao kwenye jamii hawana mbele wala
Kingine uwaeleze tu ukweli kuwa kuna varieties katika wanaume na wanawake ndio maana kuna mrefu, mfupi, bonge, mwembamba, tajiri na lofa.Kwa jicho la 3 nakuelewa sana, mwanamke anahitaji matunzo, watoto na familia kwa ujumla wote hawa wanahitaji matunzo. Bila kuwa na pesa ni changamoto. Ndiyo maana nikakushauri huu uzi ilibidi ungeuandika mbinu za kumpata mume bora nadhani ungekaa vizuri zaidi kuliko ulivyo sasa mbinu za kumpata sponsor.
Ni ukweli usiopingika wanaume tumeumbiwa mateso kula kwa jasho, ni lazima tupambane tuwe na pesa ya kutunza mke, watoto na familia kwa ujumla. Bila pesa lazima tutakwama tu. Mnachotakiwa wanawake muwe na tabia njema, mjitunze na muwe na viwango vya kuwa wife materials. Msijikite na msiwe na fikra za kupata sponsors bali muwe na mtazamo wa kupata mume bora.
Yeah! Mapenzi ni natural, yamekuwepo hata kabla ya pesa kuwepo.Wajanja tu ndio wataelewa...
Mapenzi huwa ni natural thing kama maji kushuka mlima japo unaweza ukayafosi yapande mlima ukiwa na hela ya pampu na petroli. Mambo yatakwenda sawa hadi endapo pampu itakufa au petroli kukosekana ghafla.
Hapo ndipo utajua hujui kmmmke😂😂😂