Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

wanawake naona tunawaonea tu bure
kiasili mwanamke anahitaji security pesa haijaanza kusumbua leo wala jana hili swala ukiuliza hata mabibi zetu watakuambia
zamani mwanamke atapenda aolewe kwenye familia yenye utajiri wa mashamba mifugo nk
hata kwa wanyama ni hivo hivo jike la simba hawezi kuzaa na dume ambalo ni goigoi kwenye kundi
Kama mwanamke hakuumbiwa shida basi kwenye viapo vya ndoa vilivyo wekwa na MUNGU (DHIKI na faraja,uzima na UGONJWA) hayo maneno DHIKI na UGONJWA Mungu asinge yaweka mpaka Mungu ameyaweka anajua maisha hayana formula.

Kweli wanaume ni wajibu wetu,ila what if kesho umetetereka itakuwaje? Au utamruhusu akagongwe na mwanaume mwengine kisa wewe huna hela.

Ndio maana watu kwenye ndoa wana prefer mwanamke asiyeweka tamaa ya hela mbele (Mdangaji),kwani kuna leo na kesho hata ukitetereka still bado unaye mkeo,ataendelea kukutia nguvu,kukufariji na kukushauri ili uinuke tena.

SASA WEWE JICHANGANYE UINGIE MAISHA YA NDOA NA MWANAMKE MWENYE TABIA ZA UDANGAJI utaona mtiti wake ukitetereka kiuchumi.
 
asee skuwezi [emoji15][emoji134]‍♂️
So mda huo unadanga kwa masponyoo unakua na kajamaa kama mm kanajisifiaga huko mtaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani sisiii

Hamuendi mbinguni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkitukuta mbinguni sijui mtasemaje
Mi ndio maana nawashauri wanaume tafuteni pesa tu msitumie muda wenu kuhangaika na mapenzi
Life is not fair and will never be fair ukihangaika kupata usawa ni sawa na kudeki bahari
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Kuna kila dalili ya udangaji wa viwango vya juu, ingekua vizuri zaidi kama ungeandika "Mbinu za kumpata mume bora"
 
Wanaume apeche alolo lazima wakulaani mtoa mada ila ni nature yetu ke kupenda palipo na uhakika wa maisha kwetu sisi na vizazi vyetu,

Tangu enzi wanawake walitumika kuolewa katika familia zenye wadhifa, ama za kifalme au kitajiri ili tu akomboe ndugu zake ama watu wa jamii yake, mf ni Esta, sasa nimpate wa hivyo nikae kifala fala eti naangalia true love mara oooh tutafute pamoja, sifanyi huo ushenzi
That's the spirit my dear. Utasikia wanaume wanasema oh mara true love...thubutu. Mwanaume anayegharamia ndiye mwenye true love
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mambo ndio hayo huchoshwi sio vijana mnakamia alafu mifukoni apeche alolo
Nawaheshimu though kaka zangu na nyie ni ma future sponyoo,kwa sasa mko busy na majukumu ya kujenga,kusomesha,kununua magari etc kuna kiage mkifika mtatoa tu pesa
Salute to all responsible men[emoji28]
Hahahaha eti mafuture sponyooo.... Unasema ukweli mpaka unakeraa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bad girls wanaongoza kuolewa unaweza usiamini
Naongea kwa ekspiriensi kabisa
Life is just a game don’t take it too serious
Si bad girls tu bali sifa kubwa ni "control freaks" Wanawake wengi wanaojua kuteka hisia za mwanaume yani kufanya kile mwanaume anatarajia kufanyiwa kila wakati hutupumbaza zaidi na hata kumpa hela hutawaza.

Mbaya zaidi walio na mvuto wa ngono wana ushawishi mkubwa kwenye kukuingiza king ili umuoe ukidhani huduma zitakuwa bora zaidi kumbe ndio umejimaliza. Watoto wa kichaga wapo njema sana katika hili ndio maana wanaongoza kwa kuolewa sio kwamba ni bora kuliko wengine ila wanajua kuji adjust kuendana na mahitaji ya mwanaume ili wapate wanachotaka🤣🤣🤣
 
Wale wale...ndo zenu mnajitia kuwasifia wake zenu walivyo hardworking kumbe mnawachota ili wawasaidie majukumu yenu
Mke kuwa hardworking ni bonus, wala usiponde! We kama umeamua kuuza K yako usipondee wanawake ambao wako ambitious na wanapenda kujishughulisha na uzalishaji mali kihalali

Stick on your mofo lane...let others do their shyt as well!
 
Mnachanganya mambo hapa mkuu, mantiki ya mtoa mada hamjaielewa kabisa

Halafu mmekariri kuwa wanaume wenye wadhifa huwa hawana nguvu za kupiga mashine ila wapo waliojaaliwa kotekote, na apeche alolo wasioweza kupiga mashine vilevile
We nilikuwa nimekupa 5 star rating ila kumbe ni ushuzi tu. Long live jf!!!
 
Kwanza kabisa uvumilivu siyo asili ya mwanamke, ikiwa muda haumvumilii mwanamke yeye atavumiliaje hali yoyote?
Kitu pekee anachotaka mwanamke kutoka kwa mwanamume ni pesa(security), na zana pekee anayotumia mwanamke kuchota pesa za mwanaume ni uzuri wake(feminine sexuality).

Lakini uzuri wa mwanamke siyo kitu cha kudumu, ni perishable condition. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya miaka 19-30. Kwahiyo kwenye hiyo age mwanamke anatakiwa awe sharp ku exploit resources za mwanaume for her future and better survival.

Kwahiyo kwa kuwa muda siyo rafiki kwa mwanamke, inabidi atumie huo umri kati ya 19-30 kwa ajili ya kuandaa baadae yake. Inawezakuwa kwa njia ya kuolewa, kudanga na kupata mtaji mkubwa wa biashara au kuhonga K na kupata kazi nzuri itakayomwezesha kuishi vizuri hata pindi uzuri wake utakapoanza kupungua.

Lakini akichelewa akaenda beyond 30 bila ndoa, wala kazi ya maana, wala kipawa chochote kwenye biashara, basi huyo imekula kwake.Mwanamke mwenye 35+ anaanza kuzeeka, mitongozo inapungua na atatumia makeup nyingi ili aweze kushindana na damu changa sokoni.

Lengo langu kwenye huu uzi ilikuwa kuwatahadharisha wanaume hasa namna ya kutumia vizuri rasilimali tunazopata. Tofauti na mwanamke, mwanaume anazeeka Kama wine....yaani jinsi umri unavyosonga ndo uzuri unaongezeka na madili ya mitonyo yanakuwa njenje.... mwanamume anatakiwa kukimbizana na pesa maana kwetu hata miaka 60, 70, 80, tunaweza kuenjoy na vibinti vya miaka 20 bila shida..... mwanaume ni slightly weak biologically, hivyo kuhonga hovyo pamoja na ngono zembe ndo chanzo cha magonjwa mengi ya uzeeni pamoja na vifo vya mapema ukilinganisha na mwanamke.
You hit it on the right spot, labda niweke sawa tu, mwanaume thamani yake ni uwezo wa kuzalisha iwe biologically au kiuchumi. Akiwa na kimojawapo tu he will be considered a man na akijiexpose tu kwenye soko la kuna wanawake watakuwa tayari kuwa nae tu no matter what.

Sasa acha hawa wadangaji wadanganyane wakihisi mwanaume ni lazima awe Mo au Bahkresa ndio apate mwanamke wakati watoto wakali tu wanaotoka familia za kueleweka hapa mjini wanajilengesha na tunawambato for free wala hamna kelele!!!
 
Back
Top Bottom