Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

JINSI YA KUSAFISHA UKE (KUM*)
Kama kuna kitu kinachomkera mwanamme katika uwanja wa sita kwa sita basi ni harufu chafu katika mwili wa mwanamke hasa uke. Na mimi hapa nitazungumzia usafi wa uke peke yake kwani hii ndo sehemu muhimu sana katika mahusiano na inayohitaji usafi wa hali ya juu sana pengine kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili wa mwanamke.
Jinsi ya kusafisha uke
Njia bora ya kusafisha uke ni yakutumia maji safi bila kutumia sabuni ya aina yoyote. Mara nyingi wanawake hutumia sabuni kusafisha si vibaya lakini ni vizuri ukatambua kuwa iwapo utatumia sbuni hakikisha kuwa haiingii sehemu ya ndani ya uke iishie sehemu za juu ya uke pekee, iwapo sabuni itaingia ndani ya uke huleta bacteria wabaya ambao baada ya muda mfupi huleta madhara makubwa ikiwemo na harufu mbaya. sabuni ni muhimu katika usafishaji wa miili yetu lakini si sehemu ya ndani ya uke bali shemu nyingine za mwili najua wanawake wengi hutumia sabuni kujisafisha uke watashangaa kusikia kutumia sabuni kusafisha uke kuna hatari lakini sabuni huondoa mafuta ya asili ya ndani ya kum* na kusababisha ukavu ukeni kitu ambacho si kizuri hasa ukizingatia kuwa aina nyingi za sabuni zina dawa iitwayo chlorophenol ambayo huondoa aina zote za bacteria katika uke wakiwemo bacteria wazuri kitu ambacho hutoa nafasi ya bacteria wabaya kumea kwa kasi hivyo baada ya muda mfupi harufu mbaya au uchafu mzito sehemu za uke hivyo unapoosha uke hakikisha unaeepuka kuingiza maji yenye sabuni ndani ya uke, chukua maji safi osha uke bila kuingiza ndani ya mpasuko.
HATUA TATU ZA KUOSHA UKE
Hatua ya kwanza-ingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utalizika nacho wewe kwani bafuni pia ni sehemu ambayo imekuwa ukiwaletea magonjwa mbalimbali wanawake hasa ikiwa chafu magonjwa ambayo huambatana na harufu mbaya ukeni, wakati wa usafi unaweza kujisafisha ukiwa umesimama wima au umechuchumaa.
Hatua ya pili-polepole anza kusafisha uke wako kwa kidole cha pili toka dole gumba, kidole cha kati au chanda(kidole kiwekwacho pete ya ndoa) fanya hivyo kwa maji safi.Hii itakusaidia kuondoa uchafu wote mzito uliopo ukeni
Hatua ya tatu na ya mwisho - Suuza uke kwa kumwagia maji uke wako kuanzia mbele kurudi nyuma unaweza kutumia kikombe au kopo la plastiki hii pia itazui kupata ugonjwa na njia ya mkojo yaani UTI.

Copied

Ila kuna wengine wanasema si vizuri kujiingiza kidole wakati wa kujisafisha, uke una njia ya kutoa uchafu wa ndani. [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
3888ce95f837a364b387b1dafd36266c.jpg
Mi ata siujui huo utoko mnaozungumzia!!! Nikiona chochote cheupe huko chini hua nakimbia hospitali kupima UTI!!!
 
Sasa je wale wadada ambao wanatoka kuoga lkn ukila mzigo lile bao la kwanza tu unasikia harufu,wanakuwa hawajaosha vzr au ndio harufu imeshakuwa permanent maeneo yale



Maana dampo hata ukilihamishia kwenye kiwanda cha manukato litanuka tu.
Harufu ya kule mda mwingine si kwamba mtu hajisafishi vizuri... Magonjwa au infections zinaleta harufu!!! Pia aina fulani za vyakula

VISABABISHI
i. Bacteria
Tatizo hili husababishwa na Bakteria kwa asilimia kubwa. Kwa asili, ukeni huishi jamii ya bacteria waitwao Lactobacillus ambao jukumu lao kubwa ni kufanya mazingila ya uke kuwa katika hali nzuri. Kutokana na njia mbaya za kusafisha uke, hasa kujisafisha kupindukia, ama kwa kutumia sabuni zenye dawa, husababisha bacteria hawa kufa kwa wingi na mahala pake kuchukuliwa na aina zingine za bacteria ambao huzaana kwa wingi na kusababisha tatizo hili.

Pia kwa wale wanaojamiiana kinyume na maumbile, kuna hatari ya kuhamishia bacteria wanaoishi kwenye njia ya haja kubwa na kuwaamishia
ukeni ambapo watazaliana na kukuletea madhala haya.

ii. Kuvu(fungus)
Hii mara nyingi huambatana na uchafu mzito utokao ukeni mfano wa maziwa mgando(mtindi)

iii. Magonjwa ya zinaa(STIs)
Kwa asilimia kubwa husababisha na Chlamyidia na kisonono(gonorrhoea). Yote mawili hutibika kirahisi, ila husababisha madhala makubwa zaidi yasipotibiwa kwa wakati. Tukio baya ni kuwa mwanamke anaweza akawa na magonjwa haya na asione dalili yoyote. Ila mara nyingine mwanamke anaweza kujisikia maumivu anapokojoa, na mara nyingine mkojo unakuwa kama una ukungu, vikiambatana na harufu mbaya.

iv. Maambukizi ya via vya uzazi vilivyo ndani ya nyonga[Pelvic Inflammatory Diseases(PID)]
Hii husababishwa na bacteria waambukizwao kwa njia ya ngono wanapofanikiwa kufika kwenye tumbo la uzazi na hata pia mirija ya mimba na hata kokwa(ovaries), hasa chlamydia. Mara nyingi mwanamke anaweza asijisikie chochote hadi pale atakapojisikia maumivu yasiyokwisha ya tumbo(chini ya kitovu), au itakapoingiliana na utungaji wa mimba. Na kama atajisikia, mara nyingi huwa ni maumivu ya nyonga, harufu mbaya, uchafu mzito ukeni, homa, maumivu wakai wa kukojoa na hata maumivu wakati wa kujamiiana.
Tatizo hili lisipotibiwa mapema laweza kusababisha utasa, ama mimba kutunga nje ya mji wa mimba.

v. Kansa ya uke na kansa ya shingo ya kizazi
Asilimia chache sana ya wanawake inaweza ikawa ni kutokana na kansa ya shingo ya kizazi ama ya uke. Hapa ndipo inapoonyesha kuwa tatizo hili siyo la kufumbia macho, na umuhimu wa kuwahi kwa wataalam wa tiba kwa uchunguzi wa mapema na kabla tatizo halijawa kubwa.

vi. Uchafu
Usipokuwa msafi kwa kiwango kikubwa utakuwa unakaribisha wadudu kuzaliana na kukuletea madhala. Pia unatakiwa kuwa makini wakati wa hedhi, na pia uchaguzi wa pedi, kwani kuna pedi ambazo zina kemikali za kukata harufu zinaweza kukudhulu.

Dr Mkumbo
 
Watu changieni kwa experience zenu,

wanawake tuna magonjwa mengi ukeni hasa fangus mara nyingi wanasema zinasababisha na condom na mambo mengine tho zinatibika. Ila hazisababishwi na kuingiza kidole wakati wa kujisafisha.

Usafi wa uke ukiwa unaoga umesimama bila shaka mnatumia dodoki kama mm so utasigua kwenye mapaja mpaka pemben kabisa mwa k ukimaliza unajisuuza mwili mzima then unachuchumaa. Kwa kutumia kopo unachota maji kwenye ndo hata kama unatumia ya mvua basi wakati wa kuosha k kinga weka kwenye ndoo theni osha k kwa maji tu osha yale nashavu ya juu na ndani kwa kutumia kidile ingiza kidogo ndani osha k kwa maji ya kutosha.

Hakikisha huna kucha ndefu na ziwe safi oshaaaa weee mpaka utakaporidhika ila usisugue saana maana sio ile sehemu hainaga uchafu kama watu wanavyosema.

Acheni kutudanganya huwezi kuosha k bila kiweka kidole na kuosha kwa maji ya kutosha.

Hakuna magonjwa yanayosabashwa na kidole labda kama unayo tiyari mf. Fangas. K ni yako osha na maji mengi masafi gusa kila sehem kwa vidole vyako la muhimu viwe visafi.
 
Uchi wa mwanamke hujisafisha wenyewe kwa kutoa uchafu wote nje, huna haja ya kusafisha kwa sabuni. Japo nlishawahi kusoma sehemu kuna brash ina kama nchi saba hivi uaipaka sabuni kuna sabuni spesho za kuoshea huko chini ukienda pharmacy watakuuzia. Then uniingiza unakuwa kama unaizungusha hivi. Then utaitoa halafu suuza tu basi. Kuingiza vidole huko sio salama maana kucha zinakuwa na uchafu mda flani hivyo unaweza ukaleta maambukizi. Pia hata wakati wa kusex usiruhusu mwanaume akuingizie vidole kwenye k yako kwani mikono yake huwa michafu. Hata ulimi mda flani sio vizuri kusokomeza huko, unajua why,,,? Mdomoni kuna normal flora wanaoishi ndani ya mdomo, hawapaswi kuwa sehemu ingine na kazi yao hawa ni kusaidia kumeng'enya chakula kinapoingia mdomoni, kwenye k pia kuna normal flora nao wanasaidia vitu flani kwenye k so unapoingiza ulimi wakikutana hao basi wanaform uadui na kuanza kushambulia wageni na matokeo unapata maambukizi.
 
Uchi wa mwanamke hujisafisha wenyewe kwa kutoa uchafu wote nje, huna haja ya kusafisha kwa sabuni. Japo nlishawahi kusoma sehemu kuna brash ina kama nchi saba hivi uaipaka sabuni kuna sabuni spesho za kuoshea huko chini ukienda pharmacy watakuuzia. Then uniingiza unakuwa kama unaizungusha hivi. Then utaitoa halafu suuza tu basi. Kuingiza vidole huko sio salama maana kucha zinakuwa na uchafu mda flani hivyo unaweza ukaleta maambukizi. Pia hata wakati wa kusex usiruhusu mwanaume akuingizie vidole kwenye k yako kwani mikono yake huwa michafu. Hata ulimi mda flani sio vizuri kusokomeza huko, unajua why,,,? Mdomoni kuna normal flora wanaoishi ndani ya mdomo, hawapaswi kuwa sehemu ingine na kazi yao hawa ni kusaidia kumeng'enya chakula kinapoingia mdomoni, kwenye k pia kuna normal flora nao wanasaidia vitu flani kwenye k so unapoingiza ulimi wakikutana hao basi wanaform uadui na kuanza kushambulia wageni na matokeo unapata maambukizi.
Kama mnasema kidole ni uchafu na kucha zinakuwa na uchafu,kumbuka si wote wenye kucha ndefu na pia before kuoga mtu unakuwa umefua chupi kitendo cha kufua na kusuuza chupi mikono yenyewe inajiosha hata kama kuna vijiuuchfu kidogo kwenye fupi lazma uchafu utoke kupitia kufua chupi
 
Naomba mtoe mawazo kutokana na experience zenu,yaani nyie mnavyofanya mpaka hizo k.m. zenu hazitoi harufu.
 
Ellyrehema . . ,
Jina zuri sana . . [emoji1]

Uchi wa mwanamke hujisafisha wenyewe kwa kutoa uchafu wote nje, huna haja ya kusafisha kwa sabuni. Japo nlishawahi kusoma sehemu kuna brash ina kama nchi saba hivi uaipaka sabuni kuna sabuni spesho za kuoshea huko chini ukienda pharmacy watakuuzia. Then uniingiza unakuwa kama unaizungusha hivi. Then utaitoa halafu suuza tu basi. Kuingiza vidole huko sio salama maana kucha zinakuwa na uchafu mda flani hivyo unaweza ukaleta maambukizi. Pia hata wakati wa kusex usiruhusu mwanaume akuingizie vidole kwenye k yako kwani mikono yake huwa michafu.

Hata ulimi ( mda flani . . ?! ) sio vizuri kusokomeza huko, unajua why,,,? Mdomoni kuna normal flora wanaoishi ndani ya mdomo, hawapaswi kuwa sehemu ingine na kazi yao hawa ni kusaidia kumeng'enya chakula kinapoingia mdomoni, kwenye k pia kuna normal flora nao wanasaidia vitu flani kwenye k so unapoingiza ulimi wakikutana hao basi wanaform uadui na kuanza kushambulia wageni na matokeo unapata maambukizi.
( Cha msingi ni USAFI USAFI USAFI, otherwise kutafuna K au kunyonya Mb . . ni salama . . )

( Sidhani kama umeshawahi kunyonywa K wewe . . ?! Mwanaume akikulamba mapaja tuu kwa ndani . . , hutakumbuka kumzuia kutia ulimi hapo chini . . )
 
Ngoja niwaite@miss chagga,heaven sent,badili tabia,numbisa, espy, sky eclat na wengine
 
Unatia dole ili iweje. K inaoshwa na maji na sabuni tu.
Ukweli ni kwamba fiziliojia ya maumbile ya kike ina ulinzi wa kutosha, na hakuna haja ya kuingiza chochote au kutumia kemikali za aina yoyote kwa lengo la kusafisha ukizingatia njia ya kike ina uhusiano wa moja kwa moja na viungo vya tumboni vya mwili wa mwanamke, kufanya hivyo ni sawa na compromise ulinzi uliopo. Kwa uzoefu wangu mdogo, kundi la watu wasioweza kujihudumia mf. Wagonjwa wa akili, hawaugui sana magonjwa yanayohusiana na usafi wa sehemu za kike kama PID na UTI. Wakati modern ladies hulalamika wana UTI sugu (kama wanavyoziita wenyewe)... Pengine ni lifestyle ndio shida, tunacompromise ulinzi asilia (fiziliojia)
 
Back
Top Bottom