Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

Ukweli ni kwamba fiziliojia ya maumbile ya kike ina ulinzi wa kutosha, na hakuna haja ya kuingiza chochote au kutumia kemikali za aina yoyote kwa lengo la kusafisha ukizingatia njia ya kike ina uhusiano wa moja kwa moja na viungo vya tumboni vya mwili wa mwanamke, kufanya hivyo ni sawa na compromise ulinzi uliopo. Kwa uzoefu wangu mdogo, kundi la watu wasioweza kujihudumia mf. Wagonjwa wa akili, hawaugui sana magonjwa yanayohusiana na usafi wa sehemu za kike kama PID na UTI. Wakati modern ladies hulalamika wana UTI sugu (kama wanavyoziita wenyewe)... Pengine ni lifestyle ndio shida, tunacompromise ulinzi asilia (fiziliojia)

Sasa mgonjwa wa akili atalalamika vipi, maana hata UTI haijui,
 
Usitumie sabuni wala usiingize povu la sabuni huomo ndani, K inaharufu yake natural ambayo ni nzuri sana, ukiisikia tu dushee linasimama. Ila kwa wale wanao ingiza vidole na sabuni wanaua ile harufu ambayo ni natural matokeo yake K inakua inanuka. Kitendo cha kupitasha vidole vingine vichafu , kucha ndefu vinaharibu kabisa uasili wa K.

K ambayo haijaingizwa vidole au sabuni inanukia vizuri kiasi kwamba ile harufu inakua Inasisimua dushee , hivyo ukimchezea tu mwanamke kidogo ule ute unavyotoka unakuja na ile harufu fasta dushee lina simama shoo inaendelea. Hii sio kwa binadamu tuu hata wanyama Kama ngo'ombe , Mbuzi huwa unaona wananusa K , ndio mzuka unakuja.
 
Hii Mimi Nina kataa,kwa sababu mtu ukianza kukiosha hicho kidole uchafu unautolea wapi??? Sasa angalia demu ukae week hujaosha K,vua pichu uone hiyo shombo sasa,ya samaki au kibeberu hakioni ndani.
Mkuuuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa mgonjwa wa akili atalalamika vipi, maana hata UTI haijui,
It depends on how you look on it, kwani watoto hutibiwa vp na wakati hawaongei? Stick to the point
 
Hii Mimi Nina kataa,kwa sababu mtu ukianza kukiosha hicho kidole uchafu unautolea wapi??? Sasa angalia demu ukae week hujaosha K,vua pichu uone hiyo shombo sasa,ya samaki au kibeberu hakioni ndani.
Ukisikia shombo ya samaki jua uyo ana infection si bure,na uo utoko unaotoka kwa kila mwanamke ukiwa hauna harufu na upo kias basi haina madhara yyte,zaidi wakat wa kuosha ni kuosha juu juu tu tena na maji tu ,then na madole haifai kuingia uko chini
 
Kujitia masabuni ndan ya K ndio mwanzo wa kuanza kupata infection,mana unatoa mafuta ya asili ambayo yanalinda K kupata bacteria wabaya,maji pekee ndio inafaa kusafishia,ila ilo dole lisipite uko
 
Nafikiri wadada wengi wanatembea na fungus bila kujijua. K ina harufu yake ya asili hata ukitokwa jasho sio mbaya kama uke wenye infection.

Ukiona harufu ni mbaya ya kukera na ute unatoka kama mtindi nenda Hospitali.

Ute wa kawaida una range from colorless to whitish. Hiyo ya white inakuwa nzito wakati una ovulate lakini ni smooth sio mabonge kama mtindi na hauna harufu mbaya. Ukitoa na kidole utajua tofauti.

Mimi kidole huwa naweka na maji ya baridi, ili niwe dry. Angalau mara moja kwa siku La sivyo nikitoka tu bafuni najisikia niko wet, I don't like.

Ukitumia maji ya moto unafanya utoe ute mwingi..

Nje nanawa na jamaa, sometimes nanawa na sabuni ya kunukia, kwenye mashavu tu sigusishi milango ya ndani.
 
Kadada huo ute mweupe unao tokea hapo unaitwa ute wa uzazi(chunguza vizuri ute huo hutokea kipindi cha siku za hatari). Pili ute kama huo pia unaweza kutokea baada ya p ukiwa na homon maalum za kusafisha k baada ya p.( hutokea mwishoni mwa kipindi cha p)
Sikushauri utumie sabuni ila utalatibu wa kujisafisha ni muhimu na pia kuingiza kidole inaweza kuwa hatari kwani unaweza kupitisha bacteria wa maradhi mbalimbali.
Note; K kutoa harufu mbaya ni moja ya dalili za ugonjwa. Unaweza ukuwa unasafisha kwa sabuni au hata bila sabuni lakini harufu hiyo ikaendelea kuwepo. Kwasababu hiyo ni dalili zamagonjwa mengi tu kwenye via vya uzazi hivyo ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari mapema kucheki afya yako.
Umejibu vyema[emoji106] [emoji6]
 
Sasa je wale wadada ambao wanatoka kuoga lkn ukila mzigo lile bao la kwanza tu unasikia harufu,wanakuwa hawajaosha vzr au ndio harufu imeshakuwa permanent maeneo yale



Maana dampo hata ukilihamishia kwenye kiwanda cha manukato litanuka tu.
"Ukishakula mzigo" basi hiyo ni harufu yako.
 
Hii Mimi Nina kataa,kwa sababu mtu ukianza kukiosha hicho kidole uchafu unautolea wapi??? Sasa angalia demu ukae week hujaosha K,vua pichu uone hiyo shombo sasa,ya samaki au kibeberu hakioni ndani.
Huwa wanakataa huku mitandaoni tu.Hivu ukiosha kidole vizuri na kisiwe na kucha ndefu ukaingiza kwenye k wala sio kina kirefu pale mlangoni ukavuta utoko;ukaosha kwa maji mengi uambukizo utatoa wapi?aje mboo haiwezi kuigiza bacteria?Maana inatolewa na kushikwa na mikono...mkojo pia unatokea hapo hapo.
 
Huwa inakuwa hivyo kwako?!
Hapana sijawahi experience hizo adha!!
Ila umesema ukishakula mzigo ndio harufu unaisikia, that means mwanzo haikuwepo, kwahiyo sababu ni wewe.
 
Kuingiza sabuni kwenye K ni big NO. lakini kuingiza kidole kutoa uchafu kwangu ni sahihi as long as kidole na maji unayotumia ni masafi na hayana sabuni wala chemical yoyote, kuniambia nisifanye hivyo sitaelewa!
 
Uke ni msafi kuliko mdomo, hakuna haja ya kuusafisha. Wenyewe unajisafisha kwa majimaji yaliyoko humo.Si ruksa kutumia sabuni au manukato ya aina yeyote katika uke. Harufu itakayotoka ukeni ndio harufu ya uke wenyewe, huwezi kununua samaki alafu akawa na harufu ya chocolate hata wewe mlaji hautafurahi. Bila shaka ni vizuri kula samaki mwenye harufu ya samaki. Kwa hiyo nawasihi wanawake wasihangaike kubadilisha harufu ya uke kwa kutumia sabuni na marashi mbalimbali. Labda unaweza kutumia maji safi na salama, yakiwa yana joto ni vizuri zaidi. Pia nawasihi mwanaume wenzangu wa-enjoy kukuta uke una harufu ya uke. Musitake uke uwe na harufu ya strawberry.
 
Back
Top Bottom