Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

Kuingiza sabuni kwenye K ni big NO. lakini kuingiza kidole kutoa uchafu kwangu ni sahihi as long as kidole na maji unayotumia ni masafi na hayana sabuni wala chemical yoyote, kuniambia nisifanye hivyo sitaelewa!
Leo nimejaribu kuoga bila kuingiza kidole kwenye K yani nimeosha juju tu.....japo najiskia kama cjatakata nasubir jion nione kama kutakuwa na harufu yyt
 
Huwa wanakataa huku mitandaoni tu.Hivu ukiosha kidole vizuri na kisiwe na kucha ndefu ukaingiza kwenye k wala sio kina kirefu pale mlangoni ukavuta utoko;ukaosha kwa maji mengi uambukizo utatoa wapi?aje **** haiwezi kuigiza bacteria?Maana inatolewa na kushikwa na mikono...mkojo pia unatokea hapo hapo.
Mmmmmmh!!!
 
Hakutakuwa na harufu yoyote.

Leo nimejaribu kuoga bila kuingiza kidole kwenye K yani nimeosha juju tu.....japo najiskia kama cjatakata nasubir jion nione kama kutakuwa na harufu yyt
 
Sasa je wale wadada ambao wanatoka kuoga lkn ukila mzigo lile bao la kwanza tu unasikia harufu,wanakuwa hawajaosha vzr au ndio harufu imeshakuwa permanent maeneo yale

Maana dampo hata ukilihamishia kwenye kiwanda cha manukato litanuka tu.
Hao inabidi kuwapeleka hospital wakatibiwe,watakuwa na fangasi zimekomaaaa
 
Leo nimejaribu kuoga bila kuingiza kidole kwenye K yani nimeosha juju tu.....japo najiskia kama cjatakata nasubir jion nione kama kutakuwa na harufu yyt
Kila siku huwa unaingiza kidole?!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana sijawahi experience hizo adha!!
Ila umesema ukishakula mzigo ndio harufu unaisikia, that means mwanzo haikuwepo, kwahiyo sababu ni wewe.
Kwahiyo mwanaume ndio anaifanya K itoe harufu akila mzigo?!
 
Kwa hiyo tusiingize kidole ,,,mi hata sielewiii lo
 
Wadada mnatambua kuhusu matumizi ya "feminine wash".Zipo sabuni maalumu kwa ajili ya kuoshea huko mahali, na huwa zina contain Lactic Acid ambayo husaidia kuweka maungo hayo katika afya njema kwani huifanya acidic pH level kuwa katika wastani unaotakiwa .
 
Kwa hiyo nawasihi wanawake wasihangaike kubadilisha harufu ya uke kwa kutumia sabuni na marashi mbalimbali. Labda unaweza kutumia maji safi na salama, yakiwa yana joto ni vizuri zaidi. Pia nawasihi mwanaume wenzangu wa-enjoy kukuta uke una harufu ya uke. Musitake uke uwe na harufu ya strawberry.
Sometimes hatufanyi kwasababu hatupendi harufu zetu..I for one love my scent. Ni kufanya tu mambo yawe interesting. Week nzima nimeogea jamaa, Siku moja nabadilisha asikie harufu ya mawardi. Baada ya wiki asikie strawberry. Sio mbaya ili mradi haviingizwi ndani.

Plus me nilishasbuliwa sana na infections wakati Niko shule, muda ule hata sijui kuna kusafisha ndani na kidole. So I'm sure watu wana exaggerate madhara ya kusafisha ndani na marashi ya nje
 
Uke ni msafi kuliko mdomo, hakuna haja ya kuusafisha. Wenyewe unajisafisha kwa majimaji yaliyoko humo.Si ruksa kutumia sabuni au manukato ya aina yeyote katika uke. Harufu itakayotoka ukeni ndio harufu ya uke wenyewe, huwezi kununua samaki alafu akawa na harufu ya chocolate hata wewe mlaji hautafurahi. Bila shaka ni vizuri kula samaki mwenye harufu ya samaki. Kwa hiyo nawasihi wanawake wasihangaike kubadilisha harufu ya uke kwa kutumia sabuni na marashi mbalimbali. Labda unaweza kutumia maji safi na salama, yakiwa yana joto ni vizuri zaidi. Pia nawasihi mwanaume wenzangu wa-enjoy kukuta uke una harufu ya uke. Musitake uke uwe na harufu ya strawberry.
Kuna nyingine harufu inapitiliza.Sorry to say like that.
 
Sometimes hatufanyi kwasababu hatupendi harufu zetu..I for one love my scent. Ni kufanya tu mambo yawe interesting. Week nzima nimeogea jamaa, Siku moja nabadilisha asikie harufu ya mawardi. Baada ya wiki asikie strawberry. Sio mbaya ili mradi haviingizwi ndani.
[emoji1] [emoji1] sawa ila huoni kama ni vizuri zaidi kwa mfano: nikitaka neno pilau almost hata hama halipo, ila unapata image na smell yake kabisa. Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Smell ya uke haitakiwi kuwa unpredictable acha hiyo hiyo tu coz ndo harufu yake, ili hata akiwa mbali akikukumbuka wewe tu anapata full package ya wewe.
 
Kuna nyingine harufu inapitiliza.Sorry to say like that.
Ni kweli Kasongo. Ila hata mananasi yapo yanayonukia zaidi ya mengine, kwa hiyo hilo sio tatizo. Labda itoke harufu ambayo sio original kitu ambacho sio rahisi sana labda kuwe na maabukizi.
 
Back
Top Bottom