Kwa wanawake tu! Jinsi ya kujisafisha uke

Maki J

Senior Member
Mar 22, 2017
154
162
Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke)

Mimi huwa nikienda kuoga natumia sabuni ya jamaa kusafisha juu kabisa ya papuchi yaani kwenye mapaja na pale juu kwenye nyw**le...then natumia maji mengi kujisuuza na kuingiza kidole ndani kidogo ya K kutoa uchafu either wa period kama niko P na sometimes nakuta kuna ule uchafu mweupe wanaita(utoko) but huo uchafu huwa ni mweupe kama barafu na pia haunuki kabisaa.....

Sasa swali ni kwamba kuna watu wanadai hatupaswi kutoa huo uchafu eti ni bacteria wa kukinga K isipate madhra so hupaswi kuingiza kidole kabisa.... tuoshe juujuu tu......

Second wengine wanasema tusinawe na sabuni kabisaa(japo kama nilivyosema mimi sabuni napitisha kwa juu kabisa tena nikiwa nimesimama ili isiweze kuingia kwenye K coz siamin kama kujisafisha bila sabuni harufu ya mkojo, harufu ya P na jasho itaisha kwa kunawa na maji tu.....na situmii sabuni zenye chemical).

Naomba wanake wenzangu mnipe experience zenu juu ya hili
 
Tunakuja na kusema kwani umeambiwa wewe sio msafi? Tuanze kwanza hapo
Hapana sijambiwa hvy,and nilipata credit kubwa kutoka kwa bae enzi hizo... nilizurura nae cku nzima then akataka kula mzigo kabla ya kuog akashangaa K haitoi harufu wala ya jasho(because I was shaved) .... ila nachotaka kujua ni kwamba kunamadhara ya kujisafisha kwa kuingiza kidole na kutoa uchafu utakao kuwepo???
 
3888ce95f837a364b387b1dafd36266c.jpg
 
Hapana sijambiwa hvy,and nilipata credit kubwa kutoka kwa bae enzi hizo... nilizurura nae cku nzima then akataka kula mzigo kabla ya kuog akashangaa K haitoi harufu wala ya jasho(because I was shaved) .... ila nachotaka kujua ni kwamba kunamadhara ya kujisafisha kwa kuingiza kidole na kutoa uchafu utakao kuwepo???
Yaan wewe kwa vile ni uck tuache nikuulize kesho maana sitako kukuudhi mdogo angu
 
Mkuu kama huna tatizo don't try to invent the wheel! Ila kama una tatizo liweke wazi ushauriwe vizuri zaidi!
Sina ttz lolote....shida nilitaka kujua kujisafisha kwa kuingiza kidole kunamadhara au la???
 
Kadada huo ute mweupe unao tokea hapo unaitwa ute wa uzazi(chunguza vizuri ute huo hutokea kipindi cha siku za hatari). Pili ute kama huo pia unaweza kutokea baada ya p ukiwa na homon maalum za kusafisha k baada ya p.( hutokea mwishoni mwa kipindi cha p)
Sikushauri utumie sabuni ila utalatibu wa kujisafisha ni muhimu na pia kuingiza kidole inaweza kuwa hatari kwani unaweza kupitisha bacteria wa maradhi mbalimbali.
Note; K kutoa harufu mbaya ni moja ya dalili za ugonjwa. Unaweza ukuwa unasafisha kwa sabuni au hata bila sabuni lakini harufu hiyo ikaendelea kuwepo. Kwasababu hiyo ni dalili zamagonjwa mengi tu kwenye via vya uzazi hivyo ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari mapema kucheki afya yako.
 
Usitumie sabuni huko chini, na wala usijiingize vidole kuchokonoa.. Jisafishe tu vizuri kwa maji.. Ndo nilivofundishwa.
 
Hakuna madhara yoyote Yale,zaid zaid unajiweka Sawa kwa kutoa uchafu ambao unaleta shombo. Na wengine ambao hawaingizi kidole wananuka shombo la kolekole haliingii ndani. So,tumiantu kidole hata mm najisafisha kwa kidole tho wakatinwa p sifanyi hvo mpaka nmalize,then kwa sabuni pia upo sahihi just don't insert it inner part of Kariakoo K,kimara K hata kinondoni nako ni K . kwa raha zetu hakuna kunuka shombo kabisaaaa
 
Back
Top Bottom